Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

mavibet

setrabet

betebet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

grandpashabet

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

Featured Kitaifa

SERIKALI YATAKA UWAZI NA HAKI KATIKA MIKATABA YA FEDHA

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mhe Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija, akizungumza na Timu ya Wataalam ya kutoa Elimu ya Fedha, kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake, walipofika Ofisini kwake kabla ya kuanza kutoa elimu ya fedha ikiwa ni mwendelezo wa zoezi la kutoa elimu hiyo kwa wananchi wa makundi mbalimbali katika Kata ya Ngudu, Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza.
Afisa Usimamizi wa Fedha Mwandamizi kutoka, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Salim Khalfan Kimaro, akitoa mada kuhusu masuala ya fedha na umuhimu wa kusajili vikundi vya kutoa Huduma Ndogo za Fedha na vile vya kijamii kwa wananchi wa Kata ya Hungumalwa, kwenye program maalum ya elimu ya fedha iliyotolewa kwa wananchi Mkoa wa Mwanza.
Baadhi ya wajasiriamali na wananchi kutoka Kata ya Sumve, Malya na Hungumalwa Wilaya ya Kwimba, mkoani Mwanza, wakiwa pamoja na Timu ya Wataalamu wa Elimu ya Fedha kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake Wilayani humo, wakichangia mada mbalimbali kuhusu elimu ya fedha waliyoipata kupitia  njia ya filamu yenye maudhui kuhusu matumizi sahihi ya fedha, umuhimu wa kupanga bajeti na kuitekeleza, umuhimu wa kusajili vikundi vya huduma ndogo za fedha , utunzaji wa fedha binafsi, umuhimu wa kushirikisha familia na watu wa karibu kwenye masuala ya fedha na uwekezaji, umuhimu wa kukata bima ya biashara na mali nyingine.
 
(Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WF, Mwanza)
Na Chedaiwe Msuya, WF, Mwanza
 
Serikali imezitaka Taasisi za Fedha zilizosajiliwa kutoa huduma ya mikopo, kuto wakandamiza wananchi katika mikataba kwa sababu ya kutojua kusoma na kuandika kwa kuwasainisha mikataba bila uelewa wao.
 
Hayo yameelezwa na Mkuu wa Wilaya ya Kwimba, Mkoa wa Mwanza, Mhe Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija, alipokutana na Timu ya wataalamu kutoka Wizara ya Fedha na Taasisi zake, ambayo ipo mkoani Mwanza kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali.
 
“Serikali imesisitiza umuhimu wa uwazi na haki katika mikataba ya kifedha ili kulinda haki za wananchi na kuhakikisha wanajua kikamilifu masharti wanayokubaliana nayo”, alisema Mhe. Ludigija.
 
Alifafanunua kuwa Serikali inatambua kuna baadhi ya wananchi hawajui kusoma na kuandika, wamekuwa wakiwekewa miezi mingi zaidi ya marejesho tofauti na walivyokubaliana kwa mdomo.
 
Mhe. Ludigija, amewashukuru wataalamu kutoka Wizara ya Fedha kwa kufika mkoani Mwanza kutoa elimu ya fedha kwa kuwa itawasaidia wananchi kuwa na uelewa mpana wa masuala ya fedha ikiwemo kupanga bajeti na kufanya uwekezaji ambao utakuwa na faida kwa kujikwamua kiuchumi.
 
Afisa Mkuu Mwandamizi, Idara ya Uendelezaji Sekta ya Fedha, Wizara ya Fedha, Bw. Salim Kimaro, aliwasisitiza wananchi kujenga mazoea yakusoma mikataba na kuuelewa kabla ya kusaini.
 
Aliongeza  kuwa baadhi ya wanufaika wa mikopo wanakumbwa na changamoto za marejesho kwa sababu ya kukosa mipango thabiti ya matumizi ya fedha wanazokopa, na wengine hawasomi wala kuelewa mikataba wanayoingia.
 
Mmoja wa washiriki wa mafunzo ya elimu ya fedha, mkazi wa Kwimba, Bw. Nkwadi Joseph aliishukuru Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaletea wataalamu wa fedha. 
 
“Kabla ya kupata elimu hii, tulikuwa tunaingia kwenye mikopo yenye masharti magumu bila kujua athari zake, sasa tunaelewa umuhimu wa mikopo yenye utaratibu mzuri,” alisema Bw. Joseph.
 
Serikali kupitia Wizara ya Fedha imefanya hitimisho ya kutoa elimu ya fedha kwa wananchi wa makundi mbalimbali katika Wilaya za Ilemela, Magu, Misungwi na Kwimba Mkoa wa Mwanza, ambapo hadi sasa Wizara ya Fedha imeshatoa elimu ya fedha katika mikoa 16.

About the author

Alex Sonna