Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

ilbet giriş

ilbet

pokerklas giriş

casibom güncel giriş

pokerklas

royalbet giriş

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

grandpashabet giriş

deneme bonusu

İkimisli

onwin

grandpashabet

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

casibom

kavbet

mavibet

jojobet

cratosroyalbet

cratosroyalbet giriş

lunabet

mislibet

mislibet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

Grandpashabet Güncel Giriş

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

grandpashabet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

onwin

Hacklink Panel

casinomilyon

vdcasino giriş

bets10 giriş

jojobet giriş

nerobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

Meritking

nerobet

สล็อตเว็บตรง

bets10

tarafbet

jojobet

jojobet

holiganbet

trust score weak 3

holiganbet

grandpashabet

tipobet

meritking

artemisbet

jojobet

jojobet adres

jojobet giris

jojobet adres

jojobet

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet giriş

casibom

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

interbahis, interbahis giriş

caddebet, caddebet giriş

monobahis, monobahis giriş

grandpashabet

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

dinamobet

jojobet

casibom

bets10 güncel giriş adresi

pusulabet

jojobet

perabet

ilbet

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

sweet bonanza siteleri

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

piabet

kulisbet, kulisbet giriş

Google

primebahis

primebahis

marsbahis

sweet bonanza siteleri

Doctors | Akdeniz University Hospital

deneme bonusu veren siteler

casino siteleri

casibom güncel giriş

casibom giriş

sweet bonanza

casibom

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza

deneme bonusu

sekabet

grandpashabet

casinoroyal

casinomilyon

betplay

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet adres

mavibet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet

jojobet

jojobet giris

jojobet telegram

jojobet telegram

jojobet

jojobet telegram

jojobet giriş

bahiscom

Hacklink panel

jojobet

holiganbet

Google

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet telegram

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet giriş

matbet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

sahabet

mavibet giriş

meritking

betpas

betgaranti

betoffice

primebahis

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

sweet bonanza

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

artemisbet

robinbet

hitbet

betpark giriş

betpark

betpark

betpark güncel giriş

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

interbahis, interbahis giriş

betine

jojobet

jojobet giris

jojobet güncel giriş

betkolik

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet giriş

jojobet adres

jojobet adres

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet adres

jojobet giriş

jojobet giris

marsbahis

jojobet giris

marsbahis

jojobet güncel

jojobet güncel

jojobet telegram

jojobet güncel giriş

jojobet giris

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

bahisfair

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

jojobet adres

jojobet güncel giriş

goldenbahis

goldenbahis

pokerklas, pokerklas giriş

kulisbet

deneme bonusu

jojobet giriş

türk ifşa

casibom

jojobet

https://sjconsultors.com/

jojobet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet güncel

Featured Kitaifa

KAILIMA AONYA WATAKAOVURUGA ZOEZI LA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi wa Tume Huru ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, litakalofanyika kuanzia Mei 16 hadi 22, 2025. Picha na INEC.

Mkurugenzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, litakalofanyika kuanzia Mei 16 hadi 22, 2025. Picha na INEC.

 

Baadhi ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo, Ramadhani Kailima (hayupo pichani), wakati alipokuwa akizungumza katika mafunzo ya waandishi na waendesha vifaa vya Bayometriki, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, litakalofanyika kuanzia Mei 16 hadi 22, 2025. Picha na INEC.

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima (aliyevaa kofia), akimwangalia mwendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) alipokuwa anatoa huduma wakati wa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, litakalofanyika kuanzia Mei 16 hadi 22, 2025. Picha na INEC.

Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu), Dkt. Rose Likangaga akitoa elimu ya Mpiga Kura katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR), Wilayani Mvomero, Mkoa wa Morogoro, Mei 15, 2025, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, litakalofanyika kuanzia Mei 16 hadi 22, 2025. Picha na INEC.

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ramadhani Kailima, akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya ya Kilosa, mkoani Morogoro, Mei 15, 2025 ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura, litakalofanyika kuanzia Mei 16 hadi 22, 2025. Kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari na Elimu ya Mpiga Kura (Elimu), Dkt. Rose Likangaga na kulia ni Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kilosa na Mikumi, Betuely Ruhega. Picha na INEC.

