Featured • Kitaifa AZZA HILLAL HAMAD ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE JIMBO JIPYA LA ITWANGI 3 hours agoby mzalendoeditor3 Views Written by mzalendoeditor Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Shinyanga Azza Hillal Hamad leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kugombea Ubunge Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limekatwa kutoka Jimbo la Solwa mkoani Shinyanga. FacebookXGoogle+PinterestLinkedIn