Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

agb99

Hacking forum

casibom giriş

hackhaber

grandpashabet

film izle

casibom

cratosroyalbet, cratosroyalbet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

korsan taksi istanbul, istanbul korsan taksi

betsat

tipobet

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

kingroyal

Holiganbet

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet giriş

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

jojobet giriş

casibom güncel giriş

Ankara escort

kingroyal

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis giriş

casibom

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

jojobet

jojobet

casibom giriş

jojobet giriş

sweet bonanza giriş

sweet bonanza

deneme bonusu

betgaranti

nesinecasino

tambet

wbahis

ibizabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

jojobet

marsbahis

jojobet

jojobet

pusulabet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giris

jojobet

jojobet

meritking

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

meritking

marsbahis güncel giriş

meritking güncel giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

bettilt

Hacklink panel

betpas

holiganbet

Google

casibom

holiganbet

jojobet telegram

jojobet giris

ikimisli

ikimisli giriş

marsbahis giriş

jojobet güncel giriş

marsbahis giriş

marsbahis

primebahis

tümbet

tümbet giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

casinomaxi

casinomaxi giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

pokerklas

pokerklas

gamdom giriş

gamdom

meritbet

meritbet giriş

meritbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

betsmove

jojobet

ikimisli

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

betkolik

ikimisli giriş

marsbahis giriş

marsbahis giriş

ikimisli giriş

ikimisli

betkolik

jojobet güncel giriş

jojobet güncel giriş

jojobet giriş

betkolik giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli

ikimisli giriş

betsalvador

betkolik

betkolik giriş

betkolik giriş

jojobet giriş

betkolik

ikimisli

marsbahis giriş

jojobet giriş

betkolik

marsbahis giriş

betkolik giriş

jojobet mobil

ikimisli giriş

betkolik giriş

nerobet

parmabet

aresbet, aresbet giriş

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

Holiganbet giriş

grandpashabet

ligobet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet giriş

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Starzbet

Starzbet

betbox

casibom

meritking giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

grandpashabet güncel giriş

kingroyal

jojobet

bahiscom

turkey dental implants

mavibet

artemisbet

setrabet

jojobet

pulibet

süratbet

perabet

parmabet

mavibet güncel giriş

mavibet

mavibet giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet giriş

mavibet

mavibet giriş

kavbet

kavbet giriş

kavbet

kavbet giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet güncel giriş

artemisbet

artemisbet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

Featured Kitaifa

VYAMA VYA SIASA, SERIKALI NA TUME YA UCHAGUZI WASAINI MAADILI YA UCHAGUZI

Written by Alex Sonna

 

Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akisaini maadili ya Uchaguzi kwa niaba ya Tume.

Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi akisaini maadili ya uchaguzi kwa niaba ya Serikali.

Na. Mwandishi Wetu
Vyama 18 vya siasa vyenye
usajili kamili, Serikali na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi wamesaini Kanuni za
Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025 leo tarehe 12
Aprili, 2025 jijini Dodoma.
Vyama hivyo ni pamoja na Chama
cha Mapinduzi (CCM), Civic United Front (CUF), National Convention for
Construction and Reform (NCCR), Union for Multiparty Democracy (UMD), National
League for Democracy (NLD), United Peoples’ Democratic Party (UPDP) na National
Reconstruction Alliance (NRA), African Democratic Alliance Party (ADA-TADEA).Vyama vingine ni Tanzania
Labour Party (TLP), United Democratic Party (UDP), Madini Kilimo Nishati (MAKINI),
Democratic Party (DP), Sauti ya Umma (SAU), Alliance for African Farmers Party
(AAFP), Chama cha Kijamii (CCK), Alliance for Democratic Change (ADC) na Chama
cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) na Alliance for Change and Transparency
(ACT-Wazalendo).Kwa upande wa Serikali Kanuni
hizo za maadili zilisainiwa na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge
na Uratibu), Dkt. Jim Yonazi na kwa upande wa Tume alisaini Mwenyekiti wa Tume
Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Mhe. Jacobs Mwambegele.Awali akizungumza kabla ya utiaji
saini, Jaji. Mwambegele alivishukuru vyama vya siasa kwa ushirikiano wao wakati
wote wa uandaaji wa kanuni hizo za maadili.

