Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

holiganbet giriş

Ankara escort

casibom

güvenilir bahis siteleri

film izle

vdcasino giriş

betasus

aresbet, aresbet giriş

Google

bahiscasino

ultrabet

marsbahis

sweet bonanza siteleri

【鑑定書】のように公的な効力はありませんが、販売元が営業を続けている限り本物であることを保証してもらえるので無いよりかなり安心です。 なお ...

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

casibom

holiganbet

sweet bonanza

casibom giriş

sweet bonanza siteleri

sweet bonanza

deneme bonusu

holiganbet

palacebet

wbahis

romabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

limanbet

marsbahis

betnano

parmabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

aresbet giriş

aresbet

marsbahis

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

limanbet

bahiscasino giriş

royalbet

mislibet

aresbet

royalbet

parmabet

grandpashabet

Hacklink panel

betpas

jojobet

Google

meritking

jojobet

bahiscasino giriş

mislibet giriş

royalbet giriş

zirvebet

marsbahis giriş

perabet

betpark

parmabet

primebahis

tümbet

tümbet giriş

otobet

otobet giriş

sahabet

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

otobet

otobet giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

mavibet giriş

timebet

timebet

casibom giriş

meritbet

meritbet giriş

uyuşturucu satın al

matbet

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

queenbet

jojobet

perabet giriş

perabet

betnano giriş

betpark giriş

gobahis giriş

betnano

betnano giriş

bahiscasino

gobahis

limanbet giriş

betnano giriş

parmabet giriş

betnano

betkolik giriş

perabet giriş

gobahis giriş

royalbet giriş

aresbet giriş

betasus

betkolik

bahiscasino

gobahis giriş

bahiscasino giriş

bahiscasino

aresbet giriş

marsbahis giriş

parmabet giriş

betpark

perabet giriş

mislibet giriş

perabet

limanbet giriş

limanbet giriş

grandbetting

parmabet

perabet, perabet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

aresbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

ikimisli

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

Pusulabet

Starzbet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

casibom

Betsin Güncel Giriş

holiganbet giriş

casibom güncel giriş

holiganbet

bets10 sorunsuz giriş

superbetin

jojobet

grandpashabet

sweet bonanza

mavibet

mavibet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

süratbet

jojobet giriş

betvoy

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

aresbet

mislibet giriş

gobahis

limanbet

mislibet

mavibet

mavibet giriş

mavibet

aresbet giriş

kavbet

kavbet giriş

ikimisli giriş

ikimisli

ikimisli giriş

ultrabet

ultrabet giriş

mavibet

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Mariobet

Mariobet

casibom güncel giriş

casibom giriş

meritking

bets10

monobahis

taraftarium

taraftarium

taraftarium

tipobet

superbetin

sekabet güncel giriş

Featured Kitaifa

TUME KUANDIKISHA WAPIGA KURA WAPYA ZAIDI YA LAKI SITA DAR

Written by mzalendo

Mwenyekiti wa Tume  Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza leo Machi 05,2025 wakati akifungua mkutano wa Tume na Wadau wa uchaguzi mkoa wa Dar es Salaam kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura. 

Mwenyekiti wa Tume  Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza leo Machi 05,2025 wakati akifungua mkutano wa Tume na Wadau wa uchaguzi mkoa wa Dar es Salaam kuhusu Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

 

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume  Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Ndg. Kailima, R. K  akiwasilisha mada kuhusu uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura leo Machi 05,2025 wakati mkutano wa Tume na Wadau wa uchaguzi mkoa wa Dar es Salaam.

 

 

Sehemu ya wadau walioshiriki mkutano huo leo 
Sehemu ya wadau walioshiriki mkutano huo leo 

 

Na. Mwandishi Wetu  

 

Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura mkoani Dar es Salaam utafanyika kwa siku saba kuanzia tarehe 17 hadi 23 Machi, 2025 ambapo wapiga kura wapya 643,420 wanatarajiwa kuandikishwa.

