Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano Kati ya Ujumbe wa Tanzania na Kikosi Kazi cha Kimataifa cha Kudhibiti Fedha Haramu uliofanyika kwenye ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam, Aprili 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya washiriki wa Mkutano Kati ya Ujumbe wa Tanzania na Kikosi Kazi cha Kimataifa cha Kudhibiti Fedha Haramu wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam, Aprili 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania , Dkt. Emmanuel Tutuba alipowasili kwenye ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam kufungua Mkutano Kati ya Ujumbe wa Tanzania na Kikosi Kazi cha Kimataifa cha Kudhibiti Fedha Haramu, Aprili 14, 2025. Kushoto ni Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye ukumbi wa Benki Kuu ya Tanzania jijini Dar es Salaam kufungua Mkutano Kati ya Ujumbe wa Tanzania na Kikosi Kazi cha Kimataifa cha Kudhibiti Fedha Haramu, Aprili 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)