Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

meritking telegram

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

betturkey

betturkey giriş

otobet

otobet giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

Gameofbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

mislibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

radissonbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking giriş

meritking güncel giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

mislibet giriş

cratosroyalbet

mislibet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

TASAF YATAKA WATANZANIA WOTE WASHIRIKI KUITEKELEZA DIRA YA 2050

Written by Alex Sonna
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa (Kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mifumo, Tafiti na Mawasiliano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – (TASAF), Ndg. Japhet Boaz,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 iliyozinduliwa leo Julai 17,2025 jijini Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Na Alex Sonna-DODOMA
MKURUGENZI  Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. Shedrack Mziray amesema uzinduzi wa Dira mpya ya Taifa ya Maendeleo 2050 (Dira 2050) si tukio la kisiasa tu bali ni hatua ya kimkakati inayoashiria safari ya pamoja kuelekea Tanzania yenye uchumi jumuishi na ustawi wa wote.
Akizungumza mara baada ya  Rais Samia Suluhu Hassan kuizindua  rasmi Dira hiyo jijini Dodoma, Mziray amesema mpango huo wa muda mrefu unakuja wakati nchi iko kwenye hatua ya uchumi wa kati daraja la chini na inalenga kufikia uchumi wa kati daraja la juu ifikapo 2050, kwa kuhakikisha hakuna Mtanzania anayebaki nyuma.
“Uchumi huu unaotarajiwa ni uchumi jumuishi ambapo wananchi wote wanufaike. Maendeleo ya kiuchumi hayawezi kuwa kamilifu bila ustawi wa jamii. Ndiyo maana shughuli za TASAF zinaendana moja kwa moja na malengo ya Dira hii mpya,” alisema Mziray.
Alisema TASAF imekuwa mstari wa mbele kusaidia jamii zilizo katika mazingira magumu kupitia miradi ya hifadhi ya jamii, kwa kutoa ruzuku kwa kaya maskini, kusaidia mahitaji ya msingi kama elimu na afya, na kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja katika maeneo ya vijijini na pembezoni mwa nchi.
Aidha, amesema kuwa Dira ya 2050 imeweka bayana umuhimu wa kuhakikisha watu wa hali ya chini wanaunganishwa na fursa rasmi za maendeleo, na kwamba ni lazima afua za kijamii ziwafikie walengwa kwa usahihi.
Amesema hiyo ndiyo sababu Serikali kupitia TASAF inatambua kuwa asilimia 26 ya Watanzania bado wanaishi kwenye mazingira ya umaskini wa hali ya chini.
 “Ni muhimu sana kuhakikisha watu hawa wanakuwa sehemu ya mchakato wa maendeleo. Mfano kupitia mpango wa bima ya afya kwa wote  tunawawezesha wananchi kupata huduma bora za afya bila mzigo wa gharama.
Hivyo hivyo kwa elimu watoto wa kaya maskini wanawezeshwa kwenda shule, kupata vifaa, sare na mazingira bora ya kujifunza,” alifafanua Mziray.
Alisisitiza kuwa mchango wa TASAF utabaki kuwa mhimili katika kufanikisha maendeleo ya pamoja, lakini alitoa wito kwa wananchi wote kuiisoma, kuielewa na kuitafsiri Dira ya 2050 kwa vitendo, akisema haitoshi kuipokea kwa shangwe, bali ni lazima kila mmoja atambue nafasi yake na kushiriki moja kwa moja.
 “Tusiwe watazamaji. Tuitikise jamii zetu, tushiriki kikamilifu katika utekelezaji wa Dira hii. Hii si ndoto ya Serikali peke yake, ni ndoto ya Watanzania wote. Tuifanye kuwa ya kweli,” alisema kwa msisitizo.
Kwa upande wake,Mkurugenzi Mifumo, Tafiti na Mawasiliano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – (TASAF), Ndg. Japhet Boaz , amesema hatua ya kuzinduliwa kwa Dira hiyo ni uthibitisho kwamba Serikali ya Awamu ya Sita imejiandaa kikamilifu kuelekea miaka 25 ya kupanga kwa ufanisi maendeleo jumuishi kwa makundi yote ya wananchi.
Amesema tayari ameisoma Dira hiyo kwa kina na kujipanga kushiriki katika eneo la kusaidia kaya maskini, wazee, na jamii zilizoathiriwa na majanga kupitia mipango ya hifadhi ya jamii, elimu, na bima ya afya kwa wote.
Amesema Dira hiyo imeweka msingi madhubuti wa kujenga taifa lenye usawa na mshikamano kwa kuhakikisha hakuna anayebaki nyuma katika safari ya maendeleo.
“Serikali imeandaa mpango jumuishi na sisi kama taasisi tumejipanga kuwa sehemu ya ukuaji wa uchumi unaogusa watu wa kawaida. Kwa kasi ya sasa na malengo yaliyowekwa, ninaamini mwaka 2050 Tanzania itakuwa imepiga hatua kubwa zaidi ya hapa tulipo, si kiuchumi tu bali hata katika ustawi wa jamii,” alieleza.
Boaz aliongeza kuwa Mpango mkakati wa utekelezaji wa Dira 2050 umegawanywa katika vipindi vya utekelezaji wa miaka mitano mitano, jambo linalowezesha kuwekwa kwa vipaumbele na tathmini ya utekelezaji kwa kila hatua. Alisisitiza kuwa Dira hiyo ni mpango makini ambao unaweza kabisa kubadilisha maisha ya Mtanzania wa kawaida, endapo kila mdau atashiriki kikamilifu kwenye utekelezaji wake.
MKURUGENZI  Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. Shedrack Mziray (Kulia) akisalimiana na Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa (Kushoto) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 iliyozinduliwa leo Julai 17,2025 jijini Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango, Dkt. Fred Msemwa (Kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mifumo, Tafiti na Mawasiliano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – (TASAF), Ndg. Japhet Boaz,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 iliyozinduliwa leo Julai 17,2025 jijini Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
MKURUGENZI  Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. Shedrack Mziray (Kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mifumo, Tafiti na Mawasiliano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – (TASAF), Ndg. Japhet Boaz (Kulia) ,wakati wa hafla ya uzinduzi wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 iliyozinduliwa leo Julai 17,2025 jijini Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.
MKURUGENZI  Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), Bw. Shedrack Mziray (Katikati) akiwa  na Mkurugenzi Mifumo, Tafiti na Mawasiliano wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii – (TASAF), Ndg. Japhet Boaz (Kulia) wakionesha Vitabu vya Muongozo wa Dira 205o,mara baada ya Dira hiyo kuzinduliwa  leo Julai 17,2025 jijini Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan.

About the author

Alex Sonna