 

 

 

Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele na Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume hiyo, Kailima Ramadhan kwenye mkutano wa wadau wa uchaguzi uliofanyika jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Machi, 2025.

 

 

 

“Leo tupo hapa Dar es Salaam ikiwa ni maandalizi ya uboreshaji wa Daftari kwenye mkoa huu, ambapo zoezi litafanyika kwa muda wa siku saba kuanzia tarehe 17 Machi, 2025 na kukamilika tarehe 23 Machi, 2025 na vituo vitakuwa vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni,” amesema Jaji Mwambegele.

 

 

 

Amesema mkoa wa Dar es Salaam ndio wa mwisho kwenye awamu ya kwanza ya uboreshaji wa Dafatri ambayo ilizinduliwa mwezi Julai, 2024 mkoani Kigoma ambapo mpaka sasa zoezi hilo limeshafanyika kwenye mikoa 28 na kwamba mikoa ya Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga inatarajiwa kukamilisha zoezi hilo tarehe 07 Machi, 2025.

 

 

 

“Hadi leo tarehe 05 Machi, 2025 Tume imeshakamilisha uboreshaji wa Daftari katika Mikoa 28. Kwa mujibu wa ratiba, kwa sasa Tume imeanza maandalizi ya mzunguko wa 13 ambao ni mzunguko wa mwisho wa uboreshaji wa Daftari. Mzunguko huu unahusisha Mkoa wa Dar es Salaam pekee. 

 

 
Aidha, zoezi la uboreshaji wa Daftari kwenye mkoa wa Morogoro na sehemu ya mkoa wa Tanga kwenye Halmashauri za Wilaya ya Bumbuli, Handeni, Pangani na Mkinga unaendelea tangu tarehe 01 Machi, 2025 na utakamilika tarehe 07 Machi, 2025,” amesema Jaji Mwambegele.
 

 

Akiwasilisha mada kwenye mkutano huo, Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndugu. Kailima Ramadhan amesema kwa mkoa wa Dar es Salaam Tume inatarajia kuandikisha wapiga kura wapya 643,420 ikiwa ni sawa na ongezeko la asilimia 18.7 ya wapiga kura 3,427,917 waliopo kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura.

 

 

 

“Tume inatarajia baada ya uandikishaji Mkoa wa Dar es Salaam utakuwa na wapiga kura   4,071,337. Aidha, idadi hii inaweza kuongezeka kwa kuwa inawezekana wapo watanzania ambao walikuwa na sifa za kuandikishwa kuwa wapiga kura wakati wa uboreshaji wa Daftari mwaka 2019/20, lakini kwa sababu moja au nyingine hawakuweza kujiandikisha,” amesema Kailima.

 

 

 

Ameongeza kuwa mkoa wa Dar es Salaam una vituo    1,757   vitakavyotumika kwenye uboreshaji kwa mwaka huu ikiwa ni ongezeko la vituo      96     katika vituo         1,661    vilivyotumika kwenye uboreshaji mwaka 2019/20.

 

 

 

Kailima amesema zoezi la uboreshaji wa Daftari linahusu kuandikisha wapiga kura wapya ambao ni raia wa Tanzania wenye umri wa miaka 18 na zaidi na watakaotimiza umri huo ifikapo tarehe ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kutoa kadi mpya kwa wapiga kura waliopoteza kadi au kadi zao kuharibika na kutoa fursa kwa wapiga kura walioandikishwa kurekebisha taarifa zao yakiwemo majina na taarifa nyingine.

 

 
“Uboreshaji wa Daftari pia utahusu kutoa fursa kwa wapiga kura waliopo kwenye Daftari na ambao wamehama, waweze kuhamisha taarifa zao kutoka kata au jimbo walipoandikishwa awali na kuondoa wapiga kura waliopoteza sifa za kuwemo kwenye Daftari kutokana na sababu mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuukana uraia wa Tanzania na kifo,” amesema Kailima.

About the author

mzalendo