Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

Gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

meritking giriş

meritking

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat güncel

jojobet

matbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

bets10

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AZINDUA  KIWANDA CHA MBOLEA CHA ITRACOM 

Written by Alex Sonna
RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,akiwa na Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Mstaafu Evariste Ndayishimiye,wakikata utepe kuashiria uzinduzi wa Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM  kilichopo Nala, Jijini Dodoma.
Na.Kulwa Meleka-DODOMA
RAIS  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan,ametoa raia kwa uongozi wa kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM kuhakikisha kuwa wanaimarisha mfumo wa usambazaji wa mbolea ili iweze kuwafikia wakulima waliopo vijijini.
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa rai hiyo leo Juni 28,2025 jijini Dodoma wakati akizindua na kufungua Kiwanda cha Mbolea cha ITRACOM  kilichopo Nala, Jijini Dodoma.
“Nitoe rai kwa uongozi wa kiwanda cha ITRACOM kuhakikisha kwamba mnaimarisha mfumo wa usambazaji wa mbolea hadi wakulima waliopo vijijini ili waweze kuipata mbolea hiyo kwa gharama nafuu”amesema Rais Samia
Aidha Rais Samia  amezitaka mamlaka za mikoa na serikali za mitaa kutoa elimu ya kina kwa wakulima juu ya matumizi sahihi na vipimo vya mbolea ya FOMI katika uzalishaji wa mazao mbalimbali.
Amesema kuwa inawezekana wakulima wakafikiwa na mbolea hiyo lakini wasiwe na maelekezo sahihi ya namna ya kuitumia.
Rais Samia amesisitiza juwa elimu hiyo ni muhimu ili kuhakikisha mbolea inatumika kwa tija na kwa kuzingatia viwango vinavyofaa kwa kila aina ya zao na ardhi husika.
Hata hivyo ameongeza kuwa kwa kutoa elimu hiyo,kiwanda hicho kitakuwa kimechangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarisha usalama wa chakula,kupunguza umasikini na kuongeza ajira kwa vijana na wanawake.
“Kiwango cha biashara kati ya Burundi na Tanzania kinaendelea kukua hivyo uwekezaji huu unaongeza fursa za ajira kwa vijana wetu, na kupitia mpango wa kuongeza vituo vya uuzaji wa pembejeo, wakulima sasa wanapata vifaa kwa gharama nafuu. Serikali imeanzisha pia mpango mkakati wa kujenga mabwawa ili kukabiliana na changamoto za ukosefu wa mvua.”
Pia Rais Samia amesema kuwa wameendelea  kuonyesha jitihada za serikali katika kuboresha sekta ya kilimo kwa kuwahakikishia wawekezaji wanakuwa na ushirikiano wa karibu.
Kwa upande wake Rais wa Jamhuri ya Burundi Meja Jenerali Mstaafu Evariste Ndayishimiye,amesema uzinduzi wa kiwanda hicho ni hatua muhimu ya kuchochea maendeleo katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Akiwa ameambatana na mwenyeji wake,Rais Samia Suluhu Hassan,Rais Ndayishimiye,amesema kuwa kumekuwa na mabadiliko makubwa ya mahusiano kati ya Burundi na Tanzania.”Zamani tulikuwa tunakuja kama wakimbizi,sasa tunakuja kama wawekezaji.
“Naishukuru Serikali ya Tanzania na wananchi wake kwa moyo wa ukarimu na kwa kuunga mkono mradi huo mkubwa,amefafanua kuwa kiwanda cha ITRACOM hakitachochea tu maendeleo ya kilimo bali pia kitaimarisha mshikamano wa kikanda”amesema Rais Ndayishimiye
Naye Waziri wa Kilimo Mhe,Hussein Bashe, ameipongeza serikali ya awamu ya sita kwa juhudi zake katika sekta ya kilimo.
“Serikali ya awamu ya sita imetekeleza kwa kina zana ya maendeleo kupitia wizara ya kilimo. Milioni 700 zimetengwa kwa ajili ya kuwapa wananchi ruzuku ya mbolea, na zaidi ya bilioni 500 zimetumika kwa ajili ya kuwapa wakulima wa korosho. Tanzania kwa sasa tunazihudumia nchi za Kenya, Congo, Kuanzia tarehe 1 Septemba 2025, wananchi wataanza kununua mbolea kwa bei ya ruzuku.” amesema Mhe.Bashe
Awali Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha ITRACOM Bw.Nduwimana Nazaire,amesema kuwa kiwanda hicho kina uwezo wa kuzalisha mbolea Tani Milioni moja kwa mwaka huku ajira zaidi 1800 za moja kwa moja tayari zimeshatolewa.
“Ilikuwa kama ndoto, leo tumetimiza Ujenzi  na kufungua kiwanda hiki kina uwezo wa kuzalisha mbolea tani milioni moja kwa mwaka. Mwaka 2020 mradi ulianza kutekelezwa, wewe ukiwa kama Makamu wa Rais. Kwa msimamo wako dhabiti ulihakikisha kiwanda hiki kinatekelezwa na kujengwa.”amesema Bw.Nazaire
Pia amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Burundi kwa kuruhusu uwekezaji huo wa mbolea hizo zinaboresha afya za udongo na zinaongeza mavuno, zimetengenezwa kwa mchanganyiko wa vitu mbalimbali.
“Kiwanda hiki kimetengeneza zaidi ya ajira 1,800 na kuna ajira zingine zisizo za moja  kwa moja ambazo ni 3,000. Nipende kumshukuru Waziri wa Kilimo Mhe,Hussein Bashe, kwa usimamizi wake wa wizara. Tuna aina 14 za mbolea leo hii tarehe 28 Juni 2025. Mwaka 2021 tuliweza kuanza mradi kwa uwekezaji wa kujenga kiwanda hiki.”amesema

About the author

Alex Sonna