Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet, aresbet giriş

betcio, betcio giriş

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

kingroyal

matbet

ilbet

ilbet giriş

pulibet

cratosroyalbet

tarafbet

süratbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

betasus

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

jojobet

radissonbet

cratosroyalbet

ibizabet

esbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

marsbahis

marsbahis

mavibet

meritking

marsbahis giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

gameofbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

holiganbet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

pokerklas

pokerklas

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

meritbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

vaycasino giriş

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

süratbet giriş

grandpashabet

redwin

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

deneme bonusu veren siteler

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

cashwin

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Featured Kitaifa

MAJALIWA ATETA NA WAZIRI MKUU WA CÔTE D’IVOIRE

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe kwenye kikao cha majadiliano  kilichofanyika kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast. Katika mazungumzo yao waliojadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

*Wakubaliana kuanzishwa kwa Jukwaa la Wafanyabiashara

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe na kujadiliana naye masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia, kilimo na michezo kwenye kikao kilichofanyika ofisini kwa mwenyeji wake, Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan.

Akitoa ufafanuzi mara baada ya kikao hicho jana jioni (Jumanne, Mei 13, 2025), Waziri Mkuu Majaliwa alisema lengo la kikao chao lilikuwa kuimarisha mahusiano ya kidiplomasia lakini pia kuhimiza haja ya nchi hiyo kushirikiana na Tanzania kwenye masuala mbalimbali ikiwemo utafiti na teknolojia za kisasa kwenye kilimo.

“Côte d’Ivoire ina wakazi zaidi ya milioni 81 na inaongoza kwa kilimo cha kakao, korosho na michikichi. Hawa wanalima korosho zaidi kuliko Tanzania, na sisi tunalima korosho kwenye mikoa ya Pwani na kakao kule Mbeya na maeneo mengine. Tunaweza kujifunza kwao na sisi tunaiona hii ni fursa kwetu ya kuongeza uzalishaji kwenye mazao haya.”

“Kakao ni zao kuu la biashara na linawaingiza fedha nyingi za kigeni. Tumekubaliana kuwa mawaziri wetu wa kilimo wakutane na waangalie ni maeneo gani ya kuweka mikataba ikiwemo utafutaji wa masoko na masuala ya utafiti,” alisema Waziri Mkuu Majaliwa ambaye alikuwa Abidjan kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika jukwaa la siku mbili la Maafisa Watendaji Wakuu barani Afrika lililomalizika jana.

Alisema mazungumzo yao yamefungua milango ya kuimarisha biashara na wamekubaliana na mwenyeji wake kwamba mawaziri wa nchi hizo wa viwanda na biashara pamoja na wa mambo ya nje wakutane na kuweka ajenda ya kwanza ya kufanyika kwa Jukwaa la Kibiashara baina ya Tanzania na Côte d’Ivoire.

“Tumekubaliana kuwa jukwaa hilo lifanyike mapema ili wafanyabiashara wetu wakutane na kubadilishana mbinu na hapa tunataka sekta binafsi ilisimamie eneo hilo. “Kupitia TPSF, taasisi zikae pamoja na kuainisha ni maeneo yapi ya kujengeana uwezo, iwe ni teknolojia mpya au ubadilishanaji wa wawekezaji katika mazao ya kokoa na korosho.”

“Tumewahakikishia kuwa tumepunguza muda wa kupata leseni nchini, tumeongeza maeneo ya uwekezaji (EPZA) na hivi karibuni tunatarajia kuanzisha safari za ndege za moja kwa moja kuja Côte d’Ivoire na Nigeria. Tunataraji hatua hiyo itaongeza masoko lakini pia itakuza utalii,” alisema.

Mapema, Waziri Mkuu wa Côte d’Ivoire, Robert Beugre Mambe ambaye pia ni Waziri wa Michezo na Ustawi wa Jamii, alimshukuru Waziri Mkuu kwa kushiriki mkutano huo kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye alisema anatambua kwamba ana majukumu mengine ya kitaifa.

Alisema anampongeza Mheshimiwa Rais wa Tanzania kwa hatua kubwa aliyofikia katika kuiongoza Tanzania huku akiipongeza Tanzania kwa kuandaa mkutano mkubwa wa nishati Afrika uliofanyika Januari 27 -28, mwaka huu.

Alisema anakubaliana na mambo waliyojadiliana leo kwenye masuala ya kilimo cha kakao,korosho na michikichi na kwamba wako tayari kushirikiana na Tanzania kwenye shughuli mbalimbali kadri zitakavyopangwa.

“Tunataraji kushirikiana nanyi kwenye masuala ya zana za kisasa za kilimo. Teknolojia ya kilimo huku kwetu iko juu sana na tunasubiri kuanza kwa jukwaa la wafanyabiashara ili watu wetu waweze kubadilishana uzoefu,” alisema.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokelewa na Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe, alipowasili kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast, kujadiliana kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na michezo Mei 13, 2025. Kushoto ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Cosato Chumi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikaribishwa kwa heshima alipowasili kwenye ofisi ya Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire  iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast kwa ajili ya mazungumzo na  Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe (kushoto). Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe kwenye kikao cha majadiliano  kilichofanyika kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast. Katika mazungumzo yao waliojadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea Zawadi kutoka kwa Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast. Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimaptia Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe zawadi ya picha ya Mlima Kilimanjaro baada ya kumalizika kwa kikao kilichofanyika kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast. Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe baada ya kumalizika kwa kikao  kilichofanyika kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast. Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe baada ya kumalizika kwa kikao  kilichofanyika kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast. Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiagana na Waziri Mkuu wa Cote d’lvoire, Robert Beugre Mambe baada ya kumalizika kwa kikao  kilichofanyika kwenye ofisi ya mwenyeji wake huyo iliyopo Boulevard Angoulvant Plateau, jijini Abidjan, Ivory Coast. Katika mazungumzo yao walijadili kuhusu masuala ya kidiplomasia, kiuchumi, teknolojia na mchezo Mei 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

About the author

Alex Sonna