Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

betyap

padişahbet

porno izle

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

matbet

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

pasacasino

deneme bonusu

https://sjconsultors.com/

matbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Mariobet

Mariobet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

tarafbet

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet adres

bets10 sorunsuz giriş

betpark

jojobet

jojobet

ultrabet

mavibet

mavibet

setrabet

deneme bonusu veren siteler 2026

anadoluslot

ibizabet

deneme bonusu veren siteler

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

matbet giriş

betlike giriş

mavibet giriş

matbet güncel giriş

mavibet

mavibet

matbet giriş

matbet

mavibet giriş

betlike

mavibet giriş

mavibet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

paribahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

Featured Kitaifa

MAJALIWA:SEKTA YA USHIRIKA NCHINI INAENDELEA KUIMARIKA KWA KASI

Written by Alex Sonna

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 na 2023/2024, wakati wa uzinduzi wa Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Na.Alex Sonna-DODOMA
WAZIRI MKUU,Mhe. Kassim Majaliwa,amewataka wakulima na wananchi kwa ujumla wahakikishe wanajiunga na vyama vya ushirika vilivyosajiliwa, ili waweze kunufaika na fursa mbalimbali zinazotolewa na Serikali na wadau wa maendeleo.
Waziri Mkuu ameyasema hayo leo leo  Aprili 27, 2025 wakati akifungua  mdahalo wa Upatikanaji Mitaji ya Fedha za Maendeleo ya Ushirika ulioenda sambamba na ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023, 2023/2024 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
“Wadau wote wa maendeleo, endeleeni kushirikiana na Serikali katika kutoa rasilimali, utaalamu na ubunifu unaohitajika katika kuendeleza sekta hii muhimu.”amesema Mhe.Majaliwa
Aidha ameitaka Wizara ya Kilimo kuhakikishe maandiko ya taarifa zilizozinduliwa zinaandaliwa pia kwa lugha ya Kiswahili ili kuwawezesha wananchi wengi zaidi kunufaika nazo.
Pia  Waziri Mkuu amesema Sekta ya Ushirika nchini inaendelea kuimarika kwa kasi, ikiwa ni mhimili muhimu wa maendeleo ya kiuchumi na kijamii, hasa katika maeneo mbalimbali.
“Hadi sasa, Tanzania inajivunia kuwa na zaidi ya vyama 7,000 vya Ushirika vilivyosajiliwa, vyenye jumla ya wanachama zaidi ya milioni nane. Vyama hivi vinajumuisha sekta mbalimbali za uchumi kama vile kilimo, uvuvi, madini, biashara na huduma za kifedha.”
Amesema Serikali ya Awamu ya Sita, inayoongozwa Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imechukua hatua madhubuti za kuleta mageuzi katika Sekta ya Ushirika ikiwemo kuboresha mifumo ya usimamizi na uendeshaji wa vyama vya ushirika pamoja na kuimarisha masoko ya mazao kupitia mfumo wa Stakabadhi za Ghala.
“Kuwapatia Maafisa Ushirika vitendea kazi ili waweze kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi, kuboreshwa kwa upatikanaji wa pembejeo kwa wakulima kupitia vyama vya ushirika na kuimarishwa kwa huduma za kifedha kupitia kuanzishwa kwa Benki ya Ushirika (COOP Bank).”
Aidha  Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iimarishe na kufanya ufuatiliaji wa Watendaji wa Vyama vya Ushirika ili wazingatie maadili ya utumishi wa ushirika, uwazi, uwajibikaji na utawala bora, na hivyo kuwavutia wanachama na wawekezaji.
Pia, Mhe. Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo, pamoja na Tume ya Maendeleo ya Ushirika, iharakishe na kusimamia kikamilifu utekelezaji wa mikakati yote iliyopitishwa, hususan katika maeneo ya teknolojia ya kilimo, upatikanaji wa pembejeo, na masoko ya mazao
Waziri Mkuu ametumia fursa hiyo kuzisisitiza taasisi za kifedha, zikiwemo benki na mifuko ya maendeleo, ziendelee kushirikiana kwa karibu na vyama vya ushirika kwa kuweka mifumo rafiki ya upatikanaji wa mikopo na mitaji kwa wakulima na wafanyabiashara wadogo.
Akizungumzia uzinduzi rasmi wa mradi wa Mashamba Makubwa unaofadhiliwa kwa pamoja na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) na Serikali ya Tanzania, Waziri Mkuu amesema mradi huo ni sehemu ya utekelezaji wa Programu ya BBT.
