slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

jojobet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

vdcasino

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

piabellacasino

interbahis

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

bets10

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

porno izle

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

goldenbahis

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

ilbet

ilbet giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

betist

betist

marsbahis

jojobet giriş

matbet

sekabet

pusulabet

Featured Kitaifa

DKT.BITEKO AFUNGA KIKAO KAZI CHA TATU CHA WENYEVITI WA BODI,WAKUU WA TAASISI

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akifunga Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma (CEOs Forum 2025) kilichofanyika jijini Arusha katika Ukumbi wa AICC

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akimkabidhi Cheti Mwenyekiti wa Bodi ya Hifadhi ya Ngorongoro, Jenerali Venance Mabeyo wakati wa ufungaji wa Kikao Kazi cha Wenyeviti
wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma (CEOs Forum 2025) kilichofanyika Agosti 26, 2025 katika Ukumbi wa AICC Jijini Arusha. Cheti hicho kimekabidhiwa kwa kuwa NCAA imekuwa sehemu ya wadhamini wa Kikao hicho.

Na Ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amewahimiza Wenyeviti na Wakuu wa  Taasisi za Umma nchini kusimamia utekelezaji wa maazimio ya kimkakati yanayofikiwa katika vikao kazi
wanavyofanya kwa kutambua kuwa wamebeba dhamana ya kuboresha maisha ya Watanzania kupitia mtaji wa shilingi Trilioni 86 ambao Serikali imewekeza kwenye Taasisi na mashirika yake..

Dkt. Biteko ameyasema hayo tarehe 26 Agosti 2025 jijini Arusha wakati akifunga kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma (CEOs FORUM 2025).

 “Watanzania wanawategemea ninyi kuwabadilishia maisha, kama tunazungumza kuhusu umaskini wa watu, Serikali inapaswa kuwa kiongozi wa kuwaondolea watu umaskini wao, hivyo hamna budi kutambua  kuwa mnalo deni la kuboresha hali zetu na maisha yetu.” Amesema Dkt. Biteko

Dkt. Biteko amewahakikishia Watendaji hao kuwa Serikali katika ngazi zote inatambua mchango wa taasisi na mashirika katika ukuaji wa uchumi na pia inatambua mchango wa vikao kazi vya watendaji hao ambavyo vimepelekea mashirika kuongeza mchango wake katika mfuko mkuu wa Taifa.

” Vikao kazi hivi mnavyofanya vimeonesha mchango wake katika uchumi, mfano katika kikao kazi cha mwaka 2024 mliazimia mashirika ya umma yaboreshe utendaji na  kuongeza uchangiaji katika mfuko mkuu wa Serikali na  matokeo yameonekana mfano Shirika la Maendeleo ya Petroli ( TPDC) liliongeza uchangiaji wake kwa asilimia 100, shirika hili liliongeza uchangiaji wake kutoka shilingi bilioni 5.5 kwa mwaka 2023/2024 hadi shilingi bilioni 11.1 mwaka 2024/2025.” Amesema Dkt.Biteko

Ameongeza kuwa, uchagiaji wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) umeongezeka kwa  asilimia 363 katika mfuko mkuu wa Serikali ambapo NHC ilichangia shilingi bilioni 1.2 mwaka 2023/ 24 na mwaka 2024/2025 ilichangia shilingi bilioni 5.5.

Dkt. Biteko amewaeleza Wenyeviti wa Bodi na Wakuu wa Taasisi kuwa “Rais Samia pamoja na kuthamini mchango wenu kwa Serikali anatarajia mengi kutoka kwenu na Watanzania wana matarajio makubwa hasa wakati tukielekea kwenye  utekelezaji wa Dira 2050, endeleeni  kuongeza mchango wenu kwenye  ukuaji wa uchumi, mjitegemee na muwe mfano wa taasisi binafsi.”

Katika.hatua nyingine, Dkt. Biteko ametaka viongozi hao kufanyia kazi agizo lililotolewa na Makamu wa Rais, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango la  kudhibiti mianya ya uvujaji wa mapato.

Pia amempongeza Msajili wa Hazina kwa kuwa na maono ya kuratibu kikao kazi hicho ili kujadili masuala yatakayosukuma mbele utendaji wa taasisi.

Katika hafla hiyo, Dkt. Biteko hakuacha kukumbusha kuhusu ushiriki wa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 ambapo amesema uchaguzi huo uwe ni ajenda ya watu wote wakiwemo Wenyeviti  wa Bodi na Wakuu wa Taasisi hivyo waone kuwa wana wajibu wa kuwasisitiza watu kwenye taasisi zao kujitokeza kusikiliza wagombea na baadaye kupiga kura  kwa amani kwani kukiwa na amani mashirika hayo pia
yatafanya vizuri zaidi.

 Naibu Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Nyongo kwa upande wake, amemshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan   kwa dira na muongozo katika kuendeleza mashirika ya umma ili yaweze kuwa na tija nchini.

Amesema katika siku tatu za kikao kazi washiriki wamejifunza na kubadilishana uzoefu kupitia watoa mada wa ndani na nje ya nchi waliobobea.

Amesema Wizara ya Mipango na Uwekezaji itahakikisha maazimio ya  kikao kazi hicho yanatekelezwa ipasavyo, pia Wizara itasimamia mageuzi ya kuhakikisha mashirika  ya umma yanachangia ukuaji wa pato la taifa hadi kufikia Dola  za Marekani trilioni 1  ifikapo 2050 ambapo  kwa sasa pato la taifa ni dola za Marekani bilioni 85.

Kwa upande wake Salim Kali, Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha amesema wilaya 6 za Mkoa wa Arusha zimefikiwa na umeme hadi ngazi ya vijiji, pia  miradi ya maji imefanyika pamoja na  miundombinu ya Barabara ambayo imewezesha maisha bora kwa watu wa aina zote wakiwemo watalii.

Awali, Msajili wa Hazina,  Nehemia Mchechu alisema kuwa katika kikao kazi hicho kampuni zaidi 300 zimeshiriki huku washiriki wakiwa ni zaidi ya 650.

Alisema kikao kilikuwa na  majadiliano mbalimbali ya kina yanayolenga kusukuma mbele uchumi wa nchi na kusimamia uwekezaji wa Serikali  kwa taasisi za umma wa zaidi ya shilingi trilioni 86.

Mkutano huo wa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma uliongozwa na kaulimbiu ya  “Ushirikiano Endelevu wa  Kibiashara katika Mazingira Shindani Kimataifa- Nafasi ya Mashirika ya Umma.”

About the author

Alex Sonna