Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla kushiriki Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika nchini Hispania leo tarehe 30 Juni 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais wa Hispania Mhe. Pedro Sánchez wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla kushiriki Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika nchini Hispania leo tarehe 30 Juni 2025
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres (kulia) na Rais wa Hispania Mhe. Pedro Sánchez (kushoto) wakati akiwasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla kushiriki Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika nchini Hispania leo tarehe 30 Juni 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na na Viongozi mbalimbali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla nchini Hispania. Tarehe 30 Juni 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akishiriki ufunguzi wa Mkutano wa Nne wa Kimataifa wa Ufadhili wa Maendeleo (FfD4) unaofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Fibes Jijini Sevilla nchini Hispania. Tarehe 30 Juni 2025.