Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

casibom giriş

pokerklas

royalbet

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu

galabet

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

mobilbahis

casibom

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

artemisbet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

deneme bonusu veren siteler

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

güvenilir casino siteleri

Hacklink Panel

teosbet

vdcasino giriş

zirvebet

mislibet giriş

imajbet

jojobet

nerobet

jojobet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

caddebet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet giriş

ikimisli

tipobet

mislibet

jojobet adres

casibom

realbahis

ikimisli

queenbet

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

jojobet giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

holiganbet giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

caddebet, caddebet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

monobahis, monobahis giriş

superbetin

meritking

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

roketbet

cratosroyalbet

ligobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

tempobet

jojobet giriş

perabet

ilbet

deneme bonusu

casibom güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

caddebet, caddebet giriş

google

ganobet

tophillbet

marsbahis

atlasbet

grandpashabet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

betflix giriş

betflix

betturkey

casinoroyal

mercurecasino

sonbahis

esbet

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

ikimisli

queenbet

jojobet

holiganbet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom giriş

casibom

mavibet

meritking giriş

meritking

marsbahis

betsmove

betsmove

mavibet

holiganbet giriş

jojobet

goldenbahis

holiganbet

galabet

holiganbet

mislibet

casibom

betbey

Hacklink panel

betturkey

jojobet

google giir

jojobet

madridbet

realbahis

casibom giriş

royalbet

jojobet giriş

royalbet

casibom giriş

casibom giriş

casibom

merit

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

meritking giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

timebet

Bet365 Giriş

betturkey

betturkey giriş

atlasbet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

casibom

vdcasino

mislibet giriş

kingroyal

kingroyal

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

monobahis, monobahis giriş

betine

jojobet

betvole

betvole

betkolik

betkolik

betplay

betplay

aresbet

aresbet

alfabahis

alfabahis

gobahis

gobahis

livebahis

livebahis

atlasbet

atlasbet

ultrabet

ultrabet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis

coinbar

coinbar

elitcasino

elitcasino

bahisfair

bahisfair

gonebet

gonebet

betovis

betovis

golegol

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

jestbahis, jestbahis giriş

deneme bonusu

Featured Kitaifa

BIDHAA BANDIA ZATAJWA KUDHOOFISHA UWEKEZAJI NA MAPATO YA TAIFA , FCC YAPIGILIA MSUMARI UDHIBITI

Written by Alex Sonna
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw.Salvator Chuwa ,akizungumza na  waandishi wa habari leo Juni 20,2025 jijini Dodoma kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.
Na Alex Sonna,Dodoma
TUME ya Ushindani (FCC) imesema kuwa biashara ya bidhaa bandia imeendelea kuwa tishio kubwa kwa uchumi wa Taifa na dunia kwa ujumla, kutokana na kuharibu mazingira ya uwekezaji, kupunguza mapato ya Serikali na kuhatarisha afya za walaji.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dodoma kuelekea Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw.Salvator Chuwa, amesema bidhaa bandia zinachangia kati ya asilimia 2.5 hadi 3.3 ya biashara ya kimataifa, hali inayotoa mianya ya upatikanaji wa mapato haramu duniani.
Chuwa ameeleza kuwa bidhaa bandia zimekuwa zikiathiri kwa kiasi kikubwa ushindani wa haki katika masoko kwa kuzipa changamoto bidhaa halali zinazozalishwa na wawekezaji halisi.
 Amefafanua kuwa gharama kubwa za uendeshaji na uzalishaji wa bidhaa halali haziwezi kushindana na bei za bidhaa bandia ambazo si salama na hukosa ubora, hali inayosababisha wazalishaji halali kufunga biashara, kupungua kwa ajira na mapato ya kodi kwa Serikali.