“Tunawashukuru viongozi wote
wa Vyama vya Siasa kwa namna ambavyo mmekuwa mkiipa ushirikiano Tume katika
utekelezaji wa majukumu yake mbalimbali hususan yale yanayohusu mchakato wa
maandalizi ya uchaguzi, ikiwemo uandaaji wa Kanuni za Maadili ya Uchaguzi
ambazo tupo hapa leo kwa ajili ya kutia saini kwa ajili ya uchaguzi wa Rais, Wabunge
na Madiwani wa mwaka 2025,” alisema Jaji Mwambegele.

Amesema Tume imeandaa kanuni
hizo za maadili ambazo zitatambulika kama Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa
Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025 kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha
162 cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, Na. 1 ya Mwaka 2024.

“Baada ya kukamilisha
maandalizi ya rasimu ya Kanuni hizo, Tume iliziwasilisha kwenu (vyama vya siasa
na Serikali) kwa ajili ya kupitia na kutoa maoni yenu kuanzia tarehe 1 Machi,
2025 hadi tarehe 14 Machi, 2025.  Maoni
yenu yamejumuishwa katika Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na
Madiwani za Mwaka 2025 tutakazotia saini hii leo.  Napenda kutoa shukrani za dhati kwenu kwa
ushiriki wenu katika kuandaa rasimu hiyo kwa kutoa maoni yenu na kuyawasilisha
Tume kwa wakati,” alisema Jaji Mwambegele.

Aliongeza kuwa baada ya
kukamilisha rasimu ya Kanuni za Maadili ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na
Madiwani za mwaka 2025, Tume iliwarejeshea tena wahusika Rasimu ya Kanuni hizo
tarehe 4 Aprili, 2025 na kuwaalika kwa ajili ya utiaji saini leo tarehe 12
Aprili, 2025 na kwamba hakuna maoni tofauti yaliyotolewa.

Kwa upande wake Mkurugenzi wa
Uchaguzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Ndugu Kailima, R. K wakati akifafanua
mambo muhimu yaliyomo kwenye kanuni hizo amesema vyama vya siasa vina wajibu wa
kufanya kampeni za kistaarabu na kujiepusha na mambo yanayoweza kupelekea
uvunjifu wa amani.


Ameongeza kuwa Serikali kwa
upande wake ina wajibu wa kutoa fursa sawa ya vyama vya siasa kufanya kampeni,
kutumia vyombo vya habari vya umma na kuhakikisha kuwa kunakuwepo na hali ya
utulivu na amani.
Kwa upande wa Tume, Kailima
amesema inawajibika kwenye mambo kadhaa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha uchaguzi
unakuwa wa huru na wa haki na kuhakikisha kunakuwa na usawa katika mchakato wa
uchaguzi.Amesisitiza kuwa chama ambacho
hakijasaini maadili hayo hakitopata fursa ya kushiriki kwenye uchaguzi mkuu na
chaguzi ndogo nyingine zote zitakazofanyika kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

Katibu Mkuu wa Chama cha AAFP, Ndg. Rashid Mohamed Ligania Rai akisaini Maadili ya Uchaguzi. 

 

Katibu Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo, Ndg. Ado Shaibu  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 

 

Katibu Mkuu wa Chama cha ADA-TADEA, Ndg.Selemani Mohamed Msumari  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 

Katibu Mkuu wa Chama cha ADC, Ndg Mwalimu Hamad Aziz  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha CCK, Ndg. Masoud Ali Abdallah  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha CCM, Balozi Dkt. John Nchimbi  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha CHAUMA, Ndg. Mohamed Masoud Rashid  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha CUF, Ndg. Husna Mohamed Abdallah  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha MAKINI, Ameir Hassan Ameir  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha DP, Ndg. Abdul Juma Mluya  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha NCCR – MAGEUZI, Ndg. Evelyn Munisi  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha NRA, Ndg. Hassan Almas  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha SAU, Ndg. Majalio Paul Kyara  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha TLP, Ndg. Yustus Rwamgila  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha UDP, Ndg. Saum H. Rashid  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 
Katibu Mkuu wa Chama cha UMD, Ndg. Moshi Rashid Kigundula  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 

Katibu Mkuu wa Chama cha UPDP, Ndg. Hamadi Mohamed Ibrahim  akisaini Maadili ya Uchaguzi. 

Picha ya pamoja ya Tume, Serikali na vyama vya siasa vilivyosaini maadili ya Uchaguzi.

About the author

Alex Sonna