slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

jojobet

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

หวยออนไลน์

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

deneme bonusu veren siteler

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

marsbahis

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom

matbet

NervEase

https://r10.net/

https://blog.r10.net

https://r10.net

jojobet

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

betasus

pusulabet giriş

matbet

grandpashabet

film izle

1xbet giriş

1xbet

holiganbet

holiganbet

marsbahis

artemisbet giriş

imajbet giriş

klasbahis

mavibet giriş

mavibet

klasbahis

goldenbahis

marsbahis giriş

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

gobahis, gobahis giriş

betgar, betgar giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

casibom

casibom

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

goldenbahis

trimology review

jojobet

jojobet

deneme bonusu

jojobet

holiganbet

jojobet

casinolevant

jojobet giriş

Nitric Boost

savoycasino giriş

betebet

bahiscasino, bahiscaasino giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

matbet giriş

flower disease

jojobet

jojobet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet

supertotobet giriş

tipobet

madridbet

grandpashabet giriş

Jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

betsmove

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

deneme bonusu veren siteler

trendbet

jojobet güncel giriş

betturkey giriş

betturkey

betturkey

betturkey giriş

bets10

bets10

bets10

Milanobet

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

holiganbet giriş

İkimisli

onwin

süperbetin

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

lunabet

artemisbet

kavbet

kavbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

istanbul escort

deneme bonusu

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

betsat

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

page

Hacklink Panel

jojobet

vdcasino giriş

bets10 giriş

artemisbet

mavibet

imajbet

artemisbet

kavbet giriş

imajbet

kralbet giriş

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

goldenbahis giriş

casibom giriş

dlakjfol

jojobet

trust score weak 3

celtabet

bets10 giriş

tempobet

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet

jojobet giriş

dinamobet giriş

netbahis

sapanca bungalov

marsbahis giriş

holiganbet

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu veren siteler

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

deneme bonusu

1xbet

lefkoşa night club

deneme bonusu

dinamobet giriş

hackhaber

casibom

deneme bonusu veren siteler

primebahis

matbet, matbet giriş

matbet, matbet giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bets10

bets10

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

meritking

goldenbahis

Goldenbahis

tempobet giriş

bets10 güncel giriş adresi

betsat

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

sweet bonanza

jojobet giriş

zahnimplantate türkei

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

deneme bonusu veren siteler

vdcasino giriş

mavibet

kulisbet, kulisbet giriş

grandpashabet

lunabet

norabahis

matbet

holiganbet

Google Search Console giriş

deneme bonusu veren siteler 2026

deneme bonusu 2026

casibom

holiganbet

dental implants turkey

holiganbet giriş

dental implants turkey

full mouth dental implants turkey

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

grandpashabet

marsbahis

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WIZARA ISIPOTENGA BAJETI YENYE MTAZAMO WA KIJINSIA INYIMWE FEDHA – PROF. MLAMA

Written by Alex Sonna

 

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Chande, akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa WFT-T Bi. Rose Marandu,(kulia), Profesa Penina Mlama (Kati) na Pembeni kushoto ni Mwakilishi Mkaazi wa Shrika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia wanawake (Unwomen) Hodan Haddou.
 
Na Deogratius Koyanga
 
Wizara ambazo hazitatenga Bajeti yenye mtazamo wa Kijinsia, zitatakiwa kutopewa fedha hadi zitakapozingatia mahitaji ya msingi ya makundi yote wakiwepo wanawake, wanaume, wazee watoto, wasichana na watu wenye ulemavu.
 
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Mfuko wa ruzuku kwa wanawake (WFT-T) Profesa Penina Mlama mbele ya Naibu Waziri wa Fedha, Hamad Chande, Wakati wa maadhimisho ya sherehe za Miaka 30 ya Beijing, na siku ya wanawake Duniani, zilizoandaliwa na Mtandao wa wanawake, Katiba, Uongozi na uchaguzi chini ya uratibu wa WFT-T.
 
