Featured Kitaifa

DKT. NCHIMBI AKUTANA NA MWANDISHI MKONGWE ABSALOM KIBANDA

Written by mzalendoeditor

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. John Emmanuel Nchimbi akizungumza jambo na Mwandishi mkongwe, Mwenyekiti Mstaafu wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF),Ndugu Absalom Kibanda akiwa ofisini kwake, Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, leo Ijumaa , tarehe 27,Juni 2025.   

About the author

mzalendoeditor