Featured Kitaifa

WAZIRI MCHENGERWA AKIWASILISHA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI BUNGENI

Written by mzalendo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa akiwasilisha Makadirio ya mapato na Matumizi ya Ofisi ya Rais- TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2025/26 leo Aprili 16, 2025 Bungeni Jijini Dodoma.

About the author

mzalendo