marsbahis giriş

marsbahis giriş telegram

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Eros Maç Tv

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

meritking

Hacklink panel

Postegro

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

หวยออนไลน์

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

meritking giriş twitter

new unblocked games

totalsportek

retro bowl

betpas, betpas giriş, betpas güncel

casibom

Brain Savior Review

bets10

https://guinguinbali.com/

boostaro review

casibom giriş

jojobet giriş

NervEase

escort sakarya

sakarya escort

izmit escort

nesinecasino

tambet

meritking giriş

ganobet

bets10 giriş

grandpashabet

holiganbet

sekabet

jojobet

dizipal

1xbet

1xbet

palacebet

marsbahis

royalbet

elexbet giriş

kavbet

milanobet

restbet

imajbet

betpas

imajbet

interbahis

kulisbet giriş

pusulabet giriş

betparibu, betparibu giriş

kulisbet, kulisbet giriş

bahiscasino, bahiscaasino giriş

kulisbet, kulisbet giriş

betebet

restbet

jojobet giriş

pokerklas

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

casibom

trimology review

betcup

holiganbet

holiganbet giriş

nakitbahis

holiganbet

holiganbet

pusulabet

holiganbet giriş

Nitric Boost

tarafbet giriş

betebet

gonebet, gonebet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

jojobet giriş

dinamobet

holiganbet

holiganbet giriş

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

supertotobet giriş

supertotobet

supertotobet giriş

supertotobet

netbahis

netbahis giriş

netbahis

netbahis giriş

sahabet

starzbet

grandpashabet giriş

jojobet

jojobet güncel giriş

jojobet

jojobet giriş

jojobet

netbahis

netbahis giriş

betsat

betsat giriş

pokerklas

pokerklas giriş

pokerklas giriş

kingroyal

tümbet

tümbet giriş

tümbet giriş

tümbet

kıbrıs escort

jojobet

jojobet güncel giriş

ilbet

ilbet giriş

xslot

xslot giriş

bets10

bets10

bets10 giriş

Tipobet

jojobet

türk ifşa

casinoroyal

İkimisli

casinofast

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10

bets10

jojobet

lunabet

lunabet giriş

betpas

betpas giriş

pokerklas

pokerklas giriş

mislibet

mislibet giriş

Featured Kitaifa

SERIKALI YAOKOA BILIONI  149.8 HUDUMA MPYA ZA KIBOBEZI  MOI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo na Mishipa ya Fahamu (MOI), Mhe. Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisiya, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa Taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita tarehe 5 Machi, 2025, katika Ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, Dodoma.

Na Adelina Johnbosco, MAELEZO – Dodoma

Katika kipindi cha uongozi wa Serikali ya Awamu ya Sita, Taasisi ya Tiba ya Mifupa, Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imefanikiwa kuanzisha huduma zaidi ya 10 za kibobezi zilizowezesha kupunguza gharama za matibabu.

Hayo yamebainishwa leo Machi 5, 2025 na Mkurugenzi Mtendaji wa MOI, Mhe. Balozi, Dkt. Mpoki Ulisubisya jijini Dodoma katika ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO wakati akieleza mafanikio ya taasisi hiyo ndani ya kipindi cha miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Huduma hizo za kibingwa bobezi zaidi ya kumi zilizoanzishwa MOI ni pamoja na; upasuaji na uchunguzi wa ubongo bila kufungua fuvu, upasuaji wa nyonga na magoti wa marudio, upasuaji wa mgongo kwa njia ya matundu, matibabu ya kiharusi kwa kupitia mishipa mikubwa ya damu ya paja, upasuaji wa kunyoosha mgongo uliopinda (Kibiongo), kuondoa uvimbe kwenye ubongo kupitia tundu la pua, huduma ya maumivu sugu ya mgongo, huduma ya wagonjwa maalum na wagonjwa wa kimataifa, huduma ya mkono wa umeme pamoja na utengenezaji viungo bandia kwa teknolojia ya ‘3D’.

Pia, Taasisi ya MOI imeendelea kutoa huduma nyingine za kibingwa bobezi zikiwemo za upandikizaji wa nyonga bandia, upandikizaji wa goti bandia, upasuaji wa magoti kwa njia ya matundu, upasuaji wa kuondoa vivimbe vya mishipa ya damu kwenye ubongo (Aneurysm), upasuaji wa mfupa wa kiuno, upasuaji wa kichwa kikubwa na mgongo wazi kwa watoto, upasuaji wa ubongo kwa kufungua fuvu pamoja na upasuaji wa mgongo.

“Katika kipindi cha miaka minne, Taasisi ya MOI imefanikiwa kutoa huduma za kibobezi kwa wagonjwa 7,366, gharama za matibabu haya ndani ya nchi zilikuwa shilingi bilioni 68.4 na kama wagonjwa hawa wangepelekwa nje ya nchi kwa matibabu, jumla ya shilingi bilioni 218.2 zingetumika. Hivyo serikali imefanikiwa kuokoa shilingi bilioni 149.8 ambazo zimetumika katika shughuli nyingine za maendeleo”- Dkt. Ulisubisya.

Pamoja na mafanikio mengine aliyotanabaisha Dkt. Ulisubisya, ameongeza kwamba, katika kipindi cha Awamu ya Sita, Serikali imeiwezesha Taasisi ya MOI kuwa na vifaa vya kisasa ikiwemo mashine za kisasa za kupumulia, vitanda na gari la kubebea wagonjwa, ununuzi wa mashine mpya ya kisasa ya MRI na CT scan, vitanda vya kisasa vya vyumba vya upasuaji, vitanda vya wodini na makabati ya dawa na ya wodini, mashine za mionzi, mashine za kutakasa vyombo vya kuwahudumia wagonjwa pamoja na mashine ya kutolea dawa za usingizi.

About the author

Alex Sonna