slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

holiganbet

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

marsbahis giriş

NervEase

sapanca escort

sapanca escort

escort sapanca

holiganbet

jojobet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betnano

pusulabet giriş

vdcasino

grandpashabet

dizipal

1xbet giriş

1xbet

teosbet

madridbet

marsbahis

imajbet giriş

interbahis

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

alobet, alobet giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

timebet

trimology review

holiganbet

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

holiganbet

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

kingroyal

dinamobet giriş

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

Pusulabet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

istanbulbahis

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10 giriş

zirvebet

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

holiganbet giriş

jokerbet

jokerbet giriş

imajbet

imajbet giriş

interbahis giriş

imajbet

matbet

savoybetting

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

deneme bonusu

Hacklink Panel

palacebet

vdcasino giriş

bets10 giriş

interbahis

matbet

imajbet

interbahis giriş

klasbahis

interbahis giriş

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

timebet giriş

casibom giriş

jojobet

jojobet

trust score weak 3

holiganbet

slot siteler

deneme bonusu 2026

imajbet

imajbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

casibom

netbahis

1xbet giriş

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

sekabet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

betgar, betgar giriş

bahiscasino, bahiscasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

madridbet

bets10

ilbet

ilbet giriş

deneme bonusu veren siteler

meritking

timebet

meritking

casino siteleri

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

Marsbahis - Marsbahis Giriş

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

betasus

padişahbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

casibom

marsbahis

jojobet giriş

matbet

sekabet

pusulabet

vdcasino giriş

kingroyal

truvabet

truvabet

Featured Kitaifa

UDOM YAZINDUA PROGRAMU MAALUM YA USALAMA MTANDAONI

Written by mzalendo

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodma (UDOM), Prof. Lughano Kusiluka, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni iliyofanyika leo Juni 4,2025 UDOM.

Mratibu Mkuu wa Mradi wa  iACT Bw. Edward Sunberg, akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni iliyofanyika leo Juni 4,2025 UDOM.

Sehemu ya washiriki waliohudhuria kwenye uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni wakiwemo viongozi mbalimbali na wanafuzi leo Juni 4,2025 UDOM.

Prof. Ismail Juma Ismail – Mwakilishi wa Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Taaluma, Tafiti na Ushauri Elekezi (UDOM), akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni iliyofanyika leo 4,2025 UDOM.

Mwakilishi wa Naibu Makamu Mkuu wa Chuo – Mipango, Fedha na Utawala (UDOM), Prof. Jefta Sunzu akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni iliyofanyika leo Juni 4,2025 UDOM.

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodma (UDOM), Prof. Lughano akiteta jambo na mratibu na mwalimu mkuu wa CYACADEMY ya nchini Marekani Bw.Karl Chambers, wakati wa hafla ya uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni iliyofanyika leo Juni 4,2025 UDOM.

Baadhi ya vijana wakionesha utaalamu wao kwenye masuala ya usalama wa tandaoni, kwenye hafla ya uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni iliyofanyika leo Juni 4,2025 UDOM.

Picha ya pamoja ya washiriki kwenye hafla ya uzinduzi wa Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni iliyofanyika leo Juni 4,2025 UDOM.

Na Mwandishi Wetu, Dodoma

Inaelezwa kuwa bara zima la Afrika wataalamu wa masuala ya usalama mtandaoni ni elfu Saba pekee huku uhitaji ukiwa ni zaidi ya wataalam milioni Nne, ambapo kutokana na upungufu huo Tanzania kwa kushirikiana na wadau mbalimbali na Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), wanapambana ili kuihakikishia nchi usalama mtandaoni.

Akizungumza na wanahabari leo Juni 4,2025 Jijini Dodoma mara baada ya kuzindua Programu Maalumu ya Usalama Mtandaoni, Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Lughano Kusiluka amesema watakao soma programu hiyo uwezekano wa kupata ajira nje ya mipaka ya nchi ni mkubwa.

“Na hili pia ni lengo la kitaifa kwamba vijana na wataalam kutoka hapa kwetu kushiriki katika fursa za kazi duniani kote, nadhani kwa kuanza hii programu tutafungua mlango mkubwa kwa vijana wetu anaosoma UDOM na wale wengine watakao jiunga kupata cheti ambacho kitawatambulisha kimataifa kwamba wao ni wataalamu wa masuala ya mtandao,”amesema.

Aidha, amesema fursa hiyo imetokana na Mazungumzo Kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan alipokuwa nchini Marekani pamoja na mojawapo wa viongozi wa Shirika hilo ambaye alimdokeza nia ya kuendelea kujenga uwezo wa nchi za Afrika katika Masuala ya Usalama Mtandaoni ambapo Rais alipendekeza kuanza na chuo hicho.

“Sisi kama chuo tunashukuru kwamba Rais wetu aliona kwamba tunaweza kuwa chuo cha kuanzia lakini lengo ni kuhakikisha kwamba watanzania wengi watashiriki ili hata badae hawa wafadhili wanaotufadhili wasipokuwepo tuweze kuendeleza wenyewe,”ameongeza.

Kwa upande wake Mratibu Mkuu wa Mradi huo Bw. Edward Sunberg, amesema hyo ni programu yao ya kwanza kuanzisha Barani Afrika na kwamba lengo ni kuona wanafunzi wengi wananufaika na mpango huo ili kukidhi vigezo vya kiushindani vya kidunia katika masuala yanayohusu usalama wa mitandao.

“Tulifanya utafiti tukagundua kuwa, ili Afrika iendelee kukua na kuwa yenye mafanikio, inahitaji sana Ulinzi na Usalama wa kimtandao. Kwa hiyo kuanzisha programu kutasaidia kuongeza wataalamu wa usalama na ulinzi wa kimtandao na kuwa msaada kwa taaluma hiyo, kwa Taifa na Afrika Kwa ujumla,”amesema.

Programu hiyo imezinduliwa kwa kuanza na awamu ya kwanza ya mafunzo yenye wanafunzi 80 wa mwaka wa Pili hadi wa Nne wanaosoma masomo ya TEHAMA, ambapo watasoma kwa mwaka mmoja na baadae wakifuzu mitihani watapata vyeti vinavyotambulika kimataifa na kusaidiwa kupata ajira.

Chuo Kikuu cha Dodoma kwa Kushirikiana na Shirika Lisilo la Kiserikali la Kimarekani Africa Program for Cyber Technology ( iACT) wamezindua mpango huo huku lengo likiwa ni kuwaongezea uwezo watalaamu wa Usalama wa Mitandao na Kuweza kutambulika Kimataifa.

About the author

mzalendo