Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

xxxเย็ดยับ

Casibom

Casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

marsbahis

bets10 giriş

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betsat

bets10

dinamobet giriş

süpertotobet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

fixbet

süpertotobet

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

milanobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

istanbulbahis

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

medusabahis giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

holiganbet

grandpashabet

tümbet güncel giriş

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

meritbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

kralbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

bets10 sorunsuz giriş

girne escort

magusa escort

bets10

jojobet

tubidy

medusabahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

jojobet

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

dizipal

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Featured Kitaifa

SERIKALI YA AWAMU YA SITA YAVUNJA REKODI MIRADI YA UWEKEZAJI

Written by Alex Sonna

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead Teri, akizingumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita leo tarehe 27 Februari, 2025, katika ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, Dodoma.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bw. Gilead Teri, akizingumza na waandishi wa habari kuhusu mafanikio na mwelekeo wa taasisi hiyo katika kipindi cha miaka minne ya Serikali ya awamu ya sita leo tarehe 27 Februari, 2025, katika ofisi za Idara ya Habari – MAELEZO, Dodoma.

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO
Serikali ya Awamu ya Sita kupitia Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), imefanikiwa kusajili jumla ya miradi 2,020 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 177.47 katika kipindi cha mwezi Machi 2021 hadi Februari 2025 ikilinganishwa na miradi 728 iliyosajiliwa katika kipindi kama hicho, Machi 2018 hadi Machi 2021 iliyokuwa asilimia 63.19.
Takwimu hizo zimetolewa leo Februari 27, 2025 katika ukumbi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Dodoma wakati Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Bw. Gilead Teri akitoa taarifa ya utekelezaji wa kituo hicho ndani ya miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita kwa Waandishi wa Habari ikiwa ni programu iliyoandaliwa na Idara hiyo.
Bw. Teri amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameipa kipaumbele sekta binafsi na uwekezaji ambapo ameiwezesha Tanzania kutekeleza Diplomasia ya Uchumi kupitia ziara alizofanya Marekani, China, Korea ya Kusini, Jumuiya ya Ulaya, Afrika ya Kusini, Uturuki na Misri ambazo zimewezesha kuongezeka kwa wawekezaji wa ndani na kutoka nje ikiwemo Watanzania asilimia 34, wageni asilimia 42.6 na ubia asilimia 23.1.
“Uwekezaji huo wa kipindi cha awamu ya sita, umezalisha ajira 523,891 ikilinganishwa na ajira 104,172 za kati ya mwaka 2018 hadi 2021, pia umeongeza makusanyo ya kituo hicho kutoka wastani wa milioni 400 hadi bilioni 1 kwa mwezi”, amesema Bw. Teri.
Ameongeza kuwa, thamani ya mitaji ya miradi hiyo inakadiriwa kuwa Dola za Marekani bilioni 23.67, ikiongezeka kwa asilimia 188 kutoka Dola za Marekani bilioni 8.2. Aidha, miradi iliyosajiliwa inatarajiwa kutoa ajira 523,891 sawa na ongezeko la asilimia 284.6 ikilinganishwa na ajira 136,232 za kipindi cha miaka mitatu yaani 2017- 2020.
Bw. Teri amefafanua kuwa, Kituo hicho kimeboresha huduma kwa kuzingatia weledi na matumizi ya TEHAMA pia, uwepo wa Sheria Mpya ya Uwekezaji Na. 10 ya 2022 ambayo imeboresha kwa kiwango kikubwa mazingira ya uwekezaji huku mikoa inayoongoza kwa kusajili miradi ya uwekezaji nchini kwa mwaka 2024 ikiwa ni Dar es Salaam yenye miradi 356, Pwani 166, Arusha 64, Dodoma 47 na Mwanza 37.
Vile vile, amezitaja sekta tano zilizoongoza kwa kusajili miradi mingi ikiwemo; sekta ya uzalishaji viwandani miradi 917, usafirishaji 348, majengo ya biashara 304, utalii 191 na kilimo yenye miradi 180.
Amemalizia, kwa kutaja moja ya malengo ya mwaka 2025 ya kituo hicho kuwa ni, kuvutia miradi mipya ya uwekezaji 1,500 na mitaji ya Dola za Marekani bilioni 15 ifikapo mwezi Desemba 2025 huku sekta mahsusi zikiwa ni viwanda, kilimo, uchukuzi, nishati, utalii, madini na huduma.

About the author

Alex Sonna