Featured Kitaifa

NAIBU KATIBU MKUU MNDEME ASHIRIKI KUAGA MWILI WA HAYATI MSUYA

Written by mzalendoeditor

Naibu Katibu Mkuu Christina Mndeme ashiriki kuaga mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Mstaafu na Waziri Mkuu Mstaafu hayati Cleopa David Msuya katika viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 11 Mei 2025. Tarehe 11 Mei 2025.

About the author

mzalendoeditor