Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

betpuan

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

kingroyal

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

betpark giriş

betpark

betpark

uyuşturucu satın al

betpark giriş

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

royalbet

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

slot siteleri

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

betpark

bets10

jojobet

holiganbet

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark giriş

bets10 sorunsuz giriş

dinamobet

casibom

casibom

ultrabet

casibom

casibom

casibom

grandpashabet

ultrabet

grandpashabet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

imajbet

imajbet

Featured Kitaifa

UCHAGUZI LAZIMA UFANYIKE KWA KUWA UPO KWA MUJIBU WA KATIBA –DKT. NCHIMBI

Written by Alex Sonna

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi,akizungumza leo Aprili 4.2025 wakati akifungua  Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), unaokutana mjini Songea kwa siku mbili, hadi tarehe 5 Aprili, mwaka huu, kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa viongozi wa jukwaa hilo.

…..

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amesema kuwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 utafanyika kama ilivyoelekezwa na Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, akisisitiza kuwa hakuna mtu binafsi, chama au mamlaka yoyote, hata ya juu serikalini, inayoweza kuzuia kufanyika kwake.

Akizungumza katika Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) unaofanyika leo Ijumaa Aprili 04, 2025 mjini Songea, Dkt. Nchimbi amesema kuwa utaratibu wa uchaguzi nchini ni wa kikatiba na umeendelea kuzingatiwa tangu mwaka 1960.

“Nchi yetu ina utaratibu wa kufanya uchaguzi kila baada ya miaka mitano. Hakuna raia yeyote, hata Rais, Makamu wa Rais au Waziri Mkuu mwenye mamlaka ya kusema uchaguzi hautafanyika,” alisema.

Ametoa kauli hiyo kufuatia mjadala unaoendelea juu ya ushiriki wa vyama vya siasa, hasa CHADEMA, katika uchaguzi huo. 

“Niwahakikishie Watanzania kuwa uchaguzi mkuu wa Rais, wabunge na madiwani mwaka 2025 utafanyika kama kawaida,” aliongeza.

Dkt. Nchimbi amewakumbusha wananchi kuwa, ingawa kila raia ana haki ya kugombea, hakuna chama kinachoweza kulazimishwa kushiriki uchaguzi. 

“Zimeanza kusikika sauti za baadhi ya wana CCM na wananchi wakishinikiza CHADEMA iingie kwenye uchaguzi. Ni haki yao kususia,” alisema.

Akiwazungumzia viongozi wa CHADEMA akiwemo Tundu Lissu, Dkt. Nchimbi amesema: 

“Ndugu zangu wa CHADEMA, uchaguzi huu si wa mwisho. Kuna uchaguzi wa mwaka 2030, 2035, 2040, 2045 hadi 2050. Wasipoupata huu, wataupata ule mwingine.”

Aidha, amekemea tabia ya kuwakejeli au kuwalazimisha wapinzani kushiriki uchaguzi.

 “Kukaa kuwasema sema CHADEMA ni kinyume cha sheria na katiba. Mtu yeyote asiwalazimishe CHADEMA kuingia kwenye uchaguzi,” alisisitiza.

Amehitimisha kwa kusisitiza kuwa Katiba inaruhusu uchaguzi kufanyika hata kwa chama kimoja pekee, na kwamba kila raia ana haki ya kuchagua hata kama hataki kugombea. 

“Ukikosa haki ya kuchaguliwa, unapata haki ya kuchagua. Katika haki mbili, unapata moja na unakuwa umejitendea haki kama raia wa Tanzania,” alisema Dkt. Nchimbi.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi,akizungumza leo Aprili 4.2025 wakati akifungua  Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), unaokutana mjini Songea kwa siku mbili, hadi tarehe 5 Aprili, mwaka huu, kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa viongozi wa jukwaa hilo.

Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro,akizungumza wakati  wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), unaokutana mjini Songea kwa siku mbili, hadi tarehe 5 Aprili, mwaka huu.

Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma (Mwana FA),akizungumza wakati  wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), unaokutana mjini Songea kwa siku mbili, hadi tarehe 5 Aprili, mwaka huu.

Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Doedatus Balile,akizungumza wakati  wa Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), unaokutana mjini Songea kwa siku mbili, hadi tarehe 5 Aprili, mwaka huu.

 

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa mgeni rasmi, leo Ijumaa tarehe 4 Aprili, amefungua Mkutano Mkuu Maalum wa Jukwaa la Wahariri nchini (TEF), unaokutana mjini Songea kwa siku mbili, hadi tarehe 5 Aprili, mwaka huu, kwa ajili ya kufanya uchaguzi wa viongozi wa jukwaa hilo.

About the author

Alex Sonna