Featured Kitaifa

MAJALIWA AZINDUA KAMPENI ZA UBUNGE JIMBO LA MCHINGA

Written by Alex Sonna

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Lindi Alhaji Hassan Jarufu, Mgombea ubunge jimbo la Mchinga Salma Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Ubunge jimbo la Mtama Nape Nnauye, wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya wananchi wakifuatilia uzunduzi wa kampeni ya ubunge wa jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi. Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni hizo, Septembea 07, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna