Featured Kitaifa

MATUKIO KATIKA PICHA:KIKAO MUHIMU CHA TUME YA TAIFA YA MIPANGO

Written by mzalendoeditor


Kikao Maalum cha Tume ya Taifa ya Mipango kilichofanyika leo tarehe 18 Juni 2025 chini ya Makamu Mwenyekiti Mhe. Prof. Kitila Mkumbo (Mb.) na kuhudhuliwa na wajumbe wa Tume hiyo Katika Ukumbi wa Mikutano wa jengo la Mkandarasi jijini Dodoma.

Kikao hicho cha Tume kimejadili rasimu ya Dira 2050 na Mpango Elekezi wa Maendeleo wa Muda Mrefu (LTPP).

About the author

mzalendoeditor