Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

casibom

betgar giriş

bets10 güncel giriş adresi

grandpashabet

betebet

jojobet giriş

ilbet

hilbet

casibom giriş

holiganbet güncel giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

marsbahis, marsbahis giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis güncel giriş

holiganbet giriş

Greece Fentanyl Buy

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

holiganbet

casibom giriş

matbet giriş

matbet

deneme bonusu

palacebet

holiganbet

betewin

bahiscom

bettilt

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

mislibet

meritking

marsbahis

mavibet

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

marsbahis güncel giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

matbet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

jojobet

holiganbet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

royalbet giriş

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

casibom

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

pokerklas, pokerklas giriş

galabet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

marsbahis

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

matbet, matbet giriş

betcio, betcio giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

enjoybet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

Starzbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

casibom

Betsin Güncel Giriş

holiganbet giriş

casibom güncel giriş

holiganbet

grandpashabet güncel giriş

bets10 sorunsuz giriş

jojobet

betsalvador

turkey dental implants

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Mariobet

Mariobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

Featured Kitaifa

TANESCO:UZALISHAJI UMEME UMEONGEZEKA NCHINI MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo – Hanga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa shirika hilo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 26, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

Sehemu ya waandishi wa habari wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo – Hanga (hayupo pichani) wakati akiwasilisha kuhusu mafanikio na mwelekeo wa shirika hilo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita leo Machi 26, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.

Na.Alex Sonna-DODOMA

KATIKA  kipindi cha miaka minne ya serikali ya awamu ya sita,Shirika  la Umeme Tanzania (TANESCO) limesema hali ya uzalishaji umeme kwenye gridi ya Taifa imeongezeka mara mbili zaidi baada ya kutekeleza miradi ya ufuaji umeme maeneo mbalimbali nchini.
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Mhandisi Gissima Nyamo – Hanga,wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Shirika hilo  katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Machi 26, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, jijini Dodoma.
Amesema kuwa hadi kufikia mwezi Februari 2025 uwezo wa mitambo ya kufua umeme kwenye Gridi ya Taifa ulifikia jumla ya Megawati 3,796.71 wakati mahitaji ya juu kabisa ya umeme kwenye Gridi ya umeme ya Taifa kwa yakiwa ni Megawati 1,908.
“Mwaka 2021 uwezo wetu wa kuzalisha ulikuwa megawati 1,573.6 na sasa hivi uzalishaji umeongezeka zaidi ya mara mbili ya uwezo wa kuzalisha umeme kwa kipindi kifupi cha miaka minne,” amesema Mhandisi Nyamo – Hanga
Aidha amesema kuwa  wataendelea kutekeleza na kukamilisha miradi mbalimbali ya uzalishaji, usafirishaji na usambazaji umeme nchini katika kuwapatia watanzania umeme wa uhakika miradi inayoendelea ya uzalishaji ni pamoja na Malagarasi MW 49.5, Kakono MW 87.8, Kishapu Solar awamu ya pili MW 100, Ruhudji Megawati MW 358 na Rumakali MW 222.
Pia amesema kuwa wataongeza zaidi ya Uzalishaji umeme kwa Gesi asilia na Makaa ya mawe.
Hata hivyo amesema kuwa wataendelea na utekelezaji wa umeme kwa nishati ya jotoardhi ambapo kwa mara ya kwanza Tanzania imepata mashine ya kuchoronga miamba (rig) mtambo ambao unaendelea kwa sasa kufanya kazi ya kuchoronga eneo la Ngozi Mbeya kwa lengo na kuhakiki hifadhi ya nishati ya jotoardhi, huku tafiti za awali zikionesha kunaweza kuwa na nishati ya jotoardhi yenye uwezo wa kuzalisha umeme wa Megawati 70 katika eneo la Ngozi Mbeya.
“Kuendelea kuimairisha miradi ya Usafirishaji na usambazaji umeme kuendana na ongezeko la mahitaji ya umeme nchini na Kuunga Mfumo wa Gridi ya Umeme ya Tanzania na nchi za Uganda, Congo, DRC, Malawi na Msumbiji” amesema Mhandisi Nyamo – Hanga
 Mhandisi Nyamo – Hanga,amesema kuwa  kukamilisha njia za usafirishaji umeme za Sumbawanga-katavi-Kigoma, Mkuranga-Mtwara-Kupitia Kibiti na Somangafungu na Lindi.Kukamilisha Miradi ya kusafirisha umeme ya Chalinze segera 400KV, Segera same Arusha 400kv, Segera Tanga 220 KV Chalinze Bagamoyo 220KV, Chalinze, Kinyerezi Mkuranga 400KV na ukamilishaji wa miradi ya Gridi Imara.
Vilevile kujenga Miradi ya usambazaji kuimarisha upatikanaji wa umeme kwenye Maeneo ya Madini, Kilimo na Viwanda.
Aidha amesema kuwa watatekeleza Mpango wa Kitaifa wa Nishati Tanzania.Serikali iliandaa na kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika wa Nishati (African Heads of States Energy Summit) uliofanyika tarehe 27-28 Januari, 2025 Jijini Dar es salaam. 
“Mkutano huo uliwakutanisha Wakuu wa Nchi na Serikali za Afrika, Wakuu wa Taasisi za Fedha za Kimataifa pamoja na Wadau wengine wa Maendeleo kwa lengo la kuweka mikakati ya namna bora ya kuwafikishia umeme watu milioni 300 katika Bara la Afrika ifikapo mwaka 2030” amesema
 Pamoja na mambo mengine Mkutano huo uliwezesha kuzinduliwa kwa Mpango wa Kitaifa wa Nishati wa Tanzania (National Energy Compact 2025-2030) ambao unalenga kuongeza kiwango cha upatikanaji wa umeme kutoka cha sasa cha asilimia 78.4 hadi kufikia asilimia 100 ifikapo mwaka 2030.
Hata hivyo amesema kuwa mafanikio ya TANESCO katika kipindi cha miaka minne chini ya Uongozi wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan yameleta mabadiliko makubwa katika Sekta ndogo ya Umeme Nchini.
” Wananchi wananufaika na upatikanaji wa umeme wa uhakika na kwa sasa Shirika linaendelea na Utekelezaji wa Miradi na maboresho mbalimbali ya miundombinu ya umeme kwenye maeneo mbalimbali nchini kama nilivyoeleza ili kuhakikisha watanzania wanapata Umeme wa Uhakika ambayo ni azma kubwa ya Serikali ya awamu ya sita”amesisitiza

About the author

Alex Sonna