slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

Piabet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

RC MBONI MHITA AZINDUA DAWATI MAALUM LA UWEZESHAJI BIASHARA SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita na Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro (kulia) wakikata utepe wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, ameongoza uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara hatua inayolenga kusaidia uwezeshaji wa wafanyabiashara katika ngazi zote.
 
Akizungumza Jumatano Septemba 10, 2025 wakati wa uzinduzi huo uliofanyika katika Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mhita amesema dawati hilo limeanzishwa na TRA kwa kushirikiana na wadau mbalimbali, kwa lengo la kuwatambua, kuwasikiliza na kuwawezesha wafanyabiashara ili kukuza mitaji na kuongeza tija katika biashara zao.
 
Mhita amebainisha kuwa dawati hilo litakuwa daraja la kuwaunganisha wafanyabiashara na taasisi za kifedha ili kupata mikopo kwa urahisi zaidi pamoja na kuwaongoza katika njia bora za urasimishaji biashara.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita.
 
Aidha, ameeleza kuwa hatua hiyo ni utekelezaji wa maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ambaye amekuwa akisisitiza juu ya umuhimu wa kuwatambua na kuwawezesha wafanyabiashara wadogo ili wachangie kikamilifu katika kukuza uchumi wa Taifa.
 
“Lengo letu ni kuhakikisha kila mfanyabiashara, mdogo kwa mkubwa, anatambulika rasmi na anapata msaada unaohitajika. Dawati hili litakuwa ni nyenzo muhimu ya kuwafikishia huduma karibu, kutoa elimu ya biashara na kusikiliza changamoto zao,” amesema Mhita.
 
Aidha Mhe. Mhita, amesema kuwa, kuanzishwa kwa dawati hili ni fursa ya kipekee ya kuimarisha mazingira ya biashara mkoani Shinyanga, hatua itakayosaidia kuongeza mapato ya Serikali, kukuza ajira na kuimarisha uchumi wa wananchi.

 

Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro.
 

 

Kwa upande wake, Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro, amesema TRA itahakikisha inaishi katika dhima ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya kutoa huduma bora kwa wafanyabiashara wote, bila kuangalia ukubwa wa biashara zao na kwamba mamlaka hiyo itaendelea kusikiliza na kuzifahamu changamoto zinazowakabili wafanyabiashara katika sekta mbalimbali.
 
“Dawati hili maalum lina jukumu la kusaidia kuwawezesha wafanyabiashara wadogo wanaofanya biashara katika sekta isiyo rasmi ili waweze kusajiliwa, kutambuliwa na hatimaye kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na serikali. Kwa mujibu wa takwimu, sekta isiyo rasmi inachangia zaidi ya asilimia 30 ya pato la Taifa na kutoa ajira kwa zaidi ya Watanzania milioni saba. Hivyo basi, ni muhimu kuhakikisha kundi hili linawezeshwa ipasavyo. Kwa niaba ya TRA Mkoa wa Shinyanga, nawahakikishia ushirikiano wa dhati na huduma bora kwa kila mfanyabiashara”,amesema Maro.

 

Keki maalumu wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
 

 

“Tumeanzisha dawati hili kufuatia agizo la Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ambaye ametoa maelekezo kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha huduma bora na jumuishi kwa wafanyabiashara wote. Katika Mkoa wa Shinyanga, dawati hili limeanzishwa katika ofisi ya TRA ya mkoa pamoja na katika kila wilaya ili kuhakikisha huduma inapatikana kwa urahisi na kwa ukaribu zaidi”,ameongeza.
 
Ametoa wito kwa wafanyabiashara kujitokeza na kutumia huduma za dawati hili ili kujisajili, kupata elimu ya kodi, na kushirikiana na TRA kwa karibu na kwamba TRA iko tayari kuwafuata mahali walipo ili kutambua mahitaji na changamoto zao, na kuhakikisha wanapata msaada wa haraka.
 
Uzinduzi huo umehudhuriwa na viongozi wa Serikali, Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, wawakilishi wa TCCIA, wafanyabiashara, pamoja na wadau wa sekta binafsi.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, akizungumza wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara leo Jumatano Septemba 10, 2025 katika Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Shinyanga. Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, akizungumza wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara leo Jumatano Septemba 10, 2025 katika Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita, akizungumza wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara leo Jumatano Septemba 10, 2025 katika Ofisi za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Shinyanga.
Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro akizungumza wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.

Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro akizungumza wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita na Meneja wa TRA Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Maro (kulia) wakifurahia baada ya kukata utepe wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita (aliyekaa kushoto) akiwa kwenye chumba cha Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita (aliyekaa katikati) akiwa kwenye chumba cha Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita (katikati) akikata keki wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Mhe. Mboni Mhita (katikati) akikata keki wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
Keki maalumu wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.
Keki maalumu wakati uzinduzi wa Dawati Maalum la Uwezeshaji Biashara Mkoa wa Shinyanga.

About the author

Alex Sonna