Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

istanbul escort

bets10

bets10 giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

doeda

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10

gobahis, gobahis giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

jojobet

betsat

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

doeda

spyhackerz

meritking

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

perabet

grandpashabet

grandpashabet

betsat

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

girne escort

magusa escort

bahibom

jojobet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

fixbet

casibom

Earn money link shortener

porno

Featured Kitaifa

WATUNZA KUMBUKUMBU NA NYARAKA WATAKIWA KUZINGATIA KIAPO CHA UTUNZAJI SIRI NA UADILIFU

Written by Alex Sonna
Na Mwandishi Wetu
 
Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Deus Sangu amewataka Wataalam wa Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) kuhakikisha wanatunza siri wanazoziona na kusoma kwenye kumbukumbu na nyaraka mbalimbali kwa ustawi na usalama wa taifa kwa jumla.

 
Ametoa rai hiyo leo tarehe 6 Machi, 2025 wakati wa kufunga Kikao Kazi na Mafunzo Maalum kwa Wataalam wa Kumbukumbu na Nyaraka (TRAMPA) kinachofanyika jijini Mbeya.
 
“Kiapo cha utunzaji siri na uadilifu mlichokipata ni sehemu ya misingi ya utunzaji kumbukumbu na nyaraka kwa manufaa mapana ya   Taifa, pasipo kutunza siri na kuzingatia maadili mengine yaliyowekwa kisheria itakuwa ni vigumu kupanga na kutekeleza mipango mikakati ya nchi” amesisitiza Mhe. Sangu.
 
Aidha, Mhe. Sangu amewataka wanataluma hao kuendelea kupigania ustawi wa taaluma yenu ambayo ni kiungo muhimu cha uendeshaji na utekelezaji wa mipango ya maendeleo ya taifa, na msichoke kupaza sauti juu ya wanataaluma wengine wanaotaka kuharibu taswira nzuri ya kada hii.
 
Vilevile, amesisitiza Wataalam hao kuendelea kuchapa kazi kwa kuzingatia matakwa ya Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo ambayo imekuwa ikitolewa na Mamlaka husika kwa nyakati tofauti.
 
Ametoa wito kwa Waajiri wote katika taasisi za umma kuhakikisha wanatumia mfumo wa kielektroni  wa utunzaji kumbukumbu na nyaraka (e-office) ili kuongeza ufanisi wa utendaji kazi, tija  na kwenda  sambamba na mabadiliko ya ukuaji wa sayansi na teknolojia.
 
Awali, Mwenyekiti wa TRAMPA Bi. Devotha Mrope ameiushukuru Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora kwa kuendelea kuisimamia na kuilea TRAMPA ili iweze kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. 
 
Pia, amesema TRAMPA itaenelea kuratibu mafunzo na kikao kazi hicho kila mwaka kwa lengo la kuongeza ujuzi na ari ya wanachama kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi.
 
Naye, Mkurugenzi, Ofisi ya Rais, Idara ya Kumbukumbu na Nyaraka za Taifa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini-TRAMPA Bw. Firimin Msiangi amesema jengo linalotarajiwa kujengwa jijini Dodoma litakuwa ni kitenge uchumi kimubwa cha TRAMPA na hivyo kuwa na uwezo wa kujiendesha.
 
TRAMPA ilianzishwa 2013 na ina Wanachama 7500 kutoka sekta ya umma na binafsi kwa Tanzania bara na Visiwani. Kikao Kazi na Mafunzo hayo yaliyoanza tarehe 2-6 Machi, 2025 Jijini Mbeya yanahusisha washiriki zaidi ya 1, 500 na kuongozwa na kaulimbiu isemayo “Misingi Bora ya Utunzaji wa Kumbukumbu na Nyaraka ni Nguzo Muhimu Kitaaluma”.
  
 

About the author

Alex Sonna