Featured Kitaifa

RAIS DKT.MWINYI AMUAPISHA KAMISHNA WA TUME YA MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA ZANZIBAR

Written by mzalendoeditor

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimuapisha Kombo Hassan Juma kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo ya uapisho iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

KOMBO Haasan Juma akiapa kuwa Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya kiapo ya Kamishna wa Tume ya Maadili ya Viongozi wa Umma Zanzibar, baada ya kumuapishaΒ  Kombo Hassan Juma, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 15-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)

About the author

mzalendoeditor