RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wadau wa SUKUK,Wafanyabiashara,Taasisi za Fedha na Mifuko ya Hifadh Jamii, ili kuwekeza katika hatifungani ya Zanzibar SUKUK, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wadau wa SUKUK, Wafanyabiashara, Taasisi za Fedha na Mifuko ya Hifadh Jamii, ili kuwekeza katika hatifungani ya Zanzibar SUKUK, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 20-3-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt.Saada Mkuya Salum na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.(Picha na Ikulu)