marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

mersin escort

sapanca escort

sapanca escort

vdcasino

vdcasino

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

milanobet

holiganbet

casibom

dizipal

1xbet giriş

1xbet

tambet

bahiscasino

marsbahis

perabet giriş

perabet giriş

imajbet

grandbahis giriş

imajbet

grandbahis

imajbet giriş

jojobet

kulisbet giriş

pusulabet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

ultrabet, ultrabet giriş

tlcasino, tlcasino giriş

alobet, alobet giriş

kingroyal

restbet

jojobet giriş

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

celtabet

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

holiganbet

holiganbet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

starzbet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

bilgi kutusu

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

tümbet giriş

tümbet

tümbet

tümbet giriş

aaa

pokerklas

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betturkey

betturkey giriş

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

deneme bonusu veren siteler

taksimbet

jojobet güncel giriş

betsat

betsat giriş

xslot

xslot giriş

vaycasino

trendbet

bets10

Milanobet

jojobet

cratosroyalbet

deneme bonusu

İkimisli

onwin

betsat

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

padişahbet

holiganbet

perabet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

perabet

imajbet

perabet

perabet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

ankara escort

cratosroyalbet giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

jojobet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

esbet

vdcasino

bets10 giriş

perabet

efesbet

perabet giriş

perabet

imajbet giriş

imajbet

kralbet giriş

perabet

สล็อตเว็บตรง

zirvebet

casibom giriş

jojobet

bets10

jojobet

trust score weak 3

jojobet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

dinamobet giriş

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

avşa kiralık daire

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

sorgu paneli

galabet, galabet giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

roketbet, roketbet giriş

betsat

holiganbet

betsat

betsat giriş

deneme bonusu veren siteler

tipobet giriş

casibom

kralbet

en iyi slot siteleri

Featured Kitaifa

WATU 940 MBARONI TUHUMA DAWA ZA KULEVYA

Written by Alex Sonna
Dar es Salaam, Septemba 8 2025
MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya nchini (DCEA) imekamata kilogramu 33,077.623 za dawa za kulevya aina mbalimbali huku ikiwashikilia watuhumiwa 940 kuhusika kwenye matukio tofauti ya uhalifu wa dawa za kulevya.
Kamishna Jenerali wa DCEA, Aretas Lyimo, akizungumuza na waandishi wa Habari leo Septemba 8,2025 jijini Dar es Salaam, amesema, pamoja na dawa hizo, pia zimekamatwa, kilogramu 4,553 za mbegu za bangi, silaha mbili za moto aina ya gobore na bastola zikiwa na risasi 11, magari tisa, pikipiki 26 na bajaji mbili zilizohusishwa kwenye uhalifu huo na kuteketeza ekari 64 za mashamba ya bangi.
Kamishna Jenerali Lyimo amefafanua kuwa, katika operesheni iliyofanyika jijini Dar es Salaam katika mtaa wa Tupendane uliopo Manzese walikamata watu watatu akiwemo raia wa Lebanon wakiwa na kilogramu 2.443 za dawa za kulevya aina ya Cocaine zilizoingizwa nchini kutokea nchini Brazil kupitia nchini Kenya hadi Uganda kwa njia ya kumezwa na baadaye Tanzania kwa njia za vipenyo.
Katika tukio lingine amesema, jijini Dar es salaam, kwenye klabu ya “Bad London” iliyopo Temeke kwa Azizi Ally na klabu ya “Sanaa” katika eneo la “Reggae bar” iliyopo Masaki, walikamata sigara za kielektroniki (e cigarette) pisi 50 zilizotengenezwa kwa bangi zenye ujazo wa mililita 10 kila moja. 