“Mradi ambao nimeuzindua leo, utatekelezwa kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia mwaka 2025 hadi 2030. Gharama ya jumla ya utekelezaji wa BBT Project 1 ni Dola za Marekani milioni 241.27, ambapo AFDB itachangia Dola milioni 129.71, sawa na asilimia 53.76 ya gharama hiyo. Serikali ya Tanzania itachangia asilimia 46.24 ya mahitaji hayo ili kukamilisha mradi huu.”
Kwa upande wake, Waziri wa Kilimo,Me. Hussein Bashe amesema ushirika ni njia pekee inayowajengea uimara wanaushirika na kwamba benki ya ushirika inakwenda kurahisisha malipo ya wakulima. Benki ya Ushirika inamtaji wa zaidi ya shilingi bilioni 50 na itakuwa na mawakala zaidi ya 50 nchini.
Naye, Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Ushirika (Coop Bank), Profesa Gervas Machimu amesema benki hiyo itakuwa nguzo ya maendeleo ya ushirika mijini na vijijini, itarudisha heshima ya ushirika na kuchochea uchumi wa wananchi.
Awali, Mwenyekiti wa Bodi ya Kamisheni ya Tume ya Vyama vya Ushirika, Abdulmajid Nsekela alisema Benki ya Ushirika itaendeshwa kisasa zaidi na itakuwa na ushindani na kutoa taswira ya ushirika wenye tija.
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi Mtendaji wa Shoroba za Kilimo Groffrey Kirenga, alipozindua ramani ya Mpango wa Shoroba za Kukuza Maendeleo ya Kilimo Tanzania wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya kuzindua  Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Mkoa wa Tabora (WETCU 2018 ltd) Samweli Jokeya kuhusu Majani ya Tumbaku ya Mvuke, wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya kuzindua  Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Majid Nsekela.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Meneja Mkuu wa Chama Kikuu cha Ushirika Igembensabo Christian Mkude kuhusu zao la Dengu wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya kuzindua  Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Majid Nsekela.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mhasibu wa Chama Kikuu cha Ushirika Kahama Hamis Hussein kuhusu zao la Pamba wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya kuzindua  Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe na kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Majid Nsekela.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuhusu ramani ya Mpango wa Shoroba za Kukuza Maendeleo ya Kilimo Tanzania wakati alipotembelea mabanda ya maonesho kabla ya kuzindua  Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Shoroba za Kilimo Groffrey Kirenga, alipozindua.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 na 2023/2024, wakati wa uzinduzi wa Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha Ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023 na 2023/2024 baada ya kuizindua, wakati wa Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akionesha tuzo aliyokabidhiwa ya kutambua mchango wake katika kukuza na kuendeleza sekta ya ushirika, wakati wa uzinduzi wa Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. Kushoto ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza katika Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa (hayupo pichani) wakati wa  Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika, Aprili 27, 2025 kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri wa Kilimo Hussein Bashe,akizungumza  wakati wa mdahalo wa Upatikanaji Mitaji ya Fedha za Maendeleo ya Ushirika ulioenda sambamba na ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023, 2023/2024 leo Aprili 27,2025 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Bi.Rosemary Senyamule,akitoa salamu za Mkoa wake wakati wa mdahalo wa Upatikanaji Mitaji ya Fedha za Maendeleo ya Ushirika ulioenda sambamba na ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023, 2023/2024 leo Aprili 27,2025 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Bodi ya Kamisheni ya Tume ya Vyama vya Ushirika, Abdulmajid Nsekela,akielezea lengo la Mdahalo wa Upatikanaji Mitaji ya Fedha za Maendeleo ya Ushirika ulioenda sambamba na ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023, 2023/2024 leo Aprili 27,2025 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua  Mdahalo wa upatikanaji Mitaji ya Fedha na Fursa za Maendeleo ya Ushirika ulioenda sambamba na ripoti ya Mwaka ya Kilimo kwa mwaka 2022/2023, 2023/2024 leo Aprili 27,2025 katika Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete, jijini Dodoma.

About the author

Alex Sonna