Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

bahiscom

betgit

betgaranti

grandpashabet

grandpashabet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

luxbet

gobahis

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

millibahis

realbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

norabahis

luxbet

betnis

betnis

parmabet

betplay

Hacklink panel

pokerklas

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

rekorbet giriş

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

netbahis

meybet giriş

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betzula

betzula giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betzula

betzula giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

betpark

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

xxxx

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

netbahis giriş

prensbet

lordcasino giriş

ganobet

gobahis giriş

orisbet giriş

kareasbet

orisbet

millibahis

betnis giriş

orisbet giriş

parmabet giriş

kareasbet

maritbet

kareasbet giriş

gobahis giriş

prensbet giriş

aresbet giriş

vaycasino

prensbet

orisbet

luxbet giriş

meybet

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

norabahis giriş

ganobet

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

rekorbet

goldenbahis

goldenbahis

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

Grandpashabet

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

amgbahis

casibom

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

mislibet giriş

betnis

norabahis

elitbahis

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

jojobet

monobahis

deneme bonusu

deneme bonusu

tipobet

bets10

sekabet güncel giriş

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

grandpashabet

jojobet

jojobet

nerobet

goldenbahis

jojobet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

taksimbet

Uncategorized

DKT.GWAJIMA:KUSHUGHULIKIWA KWA MIGOGORO YA NDOA YASAIDIA KUPUNGUZA WIMBI LA WATOTO KUINGIA MTAANI

Written by Alex Sonna

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza  leo  Aprili 09, 2025 Jijini Dodoma na waandishi wa habari kuelekea Siku ya kimataifa ya Mtoto Anaeishi na Kufanya Kazi Mtaani itayoadhimishwa Kitaifa Aprili 12, 2025 Mkoani Mtwara.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,akizungumza  leo  Aprili 09, 2025 Jijini Dodoma na waandishi wa habari kuelekea Siku ya kimataifa ya Mtoto Anaeishi na Kufanya Kazi Mtaani itayoadhimishwa Kitaifa Aprili 12, 2025 Mkoani Mtwara

 Mwakilishi wa Mkuu wa Dodoma ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja  kuelekea Siku ya kimataifa ya Mtoto Anaeishi na Kufanya Kazi Mtaani itayoadhimishwa Kitaifa Aprili 12, 2025 Mkoani Mtwara

Sehemu ya washiriki wakimsikiliza Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima (hayupo pichani) wakati akizungumza  na waandishi wa habari kuelekea Siku ya kimataifa ya Mtoto Anaeishi na Kufanya Kazi Mtaani itayoadhimishwa Kitaifa Aprili 12, 2025 Mkoani Mtwara

Na WMJJWM Dodoma.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima,amesema Jumla ya migogoro ya ndoa 16,095 imeshughulikiwa kupitia Ofisi za Ustawi wa Jamii nchi nzima katika kipindi cha Julai, 2024 hadi Machi, 2025.

Waziri Dkt. Gwajima amebainisha hayo leo  Aprili 09, 2025 Jijini Dodoma wakati akizungumza na waandishi wa habari kuelekea Siku ya kimataifa ya Mtoto Anaeishi na Kufanya Kazi Mtaani itayoadhimishwa Kitaifa Aprili 12, 2025 Mkoani Mtwara

 “Kati ya mashauri hayo, jumla ya mashauri 2,555 yamepelekwa Mahakamani na 10,423 yamesuluhishwa na mengine yanaendelea kusikilizwa. Kushughulikiwa kwa migogoro hiyo imesaidia kupunguza wimbi la watoto kuingia mtaani”amesema Dkt. Gwajima

 

Aidha ameitaka jamii kuimarisha ushirikiano ili kuzuia Mtoto Kuishi na kufanya kazi mtaani katika maeneo ya miji.

 Dkt. Gwajima amesema katika kipindi cha Julai 2024 hadi Machi 2025 jumla ya Watoto 8,372 (Me 4,218 Ke 4,154) wanaoishi na kufanya kazi mtaani waliokolewa na kupatiwa huduma mbalimbali ambazo watoto 1056 wako katika Makao ya Watoto na Nyumba Salama, 86 wako kwa Walezi wa kuaminika na waliobakia waliunganishwa na familia zao.

Waziri Dkt. Gwajima ameeleza kwamba sababu kubwa zinazopelekea watoto kukimbilia mtaani ni pamoja na na umasikini wa kaya, migogoro ya familia, migogoro ya ndoa, ukatili dhidi ya watoto, vifo vya wazazi/wategemezi, utoro na kushindwa masomo shuleni, athari za kukua kwa miji na athari za makundi rika.

“Afua zilizochukuliwa na Serikali katika kukabiliana na changamoto ya watoto kuishi na kufanya kazi mtaani ni pamoja na utatuzi wa migogoro ya ndoa kupitia Ofisi za Ustawi wa Jamii nchi nzima, Uratibu wa huduma kwa manusura wa vitendo vya ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto na Huduma ya matunzo na malezi kwa Watoto inayotolewa kwenye Makao mawili ya Watoto yanayomilikiwa na kuendeshwa na Serikali “ amesema Dkt Gwajima.

Aidha Dkt. Gwajima ameeleza kwamba kwa sasa Serikali itajikita zaidi kwenye mikakati ya kuziba mianya inayosababisha watoto kwenda kuishi mtaani kupitia modeli ya kitaalam ya “Close the Tap” kwa kushughulikia changamoto za kifamilia na kiuchumi zinazowasukuma watoto kuingia mtaani.

“Serikali imeandaa matukio ya kuelimisha jamii juu ya tatizo la Watoto Wanaoishi na Kufanya Kazi Mtaani kwa kufanya Kampeni ya Kumuokoa Mtoto Kutoka kuishi Mtaani iliyoanza tarehe 07 Aprili 2025, Kufanya mijadala na midahalo ya kijamii kwa njia mbalimbali ili kuwafikia wananchi na tarehe 11 Aprili, 2025, katika mkoa wa Mtwara, Kata ya Chikongola, kutakuwa na mdahalo wa ana kwa ana na wananchi kuhusu wajibu wa familia na jamii katika kuzuia watoto kwenda mitaani” amesema Dkt Gwajima.

Kwa upande wake Mwakilishi wa Mkuu wa Dodoma ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Chamwino Mhe. Janeth Mayanja amesema maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Mtoto Anayeishi na Kufanya Kazi Mtaani ni moja ya utekelezaji wa Mkataba wa Kimataifa wa Haki za Mtoto Duniani kupitia Hati ya Maoni ya Jumla Na. 21 ya mwaka 2017 kuhusu hali ya watoto waliopo mtaani.

“Tunajua Wizara ina jukumu la kuratibu na kusimamia utolewaji wa huduma kwa Watoto Walio katika Mazingira Hatarishi wakiwemo Watoto Wanaoishi na Kufanya Kazi Mtaani kama Mkoa tunashirikiana kuwa kuhakikisha jukumu hili linatekelezwa kwa kuweka mazingira wezeshi kupitia Sera, Sheria, Kanuni, Miongozo na Mikakati mbalimbali ya kulinda haki za watoto, kuimarisha mifumo ya uangalizi na usimamizi wa ustawi na ulinzi wa watoto.”amesema Mhe. Janeth.

Kilele cha Maadhimisho haya yatafanyika katika ukumbi wa VETA mkoani Mtwara, yakihusisha viongozi wa Serikali, wadau wa maendeleo na wananchi Aprili 12, 2025.

About the author

Alex Sonna