Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

timebet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

nerobet

deneme bonusu

casinofast giris

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

marsbahis

bets10

betsat

jojobet

marsbahis

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

perabet

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat giriş

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

WAZIRI MKUU ALIPONGEZA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotembelea Ofisi za Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zilizopo Morocco, jijini Dar es Salaam, Agosti 26, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipotembelea Ofisi za Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zilizopo Morocco, jijini Dar es Salaam, Agosti 26, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akigonga kengele kuashiria kufungua kwa soko la hisa wakati alipotembelea Ofisi za Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) zilizopo Morocco, jijini Dar es Salaam, Agosti 26, 2025. Kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya, Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Peter Situmbeko na Jaji Muu Mstaafu Mohammed Othaman Chande (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…….

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amelipongeza Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE) kwa kuongezeka kwa thamani ya soko hilo na kufikia shilingi trilioni 21.0 katika kipindi cha kufikia julai 2025.

Amesema kuwa pia soko hilo limeongeza ukuaji wa mauzo ya hisa kwa zaidi ya asilimia 246 pamoja na ongezeko la idadi ya wawekezaji hadi zaidi ya akaunti 683,000 ikiwa ni ishara ya ukuaji imara wa sekta ya mitaji nchini

Amesema hayo leo Jumanne (Agosti 26, 2025) alipotembelea Ofisi za soko hilo zilizopo Morocco, jijini Dar es Salaam.

Mheshimiwa Majaliwa amesema katika kipindi hicho mauzo ya hatifungani yaliyofikia zaidi ya shilingi trilioni 3 pamoja na hatifungani zenye maudhui ya kusaidia mazingira na jamii. “Hiki ni kielelezo cha ubunifu na mchango wa DSE katika kuendeleza uchumi jumuishi na endelevu wa Taifa letu, hii hatuwezi acha ikapita ni lazima tuwapongeze”.

Akizungumza katika mkutano huo, Mheshimiwa Majaliwa ametangaza kununua hisa zenye thamani ya shilingi milioni 100 katika soko la hisa la Dar es Salaam.

“Watanzania wekeni kipaumbele cha kufanya uwekezaji kupitia Soko la Hisa la Dar es Salaam kwa njia ya kidigitali ili kupata fursa ya kuwa sehemu ya kumiliki makampuni na kupata fedha kupitia faida inayotengenezwa na kampuni na kuchochea ukuaji wa uchumi wa Taifa letu.”

Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Fedha iendelee kushirikiana na DSE katika kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wote ili kuhakikisha fursa zinazotolewa na soko hilo zinanufaisha Watanzania wengi zaidi.

Naye, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Elijah Mwandumbya, amesema ili kufanikisha malengo ya dira Taifa ya Maendeleo ya 2050 Serikali imeweka mpango wa kuendeleza bidhaa mpya za kifedha kama vile hati fungani, kuimarisha mifumo ya kidijitali katika soko la DSE ili kuwafikia Watanzania wengi zaidi wakiwemo Diaspora.

Amesema eneo lingine ni kuendeleza ushirikiano na sekta binafsi na wadau wa kikanda, kuongeza ushiriki wa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi ili kuongeza ukuaji wa soko la DSE.

Kwa upande wake, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Masoko ya Mitaji na Dhamana (CMSA)Charles Shirima amesema ili kuwezesha ushiriki wa wananchi wengi mijini na vijijini katika uwekezaji wa masoko ya mitaji, mamlaka hiyo imehimiza matumizi ya mifumo bunifu katika uuzaji na ununuzi wa dhamana za masoko ya mitaji kwa kutumia Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ikiwa ni pamoja na simu za mikononi na intaneti.

Amesema jitihada hizi zimewezesha kuanzishwa kwa mifumo kadhaa ikiwepo ya Sim Invest, Hisa Kiganjani, WekezaWHI na M-Wekeza ambayo inatumika kurahisisha upatikanaji wa huduma za masoko ya mitaji kwa wananchi wengi zaidi mijini na vijijini.

“Kwa mfano asilimia 24.33 ya mauzo ya hisa kwa mwaka 2024, yalipitia katika mfumo wa teknolojia ya habari yakiwa yameongezeka kutoka asilimia 4.84 mwaka 2023.”

Awali, Afisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Peter Situmbeko amesema tangu kuanzishwa kwake, soko hilo limeendelea kuongezeka thamani ya mauzo ya hisa pamoja na hamasa kwa wawekezaji.

Amesema thamani ya mauzo ya hisa ilifikia shilingi bilioni 369.4 sawa na ongezeko la asilimia 246 ikilinganishwa na kipindi kama hichi mwaka jana.

“Kiasi cha hisa zilizouzwa zilifikia milioni 272 ambalo ni ongezelo la asilimia 108 ikilinganishwa na kipindi kama hichi mwaka jana, hatifungani za Serikali pamoja na makampuni binafsi zilifikia jumia ya mauzo ya zaidi ya shilingi trilioni 3 katika kipindi kama hichi mwaka jana mauzo haya yalifikia shilingi trillioni 1.9”

About the author

Alex Sonna