Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

betra

luxbet

betmarino

celtabet

casival

luxbet

millibahis

betlivo

betcool

realbahis

gallerbahis

millibahis

gobahis

betnis

rekabet

matbet

maxwin, maxwin giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu

betper

holiganbet

casinofast giris

mavibet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Jojobet

Jojobet

sekabet

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

casibom

Grandpashabet

jojobet

holiganbet

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

meritking

jojobet

jojobet

atlasbet giriş

lunabet

artemisbet giriş

setrabet

jojobet güncel

holiganbet giriş

timebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

vipslot

vipslot

betcool

celtabet

hazbet

mavibet

piabellacasino

piabellacasino

piabellacasino giriş

holiganbet

holiganbet giriş

mavibet giriş

piabellacasino

holiganbet giriş

holiganbet

mavibet giriş

artemisbet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

pusulabet

jojobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

meritking giriş

pusulabet, pusulabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

bets10

betpark

dinamobet giriş

casibom

casibom

betkolik

goldenbahis

casibom

goldenbahis

casibom

kalebet

berlinbet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

luxbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

meritking

marsbahis giriş

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet giriş

imajbet

royalbet

perabet

betface

betface

piabellacasino

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

pokerklas

betpark

betsat

vdcasino

jojobet

casibom

betsat

Gorabet

deneme bonusu

deneme bonusu

Featured Kitaifa

SERIKALI YARIDHISHWA NA MWENENDO WA UANZISHWAJI WA KONGANI YA BUZWAGI

Written by Alex Sonna
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha akizungumza katika kikao maalum cha watendaji wa Serikali na Barrick wanaosimamia zoezi la kufunga mgodi baada ya kutembelea eneo la Mgodi wa Barrick Buzwagi uliofungwa baada ya kumalizika muda wa uchimbaji
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha akizungumza katika kikao maalum cha watendaji wa Serikali na Barrick wanaosimamia zoezi la kufunga mgodi baada ya kutembelea eneo la Mgodi wa Barrick Buzwagi 
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha akizungumza katika kikao maalum cha watendaji wa Serikali na Barrick wanaosimamia zoezi la kufunga mgodi baada ya kutembelea eneo la Mgodi wa Barrick Buzwagi 
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza katika kikao maalum cha watendaji wa Serikali na Barrick wanaosimamia zoezi la kufunga Mgodi wa Barrick Buzwagi 
Mkuu wa Wilaya ya Kahama Mhe. Mboni Mhita akizungumza katika kikao maalum cha watendaji wa Serikali na Barrick wanaosimamia zoezi la kufunga Mgodi wa Barrick Buzwagi
Meneja wa ufungaji Mgodi wa Buzwagi, Mhandisi Zonnastral Mumbi akizungumza wakati wa kikao hicho
Meneja Utekelezaji wa Mradi huo kutoka Barrick, Stanley Joseph akizungumza wakati wa kikao hicho
*Wawekezaji 19 waanza shughuli za uzalishaji katika eneo hilo
****
Serikali imeridhishwa na mwenendo wa uanzishwa wa Kongani ya Buzwagi iliyopo katika manispaa ya Kahama, Mkoani Shinyanga katika eneo la Mgodi wa Barrick Buzwagi uliofungwa baada ya kumalizika muda wa uchimbaji na tayari wawekezaji 19 wamepatikana ambao miongoni mwao wameanza shughuli za uzalishaji katika eneo hilo.
Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha akiongea katika kikao maalum cha watendaji wa Serikali na Barrick wanaosimamia zoezi la kufunga mgodi baada ya kutembelea eneo hili, amesema licha ya zoezi kuendelea vizuri kasi kubwa inatakiwa kulikamilisha kabisa na kuwataka wadau wote kushirikiana katika hatua hii muhimu iliyobakia hususani kurekebisha baadhi ya miundombinu.
Amesema mradi mkubwa ni muhimu kwa maendeleo ya wilaya ya Kahama, Mkoa na taifa kwa ujumla kutoka na kuwa katika eneo lenye miundombinu mizuri ikiwemo uwanja wa ndege na barabara kuu ya kwenda nchi za Congo, Rwanda, Burundi na Sudan Kusini.
Aidha amewaomba wawekezaji kuchangamkia fursa ya kuwekeza katika eneo hilo ambalo tayari lina miundombinu inayotakiwa katika Uwekezaji huku akiongeza kuwa ujenzi wa One Stop Center utafanyika haraka iwezekanavyo ili Wawekezaji wapate huduma zote zinazotakiwa katika uwekezaji sehemu moja ambapo kila mamlaka zitakuwa katika jengo moja.
Kwa upande wake Meneja wa ufungaji Mgodi wa Buzwagi, Mhandisi Zonnastral Mumbi, amesema tayari eneo hilo la kongani ya Buzwagi limepatiwa usajiri na serikali kwa ajili ya shughuli hiyo ya Kongani
Mhandisi Mumbi, amesema kutoka na hali eneo hilo la kiuchumi la Kongani ya Buzwagi limeanza kuvutia wawekezaji na kwamba hadi sasa jumla ya wawekezaji 19 wamesajiriwa na mmoja kati yao tayari ameanza kuzalisha bidhaa mbalimbali.
Kadhalika Mhandisi Mumbi amesema ili kuongeza ushawishi kwa wawekezaji wanatarajia kuanza kuitangaza Kongano ya Buzwagi kupitia majukwaa mbalimbali ya vyombo vya habari.
Mkuu wa wilaya ya Kahama, Mboni Mhita amesema tayari Serikali imejipambanua kuhakikisha fursa zinazopatikana katika eneo hilo la Buwagi zinawanufaisha wananchi wa wilaya ya Kahama
Amesema ofisi yake kwa kushirikiana na Halmashauri ya Manispaa ya Kahama imekutana na wadau mbalimbali wa maendeleo kwa ajili ya kuwahamasisha kuwekezaji kwenye kongani ya Buzwagi na kuchangamkia fursa nyingine zikiwemo ujenzi huduma za kijamii kwa ajili malazi, chakula na vinywaji
Kwa Upande wake Meneja Utekelezaji wa Mradi huo kutoka Barrick, Stanley Joseph, amesema ana uhakika wadau wote katika Kamati ya uekelezaji wa kongani hiyo wakishiriana kwa karibu zoezi la kuikamilisha litafikiwa kwa haraka sambamba na kufanikisha malengo yaliyokusudiwa.
Maofisa kutoka Barrick wakiwa kwenye kikao

About the author

Alex Sonna