Na Mwandishi Wetu, Morogoro.

Mkurugenzi wa Uchaguzi Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), Ramadhani Kailima, amesema Tume haitamvumilia mtu yeyote atakayehusika na kuvuruga zoezi la uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura kwa kujiandikisha katika vituo zaidi ya kimoja.

Kailima ametoa onyo hilo Mei 15, 2025, wakati akizungumza katika mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki (BVR) wa Wilaya za Kilosa na Mvomero, mkoani Morogoro, ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya awamu ya pili ya mzunguko wa pili wa uboreshaji wa daftari hilo, litakalofanyika kuanzia Mei 16 hadi 22, mwaka huu.

Amesema Serikali imetumia gharama kubwa kuhakikisha zoezi hilo linafanyika kwa mafanikio hivyo Tume haitomvumilia mtu yeyote atakayejaribu kufanya udanganyifu kwa lengo la kutia doa zoezi hilo.

Aidha, Kailima amewataka waandishi wasaidizi na waendesha vifaa hivyo vya BVR katika Halmashauri zote ambazo zoezi hilo litakapoanza Mei 16 hadi 22, 2025, kuzingatia maadili katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwa ni pamoja na utunzaji wa vifaa vya kazi vitakavyotumika katika zoezi hilo.

“Kila mmoja anapaswa kutekeleza wajibu wake kwa weledi na uzalendo, ili kuhakikisha hakuna dosari yoyote inayoibuka,” alisema Kailima

“Tumeweka jitihada kubwa kuhakikisha zoezi hili linafanikiwa, jukumu la utunzaji wa vifaa ni la kila mmoja wenu, tuonyeshe uwajibikaji wa hali ya juu,” alisisitiza Kailima.

Katika hatua nyingine Kailima ameupongeza Mkoa wa Morogoro kwa kufanya vizuri  katika awamu iliyopita ya uandikishaji, ambapo watu 147,000 waliandikishwa idadi hiyo ni sawa na asilimia 10 ya jumla ya watu zaidi ya milioni 1.3 walioandikishwa nchini.

Sambamba na hayo amewataka wananchi kuacha tabia ya kuchana au kuharibu karatasi za orodha ya wapiga kura zilizobandikwa kwenye vituo vya kujiandikishia kwani kitendo hicho kinaweza kuzuia watu wengine kuhakiki taarifa zao, jambo ambalo linaweza kuwanyima haki yao ya kupiga kura iwapo taarifa zitakuwa na hitilafu.

Kwa upande wake, Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Kilosa na Mikumi, Betuely Ruhega ameishukuru Tume kwa kurahisisha mchakato wa uandikishaji, ambapo sasa mtu anaweza kujiandikisha au kubadilisha taarifa zake kwa njia ya mtandao, kisha kwenda kituoni kuchukua kitambulisho chake bila kupoteza muda jambo ambalo limetoa fursa kwa watu kuweza kujiandisha na kuahakiki taarifa zao.

Ameongeza kuwa mfumo huo ni rafiki kwa watu wote, wakiwemo wenye ulemavu, kwani waandishi wasaidizi na waendesha vifaa BVR wamepewa maelekezo ya kuzingatia hali ya kila mtu wakati wa kuchukua alama za vidole, picha na saini.

Uboreshaji wa daftari hili unalenga kuwapa nafasi wapiga kura wapya kujiandikisha, pamoja na kuwahakikishia wapiga kura waliopo kuwa taarifa zao ni sahihi kabla ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura Awamu ya Pili litaingia katika mzunguko wa pili kuanzia Mei 16 hadi Mei 22, 2025, likihusisha mikoa ya Pwani, Tanga, Arusha, Kilimanjaro, Dodoma, Singida, Manyara, Lindi, Mtwara, Morogoro na Dar es Salaam kwa upande wa Tanzania Bara pamoja na Mikoa yote ya Tanzania Zanzibar.

About the author

Alex Sonna