Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AWEKA SHADA LA MAUA KATIKA MNARA WA KUMBUKUMBU JIJINI MAPUTO

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiweka taji la maua kwenye mnara wa kumbukumbu wa Mashujaa Mjini Maputo ikiwa sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Jamhuri ya Msumbiji, tarehe 25 Juni 2025.     

About the author

mzalendoeditor