Featured Kitaifa

RAIS SAMIA AJUMUIKA NA WAISLAMU KATIKA SALA YA EID KATIKA MSIKITI WA MOHAMMED WA VI KINONDONI

Written by mzalendoeditor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumika na waisalamu wengine kusali swala ya Eid katika kukamilisha ibada ya Mfungo wa Ramadhan katika Msikiti wa Mohamed VI uliopo katika Makao Makuu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) Kinondoni Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kuswali Swala ya Eid El Fitr tarehe 31 Machi, 2025.

      

Share this Article

About the author

mzalendoeditor