Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Fitr iliyosaliwa katika Msikiti wa Jamiu Zinjibari Mazizini, Mkoa wa Mjini Magharibi tarehe 31 Machi 2025.