Featured Kitaifa

JAFO AREJESHA FOMU YA KUOMBA RIDHAA UBUNGE KISARAWE

Written by mzalendoeditor
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amerejesha fomu  ya kuomba ridhaa ya kutetea tena Ubunge katika Jimbo la Kisarawe
Dkt.Jafo amerejesha fomu hiyo  kwa Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kisarawe Bi.Josephine Mwanga,mapema leo Juni 29, 2025.
Zoezi la uchukuaji fomu katika ofisi za Chama Cha Mapinduzi (CCM) linaendelea nchi nzima ambapo watia nia tofauti wameendelea kujitokeza kwa ajili ya kuchukua fomu za Ubunge na Udiwani.

About the author

mzalendoeditor