Sigara hizo za kielekroniki zilizotengenezwa kwa kutumia kemikali pamoja na skanka ziliingizwa nchini kutokea Uingereza. Miongoni mwa Kemikali hatarishi kwenye bangi hizo ni pamoja na THC, benzene na madini ya cadmium, lead, na mekyuri.
“Kemikali hizo pamoja na madhara mengine ya kiafya, huweza kusababisha magonjwa ya akili, saratani, kuharibu mimba kwa mama wajawazito, kuathiri maendeleo ya ukuaji wa mtoto akiwa tumboni, kusababisha udumavu wa akili baada ya mtoto kuzaliwa na hivyo kuathiri uwezo wa kujifunza pamoja na uraibu.” alisema Kamishna Lyimo. 
Katika eneo la “Bahari Beach” amesema, walikamatwa raia wa Marekani na mke wake raia wa Tanzania wakiwa na chupa 11 za dawa ya kulevya aina ya Ketamine pamoja na bangi na hatua za kisheria zinaendelea dhidi yao.
Vilevile, kupitia kampuni za usafirishaji vifurushi jijini Dar es salaam,walikamatwa watu wanne kwa kukutwa na kilogramu 10.37 za mirungi wakiwa kwenye hatua za kuisafirisha kwenda nje ya nchi huku ikiwa imefichwa kwenye vifungashio vyenye chapa ya bidhaa za chai, kwa lengo la kukwepa kubainika.
Kadhalika, kupitia mifumo ya ufuatiliaji ya kimataifa katika kuzuia uchepushwaji wa kemikali bashirifu kutumika kutengeneza dawa za kulevya,Kamishna Jenerali Lyimo amesema, Mamlaka ilizuia uingizaji nchini lita 69.8 za kemikali aina ya Methyl ethyl ketone (MEK) na Ephedrine ambazo zilikuwa ziingizwe hapa nchini kinyume na taratibu.
Pia, kupitia operesheni zilizofanyika mkoani Mara, alikamatwa mhalifu kinara wa uzalishaji na usafirishaji wa bangi aitwaye Masero Ryoba Muhabe (44) akiwa na tani 6.5 za bangi. 
Kwa muda mrefu, Muhabe amekuwa akijihusisha na uzalishaji na biashara ya bangi wilayani Tarime mkoani Mara na kusafirisha ndani na nje ya nchi.
Katika tukio lingine mkoani humo, alikamatwa Simoni Gervas Mkonda (51) akiwa na kilogramu 193 za bangi pamoja na silaha aina ya bastola ikiwa na risasi 11 ambayo amekuwa akiimiliki kinyume cha sheria na kuitumia kulinda biashara zake haramu.
Aidha, mkoani Mbeya,waliwakamata Henry Shao (36) na Veronika Samumba (31) wakiwa na biskuti 241 zilizotengenezwa kwa mazao ya bangi. Watajwa ni wahandisi na wafanyakazi wa kampuni binafsi za ujenzi za HSS Engineering Company Limited na JIC Company Limited za jijini Mbeya. 
“Baada ya upekuzi eneo la mtaa wa Forest watuhumiwa walikutwa na vifaa wanavyovitumia kutengeza biskuti hizo na kueleza kwamba wateja wao wakubwa ni wahandisi na vijana wa vyuo na mitaani.” alisema Kamishna Lyimo.
Pia, mkoani Mwanza amesema walikamata watuhumiwa sita wakiwa na kilogramu 452 za dawa za kulevya aina ya bangi zikisafirishwa kwa gari aina ya Skania lenye namba za usajili T 384 BWM likiwa na tela namba T.602 ANQ mali ya kampuni ya CocaCola ya Nyanza iliyopo Mwanza pamoja na bajaji mbili zilizokuwa zinabeba bangi hizo kutoka kwenye gari tajwa.
Vilevile, kupitia operesheni zilizofanyika katika mikoa ya Mara, Tabora, Kilimanjaro,  Dar es Salaam, Pwani, Arusha, Tanga, Ruvuma na Morogoro, zilikamatwa kilogramu 25,919.8 za bangi, mirungi, skanka na Heroine.
Mamlaka ya Kudhibiti na kupambana na Dawa za Kulevya, inaendelea kuvunja mitandao ya dawa za kulevya na kubaini mbinu mpya za biashara na matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo, kuongeza wigo wa utoaji elimu juu ya madhara ya dawa za kulevya, lengo likiwa ni kuakisi dhamira ya Taifa katika kulinda usalama wa wananchi na kuimarisha uchumi, kujali utu, kulinda afya za watanzania, hatimaye kuimarisha ustawi wa Taifa letu.

About the author

Alex Sonna