
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) Frank Nyabundege kuhusu miradi mbalimbali inayofadhiliwa na Benki hiyo wakati Makamu wa Rais akikagua mabanda ya maonesho katika ufunguzi wa maonesho ya Nanenane Kitaifa yanayofanyika Viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.
…..