Featured Kitaifa

DKT.SWARE SEMESI- NEMC ASHIRIKI UZINDUZI WA MFUMO W KIDIGITALI NCHINI GHANA

Written by Alex Sonna

 

NEMC imeshiriki uzinduzi wa mfumo wa kidigitali wa kufuatilia uchafuzi wa mazingira(online continuous emissions monitoring System) ambao umelenga kurahisisha upatikanaji wa taarifa za uchafuzi.

Uzinduzi huo umefanyika tarehe 29 Julai 2025 Accra nchini Ghana.

Mkurugenzi Mkuu Dkt. Immaculate Sware Semesi ameambatana na, Afisa Sheria Mkuu NEMC Bi.Jackline Nyantori.

About the author

Alex Sonna