slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

holiganbet giriş

NervEase

sapanca escort

google algoritma hack

escort sapanca

jojobet

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

jojobet

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

artemisbet giriş

artemisbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet giriş

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

slot siteleri

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

artemisbet giriş

artemisbet

kavbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

klasbahis

artemisbet giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

holiganbet

jojobet

trust score weak 3

jojobet giriş

slot siteler

deneme bonusu 2026

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

Piabet

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

casinowon

wbahis

betpuan

sekabet

bahiscasino

vdcasino giriş

vdcasino

Featured Kitaifa

HALMASHAURI YA MBULU YATAKIWA KUANZISHA VYAMA VYA USHIRIKA VYA WAFUGAJI  KUJENGA UCHUMI WAO

Written by Alex Sonna
Afisa  Ushirika Mkuu kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC, Justin Mogendi,akizungumza  wakati akifunga mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyohitimishwa Juni 7,2025 katika Haydom AMCOS iliyopo Haydom Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kwa niaba ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Manyara.
Na. Alex Sonna-HAYDOM
Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu ina Vyama 30 vya ushirika, lakini hakuna chama hata kimoja kinachojihusisha moja kwa moja na sekta ya ufugaji  hali inayotajwa kuwa pengo kubwa katika mnyororo wa fursa za kiuchumi kwa wakazi wa eneo hilo.
Hayo yamesemwa na Afisa  Ushirika Mkuu kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC, Justin Mogendi, wakati akifunga mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyohitimishwa Juni 7,2025 katika Haydom AMCOS iliyopo Haydom Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kwa niaba ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Manyara.
Mogendi amesema kuwa   ipo haja ya haraka kwa wananchi kuanzisha vyama vya ushirika vya mifugo ya kuku, mbuzi na ng’ombe ili kufungua milango ya mafunzo, mikopo na masoko ya uhakika.
“Tuna vyama vingi, lakini hakuna vinavyojikita katika mifugo, wakati sekta hii ni uti wa mgongo kwa wakazi wengi wa Mbulu, hili ni eneo ambalo linapaswa kutazamwa upya,” amesema Mogendi.
Mbali na hayo Mogendi ameeleza kuwa mfumo wa stakabadhi ghalani ni mkombozi kwa wakulima na unapaswa kutumika kikamilifu kupitia vyama vya ushirika vya mazao kama mahindi, alizeti na dengu.
Alibainisha kuwa katika maeneo kama Haydom, uzalishaji wa mahindi ni wa kiwango kikubwa, hivyo kuwepo kwa vyama vinavyoendesha mfumo huo kutasaidia wakulima kupata bei nzuri sokoni na kuepuka hasara za kuuza kwa bei duni wakati wa mavuno.
“Manyara ni miongoni mwa mikoa inayozalisha mahindi kwa wingi, tusipoweka mifumo ya usimamizi kupitia vyama, wakulima wetu wataendelea kunufaisha walanguzi badala ya kujinufaisha wenyewe,” ameongeza.
Kwa upande wake, Mwenyekiti wa Haydom AMCOS, John Sanka, aliishukuru Tume ya Maendeleo ya Ushirika kwa kupeleka wakufunzi, akieleza kuwa mafunzo hayo yamewapa maarifa ya kutafuta soko kabla ya uzalishaji  hatua itakayosaidia kupata masoko ya uhakika.
 “Ombi letu ni kwa serikali kutusaidia sisi vyama vipya. Mafunzo haya ni chachu, lakini bado tunahitaji msaada zaidi ili kukua,” amesema Sanka
Naye Afisa Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Dominick Nzimba, amesema washiriki wamepata mafunzo ya vitendo kuhusu kanuni bora za kilimo na usimamizi wa fedha, tofauti na hapo awali ambapo uzalishaji haukuwa na mwelekeo wa  kiuchumi.
Amesisitiza kuwa wakulima wa mboga mboga nao wanapaswa kujiunga katika vyama vya ushirika ili waweze kufikiwa na mikakati ya kiserikali ya kuwawezesha kwa njia ya urahisi na kwa pamoja.

Afisa  Ushirika Mkuu kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC, Justin Mogendi,akizungumza  wakati akifunga mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyohitimishwa Juni 7,2025 katika Haydom AMCOS iliyopo Haydom Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kwa niaba ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Manyara.

Afisa  Ushirika Mkuu kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC, Justin Mogendi,akizungumza  wakati akifunga mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyohitimishwa Juni 7,2025 katika Haydom AMCOS iliyopo Haydom Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara kwa niaba ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Manyara.

Afisa Ushirika Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu, Dominick Nzimba,akizungumza  wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyohitimishwa Juni 7,2025 katika Haydom AMCOS iliyopo Haydom Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.

Mwenyekiti wa Haydom AMCOS, John Sanka,akizungumza  wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyohitimishwa Juni 7,2025 katika Haydom AMCOS iliyopo Haydom Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.

Mtendaji wa Kata ya Haydom Elizabeth Marwa,akizungumza  wakati wa mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025 yaliyohitimishwa Juni 7,2025 katika Haydom AMCOS iliyopo Haydom Halmshauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara.

Sehemu ya wanaushirika wa Haydom AMCOS wakimsikiliza Afisa  Ushirika Mkuu kutoka Tume ya Maendeleo ya Ushirika Tanzania TCDC, Justin Mogendi (hayupo pichani)  wakati akifunga mafunzo kwa wanachama wa Vyama vya Ushirika vya Mazao ya Bustani ikiwa ni utekelezaji wa Mradi Kwa awamu ya pili mwaka 2024/2025  kwa niaba ya Mrajisi Msaidizi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Manyara.

About the author

Alex Sonna