Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Featured Kitaifa

MAJALIWA: MAPATO YA BANDARI YAFIKIA SH. TRILIONI MOJA KWA MWEZI

Written by Alex Sonna

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwasilisha Hotuba  ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Bunge 2025 – 2026, bungeni jijini Dodoma, Aprili 9, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

…..

*Ongezeko hilo limechangiwa na uwekezaji uliofanyika katika gati  namba 0-7

* Asema pato halisi la Taifa limekuwa kwa wastani wa asilimia 5.5

 

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema mapato ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari kwa mwezi yameongezeka kutoka wastani wa shilingi bilioni 850 mwaka 2023/2024 hadi kufikia wastani wa shilingi trilioni moja mwaka 2024/2025.

Amesema ongezeko hilo limetokana  na uboreshaji wa bandari zilizo katika Bahari na uwekezaji wa sekta binafsi katika kutoa baadhi ya huduma bandarini.

Aidha, Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa mapato yanayokusanywa kutokana na ushuru wa forodha  yameongezeka  kutoka shilingi trilioni 9.35 mwaka 2023/2024 hadi shilingi trillioni 9.86 kufikia Februari 2025.

Ameyasema hayo leo (Jumatano, Aprili 9, 2025) alipowasilisha hotuba kuhusu Mapitio na Mwelekeo wa Kazi za Serikali na Makadirio ya Mapato na Mtumizi ya Fedha za Ofisi ya Waziri Mkuu na Ofisi ya Bunge kwa mwaka 2025/2026 Bungeni jijini Dodoma.

Pia, Waziri Mkuu amesema idadi ya makasha yanayohudumiwa yameongezeka na kufikia 686,515 katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Februari, 2025 ikilinganishwa na makasha 670,724 yaliyohudumiwa katika kipindi kama hicho mwaka uliopita.

Mheshimiwa Majaliwa amesema kuwa ongezeko hilo lilichangiwa na uwekezaji uliofanyika katika gati  0 – 7 ambapo idadi ya makasha yaliyohudumiwa katika eneo hilo yaliongezeka kutoka 122,339 hadi 160,286 katika kipindi hicho.

Aidha, Waziri Mkuu amesema muda wa meli za makasha kusubiri nangani umeondolewa kabisa. Hivi sasa, meli hufunga gatini mara zinapowasili katika Bandari ya Dar es Salaam. “Hali hiyo imepunguza wastani wa muda wa meli zisizo za makasha  kusubiri nangani kutoka siku 46 za awali hadi siku saba.”

Amesema kwa kuzingatia ushindani wa kibiashara uliopo katika ukanda wa Bahari ya Hindi, Tanzania imechukua hatua mahsusi ili kunufaika na fursa ya kijiografia ya kuwa lango kuu la kibiashara kwa nchi jirani.

“Mafanikio mengine yaliyopatikana katika Bandari ya Dar es Salaam ni pamoja na kupungua kwa idadi ya meli zinazo subiria nangani kutoka meli 30 hadi tatu; muda wa meli kuhudumiwa umepungua kutoka siku nane  hadi tatu  kwa meli za makasha.”

Pia, Waziri Mkuu amesema muda wa kuhudumia meli za mafuta umepungua kutoka siku 10 hadi siku tatu, kuimarika kwa utoaji wa huduma hizo kumepunguza tozo ya meli kusubiri nangani na hivyo kuchangia kupunguza gharama za bidhaa kwa Watanzania.

Katika hatua nyingine, Waziri Mkuu amesema katika kipindi cha Januari hadi Septemba 2024 pato halisi la Taifa limekua kwa wastani wa asilimia 5.5 ikilinganishwa na asilimia 5.1 katika kipindi kama hicho mwaka 2023.

Amesema ukuaji huo ulitokana na kuongezeka kwa uzalishaji wa umeme; uimarishaji wa huduma za jamii; kuongezeka kwa mikopo kwa sekta binafsi iliyochachua shughuli za kiuchumi; kuendelea na ujenzi wa miundombinu ya usafirishaji; na kuimarika kwa sekta ya uchukuzi.

Amesema kuwa mwenendo wa viashiria vya uchumi na bajeti katika nusu ya kwanza ya mwaka 2024/2025 umeendelea kuwa wa kuridhisha.

“Sekta zilizokuwa na kiwango kikubwa cha ukuaji katika kipindi cha marejeo ni pamoja na shughuli za fedha na bima zilizokuwa na ukuaji wa asilimia 17.1, umeme asilimia 15.5 na habari na mawasiliano asilimia 12.4.”

About the author

Alex Sonna