“Mhe. Naibu Waziri, tunaishukuru serikali, wakati tumeenda Beijing miaka 30 iliyopita, tuliaambatana na viongozi wa serikali, watumishi wa wizara mbalimbali na wawakilishi wa sekta. Hawa waliwezeshwa na wizara ya fedha. Masuala ya Beijing ambayo yametekelezwa hapa Tanzania, yametumia bajeti na fedha za serikali ambazo zinatoka katika wizara yako. Tunaona jinsi wizara ya fedha imewajibika kusimamia utekelezaji wa maamzimio ya Beijing” ,alisema Profesa Mlama na kuongeza:
 
“Tunakuomba kwa nafasi ya wizara hii, kwa kuzingatia kwamba bado tunahitaji bado fedha kutekeleza masuala haya 12 ya Beijing, wizara ambayo haitazingatia Bajeti yenye mtazamo wa Kijinsia, isipewe fedha”.
 
Mwongozo wa Taifa wa Bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026, inazitaka wizara, Idara na mamlaka za Serikali za Mitaa kuzingatia bajeti yenye mrengo wa Kijinsia (GRB), katika Bajeti zao ambapo zitatakiwa kuzingatia Haki na mahitaji ya makundi maalum.
 
Kwa upande wake , Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Chande amesema kwamba, serikali inazingatia na kuheshimu sana utekelezaji wa masuala yote 12 ya Beijing, na kuhakikisha kila sekta inatekeleza na kuweka rasilimali zitakazowezesha kuondoa mapungufu ya usawa wa Kijinsia nchini.
“Sisi zote tumetunzwa na kulelewa na kina mama, tunahitaji kuwahshimu kwa kuweka miundombinu safi na salama katika kuboresha maisha yao, hili ni deni kwetu sote, tunatakiwa kuwajibika kufanya hivyo”, alisema.
 
Akizungumza, aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, na Kiongozi wa Mkutano wa Beijing, Balozi Getrude Mongela, alisema kwamba serikali inatakiwa kufuatilia namna ambavyo wanawake wananufaika na bajeti inayotengwa na serikali ili kuondoa tatizo la mnyororo wa thamani kwa wanawake wakulima wa Tanzania.
“Nakuomba ukafuatilie, fedha za bajeti zinazotengwa zinaishia wapi?, zinawafikia wanawake? Fedha hizi za bajeti zinazokusanywa na serikali zinatoka mifukoni mwa wanawake, hii miradi mikubwa ya maendeleo inawanufaisha wanawake?”, alisema Balozi Mongela na kuongeza:
 
“Nenda hatua kwa hatua ukokotoe bajeti ya kilimo, ambayo wanawake wengi wamewekeza nguvu zao huko, fedha kiasi gani zinakwenda kuwezesha wanawake kujenga viwanda vya kuongeza dhamani ya mazao yao? Angalia ni fedha kiasi gani zimeenda kwenye vikundi vya wanawake?”.
 
“Miaka 80 yangu, natamani kuona jembe la mkono limeondoka, kutumia teknolojia katika kilimo ili kumuondolea mwanamke mzigo wa kazi, natamani kuona naibu waziri kusimamia bajeti ya kilimo, ikiondoa mzigo kwa wanawake”,aliongeza Balozi Mongela.
 
Kongamano hili la Kitaifa, lenye kauli mbiu ya Kusherehekea Miaka 30+ Beijing: Tumetoka wapi, Tulipo, na Tuendako, pamoja na mengine malengo yake ni pamoja na Kutoa nafasi kwa wanaharakati wa harakati za wanawake nchini kusherehekea hatua muhimu na kuheshimu historia ya harakati za ukombozi wa wanawake;
 
Pia kufikiria upya maisha ya wanawake baada ya Beijing +30, kuchambua hali ya sasa, changamoto na jinsi changamoto za wanawake zinavyokabiliwa pamoja na matokeo yake;
 
Aidha lengo jingine ni kujenga mitandao, kujifunza, kuunda pamoja taasisi za kimabadiliko, na kuunganisha nguvu kwa mustakabali wa pamoja.

About the author

Alex Sonna