Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

avrupabet

vipslot

betcool

betlivo

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

kareasbet

hazbet

betra

meritking giriş

marsbahis

meritking

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

betra

gobahis

casival

casival

betcool

avrupabet

celtabet

jojobet

Hacklink panel

norabahis

kingroyal

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

hepbet

millibahis giriş

gobahis

vipslot

betface

elitbahis giriş

betcool

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

betpark giriş

holiganbet

betpark

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

betewin

jojobet

vipslot

betnis

betmarino giriş

aresbet

aresbet

avrupabet giriş

betface

luxbet

betmarino

casival giriş

betlivo giriş

realbahis

gallerbahis

gallerbahis

aresbet giriş

parmabet

betnis

elitbahis

marsbahis

betra giriş

celtabet giriş

parmabet giriş

vipslot giriş

hazbet giriş

elitbahis

luxbet giriş

hepbet

lordcasino

parmabet

lordcasino

kareasbet

betcool giriş

realbahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

cratosroyalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

parmabet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

madridbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

marsbahis

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

betlivo

millibahis

millibahis

celtabet

millibahis

parmabet giriş

mavibet giriş

jojobet

coinbar

mislibet giriş

mavibet

parmabet giriş

parmabet

jojobet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

marsbahis

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betsat

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

betcio

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

Featured Kitaifa

MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI UFUNGUZI WA MKUTANO WA PILI WA MABADILIKO YA TABIANCHI-ETHIOPIA

Written by Alex Sonna

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis kushiriki Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Jiji la Addis Ababa nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.

...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amesema licha ya Afrika kuchangia chini ya asilimia nne katika uzalishaji wa hewa chafu duniani lakini ndiyo inayoathiriwa zaidi na mabadiliko ya Tabianchi na hivyo kuhitaji usaidizi wa haraka katika kuhimili hali hiyo na kuhakikisha mapinduzi ya kijani.

Makamu wa Rais amesema hayo wakati akihutubia katika Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Addis Ababa nchini Ethiopia. Ametoa wito kwa washirika wa Kimataifa kutekeleza ahadi zao za utoaji fedha katika njia mpya na zinazotabirika kama ilivyokubaliwa chini ya Mkataba wa Paris na kuendesha Mfuko wa Hasara na Uharibifu kwa rasilimali za kutosha. 

Makamu wa Rais amesema ni muhimu kuzingatia malengo ya Kimataifa ya kuhakikisha hali ya kuhimili mabadiliko ya tabianchi inapewa kipaumbele sawa na hali ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Halikadhalika Makamu wa Rais amesema mageuzi katika nishati ni nguzo muhimu katika juhudi za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ameongeza kwamba, Tanzania inaendelea kuongeza uwekezaji katika nishati jadidifu kupitia umeme wa maji, jua, jotoardhi na upepo, huku pia ikitumia gesi asilia kama nishati safi ya mpito kusaidia ujenzi wa viwanda pamoja na kutekeleza mkakati wa nishati safi ya kupikia, unaolenga kuhakikisha asilimia themanini ya kaya zinatumia nishati safi kupikia ifikapo 2034.

Pia, Makamu wa Rais amesema Tanzania inaendelea na dhamira ya kujitolea kufanya kazi na wadau wote ili kuendeleza azma ya kusambaza umeme kwa watu milioni 300 barani Afrika ifikapo mwaka 2030 kama ilivyodhamiriwa katika Mkutano wa Nishati wa Afrika wa Misheni 300 uliofanyika Dar es Salaam Januari 2025. 

Ameongeza kwamba Sera ya Uchumi wa Buluu Zanzibar na Mpango Mkakati wa Uchumi wa Buluu kwa upande wa Tanzania Bara, huimarisha matumizi endelevu ya rasilimali za bahari, pwani na nchi kavu, kusaidia ajira na ustahimilivu katika shughuli za uvuvi, usafiri wa baharini na utalii.

Makamu wa Rais amesema Tanzania ikiwa na heshima ya kuwa mwenyekiti wa kundi la majadiliano la Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi (AGN) kuelekea Mkutano wa COP30 nchini Brazil, itaendelea kufanya kazi kwa bidii kuratibu msimamo wa pamoja wa Afrika na kuhakikisha vipaumbele ya bara hilo, fedha, hasara na uharibifu pamoja na mabadiliko ya haki yanazingatiwa katika majadiliano hayo.

Amesema Mkutano wa 30 wa Kimataifa kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi (COP30) ili uwe na mafanikio ni lazima utoe matokeo kabambe, jumuishi na yenye usawa. Ameongeza kwamba, Tanzania itatoa usaidizi kamili kwa nchi ya Brazili ili kuhakikisha kuwa mkutano huo unatekelezwa kwa ajili ya Afrika na dunia kwa ujumla. 

Makamu wa Rais amesema Tanzania itaendelea kukuza sauti ya Afrika, kutafuta njia, pamoja na kufanyia kazi matokeo yenye maana ambayo yanaakisi mahitaji ya Afrika na uwezo wake kama mshirika katika masuluhisho ya kimataifa.

Kabla ya kuanza kwa Mkutano huo, Wakuu wa Nchi na Serikali waliongoza zoezi la upandaji miti ikiwa ni ishara ya njia mojawapo ya kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Kaulimbiu ya Mkutano huo ni “Kuharakisha suluhu za mabadiliko ya tabianchi duniani na ufadhili kwa maendeleo endelevu, yenye ustahimilivu na maendeleo ya kijani barani Afrika (Accelerating Global Climate Solutions and Financing for Africas’ Resilient and Green Development).

Mkutano huo umetanguliwa na matukio mbalimbali ikiwemo Wiki ya Tabianchi ya Afrika kwa mwaka 2025 iliyofanyika kuanzia tarehe 1 hadi 6 Septemba 2025, kwa lengo la kuendeleza hatua za kuharakisha utekelezaji wa malengo ya Mkataba wa Paris kuhusu tabianchi.

Licha ya wawakilishi wa Serikali, Mikutano hiyo pia imehudhuriwa na vijana, sekta binafsi, asasi za kiraia na mashirika yasiyo ya Kiserikali.

Katika Mkutano huo, Makamu wa Rais ameambatana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Hamza Hassan Juma, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Cosato Chumi, Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhandisi Cyprian Luhemeja, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Innocent Shio pamoja na wataalamu mbalimbali.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Dkt. William Ruto kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa pamoja na Viongozi mbalimbali wakielekea katika tukio la upandaji miti katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipata mti nje ya Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika Jijini Addis Ababa nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Viongozi mbalimbali katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Pili wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi za Afrika kuhusu Mabadiliko ya Tabianchi unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Addis nchini Ethiopia. Tarehe 08 Septemba 2025.

About the author

Alex Sonna