“Biashara ya bidhaa bandia ni kosa la jinai na pia ni ukiukwaji wa mikataba ya kimataifa ikiwemo ile ya Shirika la Biashara Duniani (WTO), ambayo Tanzania ni miongoni mwa wanachama. Endapo hatutadhibiti hali hii, ushiriki wetu wenye tija katika biashara ya kimataifa utaathirika,” alionya.
Amesisitiza kuwa wananchi wanapaswa kuelimishwa kuhusu madhara ya bidhaa bandia, ili wawe na uwezo wa kutambua, kukwepa na kutoa taarifa juu ya bidhaa hizo. Kwa mujibu wake, udhibiti huo hauwezi kuwa wa upande mmoja pekee, bali unahitaji ushirikiano baina ya Serikali, sekta binafsi, wamiliki wa miliki bunifu na wadau wa maendeleo.
Kwa upande wa utekelezaji wa majukumu ya FCC,  Chuwa amesema Tume hiyo hufanya kaguzi katika maeneo ya kuingilia bidhaa nchini kama bandari, vituo vya forodha na mipakani, sambamba na kutoa elimu kwa wadau kupitia ofisi zake zilizopo Dar es Salaam, Dodoma, Mwanza, Arusha na Mbeya.
“Katika kutekeleza jukumu hili muhimu, FCC inashirikiana kwa karibu na jumuiya za wafanyabiashara, wataalamu wa ushuru wa forodha (TAFFA), vyuo vikuu, taasisi za Serikali na mashirika ya kimataifa ili kuhakikisha elimu inawafikia walengwa kwa upana na ufanisi mkubwa,” amebainisha.
Ameeleza kuwa Maadhimisho ya mwaka huu yanafanyika jijini Dodoma yakiwa na kaulimbiu “Kujenga Kesho Salama, Kutetea Uhalisia kwa Uongozi Thabiti” na kwamba Shughuli mbalimbali zimepangwa kuanzia Juni 19 hadi 25, zikiwemo vipindi vya redio, semina na Kongamano la Kitaifa litakalowakutanisha wamiliki wa miliki bunifu, wanasheria, wafanyabiashara, wanahabari na taasisi mbalimbali za Serikali na kimataifa.
Ngasongwa amesema kuwa Kongamano hilo litafanyika tarehe 25 Juni 2025 katika Ukumbi wa Mabeo, jijini Dodoma na linatarajiwa kufunguliwa rasmi na Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo .
Aidh ameeleza kuwa FCC imewajengea uwezo wadau wengi kupitia warsha na semina mbalimbali ikiwemo Wakuu wa Mikoa, Kamati za Kudumu za Bunge, Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Majaji wa Mahakama ya Rufani na Mahakama Kuu, Makatibu Wakuu wa wizara mbalimbali, pamoja na wanachama wa vyama vya wafanyabiashara kama JWT, CTI, SHIUMA na CHAWASAPI.
Chuwa amebainisha kuwa elimu hiyo pia imewafikia wanafunzi wa vyuo vikuu zaidi ya kumi nchini pamoja na taasisi za Zanzibar (ZFCC) na Kenya (ACA), kwa lengo la kuimarisha uelewa na ushirikiano wa kikanda katika kupambana na bidhaa bandia.
Katika kuhakikisha udhibiti wa bidhaa bandia unafanyika kwa ufanisi zaidi, FCC imepanua huduma zake kwa kufungua ofisi mpya tatu za kikanda – Mwanza, Arusha na Mbeya ambazo zinafanya kazi ya kudhibiti uingizaji wa bidhaa bandia kupitia mipaka mikuu ya kibiashara kama Namanga, Kasumulu na Tunduma.
“Ofisi hizi mpya zinasaidia kuongeza tija ya udhibiti wa bidhaa bandia kwa kuwa karibu zaidi na wananchi na maeneo ya kimkakati. Kwa sasa tuna ofisi tano za FCC nchini zinazorahisisha utekelezaji wa Sheria ya Alama za Bidhaa kwa weledi na ufanisi zaidi,” ameongeza.
Amesisitiza kuwa uvutiaji wa uwekezaji nchini unategemea uaminifu wa mifumo ya soko, hivyo ni jukumu la kila Mtanzania kushiriki kikamilifu katika mapambano dhidi ya bidhaa bandia kwa kutoa taarifa na kuwa sehemu ya ulinzi wa haki miliki.
“Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazotekeleza soko huru la biashara barani Afrika (AfCFTA),kuendelea kuwepo kwa bidhaa bandia kunaweza kuondoa sifa yetu ya kuuza bidhaa zenye ubora barani Afrika. Nawasihi waandishi wa habari na vyombo vyao viendelee kutusaidia kufikisha ujumbe huu kwa wananchi,” amesisitiza.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw.Salvator Chuwa ,akizungumza na  waandishi wa habari leo Juni 20,2025 jijini Dodoma kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw.Salvator Chuwa ,akizungumza na  waandishi wa habari leo Juni 20,2025 jijini Dodoma kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa FCC Bw.Salvator Chuwa ,akizungumza na  waandishi wa habari leo Juni 20,2025 jijini Dodoma kuelekea kilele cha Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Udhibiti wa Bidhaa Bandia Duniani yanayotarajia kufanyika Juni 25,mwaka huu jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna