Featured Kitaifa

JESCA MBOGO ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE VITI MAALUM DODOMA

Written by Alex Sonna

Aliyekuwa Naibu Katibu mkuu UWT Taifa Bi.Jesca Mbogo leo amechukua fomu ya kuwania ubunge wa viti maalumu mkoa wa Dodoma, Bi.Jesca amekabidhiwa fomu leo na katibu wa UWT Mkoa wa Dodoma Bi. Irimina Mushongi.

About the author

Alex Sonna