Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

bahiscasino

ultrabet

vaycasino

sweet bonanza

【鑑定書】のように公的な効力はありませんが、販売元が営業を続けている限り本物であることを保証してもらえるので無いよりかなり安心です。 なお ...

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

casibom güncel giriş

jojobet giriş

sweet bonanza

sweet bonanza siteleri

deneme bonusu

cashwin

mercurecasino

palacebet

romabet

betsalvador

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betbey

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

jojobet

jojobet güncel giriş

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

türk ifşa

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

holiganbet

betsat

betsat

jojobet

1win

casibom

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

jojobet giriş

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Pusulabet

pusulabet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

superbetin

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

grandpashabet

grandpashabet

jojobet

Hacklink panel

tümbet

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

Featured Kitaifa

WANANCHI ZAIDI YA MILIONI 2 WAMENUFAIKA NA KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA YA MAMA SAMIA

Written by Alex Sonna

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, akizungumza na waandishi wa habari  kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 20,2025 jijini Dodoma.

Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro, akizungumza na waandishi wa habari  kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Mei 20,2025 jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA kipindi cha Serikali ya awamu ya Sita, wananchi wapatao 2,698,908 wamefikiwa kwa kupata elimu na huduma za kisheria kupitia Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia.

Hayo yameelezwa leo Mei 20,2025 jijini Dodoma na Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro,  wakati akizungumza na waandishi wa habari  kuhusu mafanikio ya Wizara hiyo chini ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Amesema kuwa tangu kuzinduliwa kwa kampeni hiyo tarehe 27,Aprili 2023,Jumla ya mikoa 25 imefikiwa na Kampeni hiyo ,ili kuhitimisha nchi nzima Mkoa uliobaki ni Dar es Salaam ambapo Kampeni itatekelezwa Juni,2025.

“Kupitia Kampeni hiyo, jumla ya Halmashauri 180, Kata 1,907 na Vijiji/Mitaa 5,702 zmefikiwa na jumla ya wananchi 2,698,908,Wanaume 1,347,325 na Wanawake 1,351,583 walifikiwa na kupata elimu na huduma za kisheria kupitia mikutano ya ana kwa ana.”amesema Dkt.Ndumbaro

Amesema katika utekelezaji wa Kampeni hiyo, elimu ya sheria pia imekuwa ikitolewa kupitia vyombo vya habari ikiwemo redio za kitaifa na kijamii, televisheni na mitandao ya kijamii na vipeperushi.

Kwa upande wa  Zanzibar utekelezaji wa Kampeni hiyo  umefanyika katika mikoa mitatu  ambayo ni Kaskazini Pemba, Mjini Magharibi, Kaskazini Unguja, Kusini Pemba na Kusini Unguja na hivyo kukamilisha maeneo yote ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania isipokuwa Dar es Salaam.

Aidha, ameeleza kuwa idadi ya mashirika yanayotoa msaada wa kisheria imeongezeka kutoka 84 mwaka 2021 hadi 377 mwaka 2025, huku wasaidizi wa msaada huo wakiongezeka kutoka 617 hadi 2,205.

Dkt.Ndumbaro amesema kuwa  Serikali imeanzisha Madawati ya Msaada wa Kisheria katika mamlaka 184 za serikali za mitaa na kuwaajiri watumishi 449 ili kuyasimamia. Tangu kuanzishwa kwa madawati hayo, wananchi 6,427,738 wamepatiwa elimu ya sheria na haki za binadamu.

Katika hatua ya kuimarisha utawala wa sheria, Serikali kupitia Ofisi ya Mwanasheria Mkuu imekamilisha uhakiki wa Sheria Kuu 300 kati ya 446 zilizotafsiriwa kwa Kiswahili, hatua inayolenga kurahisisha upatikanaji wa haki kwa wananchi wote.

Hata hivyo amesema kuwa wameanzisha  Kituo cha Huduma kwa Mteja kinachorahisisha upokeaji wa malalamiko kupitia simu, WhatsApp na barua pepe.

Amesema kati ya mwaka 2021 hadi 2025, idadi ya majaji imeongezeka kutoka 92 hadi 146 na mahakimu kutoka 1,412 hadi 1,426. Hali hiyo imesaidia kupunguza mrundikano wa mashauri ambapo mashauri ya muda mrefu ni asilimia 4 tu ya yaliyosalia mahakamani.

Serikali pia imekamilisha ujenzi wa Vituo Jumuishi vya Utoaji Haki katika mikoa sita na inaendelea na ujenzi wa vituo tisa zaidi. Mahakama za Wilaya na za Mwanzo zimejengwa na kukarabatiwa kwa kasi ili kuboresha upatikanaji wa haki kwa wananchi.

Vilevile, matumizi ya TEHAMA katika sekta ya sheria yameongezeka kwa asilimia 75, huku mifumo ya HAKI SHERIA na ya kutafsiri hukumu kwa Kiswahili na Kiingereza ikiimarishwa ili kurahisisha upatikanaji wa kumbukumbu za kimahakama.

Ofisi za Mashtaka zimeongezeka kutoka 53 mwaka 2021 hadi 108 mwaka 2025, huku watoa huduma 498 wakisajiliwa kwa ajili ya utatuzi wa migogoro kwa njia mbadala.

Katika eneo la usajili wa watoto, zaidi ya watoto milioni 10 wamepatiwa vyeti vya kuzaliwa tangu mwaka 2021, hatua iliyoifanya Tanzania kutambuliwa kwa daraja “A” na taasisi ya kimataifa ya haki za binadamu kutokana na juhudi zake katika utawala bora.

Kwa upande wa elimu ya sheria, jumla ya wanafunzi 5,333 wamesajiliwa na 2,375 kuhitimu mafunzo ya uanasheria kwa vitendo tangu 2021. Chuo cha Uongozi wa Mahakama kimehitimisha wanafunzi 2,876 katika ngazi ya cheti na astashahada.

“Mafanikio haya ni ushahidi wa dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuhakikisha haki inatolewa kwa wote kwa haraka, kwa usawa na kwa gharama nafuu,” alisisitiza Dkt. Ndumbaro huku akiwasihi wananchi kutumia huduma za kisheria zinazotolewa na serikali.

About the author

Alex Sonna