Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

vdcasino

casibom giriş

marsbahis

bets10

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

grandpashabet

betsat

dinamobet giriş

ultrabet

casibom

ultrabet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

casibom

ultrabet

Hacklink panel

betturkey

nerobet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

nakitbahis giriş

casibom

casibom

kendin tasarla mousepad

meritking

matbet

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

hd porno

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa konteyner

jojobet güncel giriş

Pusulabet

grandpashabet

imajbet

betlivo

betra

artemisbet giriş

marsbahis

deneme bonusu

jojobet güncel giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

grandpashabet

pusulabet

betsat giriş

vdcasino giriş

jojobet

Jojobet

betsat

Starzbet

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

mavibet giriş

mavibet

betsat

girne escort

magusa escort

deneme bonusu

jojobet

tubidy

nakitbahis

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

slot siteleri

deneme bonusu veren siteler

casibom

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

casibom

jojobet

Earn money link shortener

porno

vdcasino giriş

dizipal

grandpashabet

jojobet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

casibom

Hacking Forum

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE ATOA WITO KWA WANANCHI WA CHIPOGOLO KUSHIRIKI MAENDELEO

Written by Alex Sonna

 

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (aliyenyanyua mikono) akielekeza jambo kwenye korongo linalohitaji kujengwa daraja katika Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

 

Na. Mwandishi Wetu-Chipogolo

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene ametoa wito kwa wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo, Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa kushiriki shughuli za maendeleo katika kijiji hicho.

Mhe. Simbachawene ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Kibakwe katika Halmashauri ya Wilaya ya Mpwapwa ametoa kauli hiyo leo tarehe 25 Februari, 20245 akiwa kwenye ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Kata hiyo ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Akizungumza na wananchi katika Kijiji cha Chamsisili, Mhe Simbachawene amewasisitiza wananchi wa Kijiji hicho kuweka nguvu kazi kubwa kwenye daraja wanalokusudia kujenga kufuatia korongo kubwa lililoko sehemu ya Kijiji hicho.

“Naomba mshiriki maendeleo katika Kata yenu, adha tunayoipata kwa kutokushiriki maendeleo ni kubwa, hivyo tujitahidi kutumia nguvu zetu wakati Serikali inatafuta namna ya kufanya kupitia taasisi yake ya Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA).” Amesisitiza Waziri Simbachawene.

Katika kuhakikisha ujenzi wa daraja hilo unatekelezwa kwa haraka, Waziri Simbachawene ameahidi kuchangia mifuko 300 ya saruji.

Kwa upande wake Diwani wa Kata ya Chipogolo, Mhe. Kayanda Mwanika amemshukuru Waziri Simbachawene kwa kufanya ziara hiyo ambayo italeta chachu kwa maendeleo ya Kata hiyo.

Vilevile Mhe. Mwanika amempongeza Waziri Simbachawene kwa ahadi ya mifuko 300 ya saruji itakayoongeza nguvu kubwa katika kukamilisha daraja hilo na kuahidi kushirikiana nae pamoja na wananchi wa Kijiji hicho kwa lengo la kuleta maendeleo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akiwa ameongozana na wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo mara baada ya kuwasili katika Kijiji hicho alipofanya ziara iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (aliyevaa miwani) akisisitiza jambo kwa Viongozi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati Waziri huyo alipofanya ziara iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (aliyenyanyua mikono) akielekeza jambo kwenye korongo linalohitaji kujengwa daraja katika Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akisalimiana na Wananchi na Viongozi mara baada ya kuwasili katika Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakati alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Mwenyekiti Mstaafu wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo Bi. Grace Ndogwe akiwasilisha hoja kwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati wa ziara ya Waziri huyo iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Wananchi na Viongozi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo wakimsikiliza Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene (hayupo pichani) wakati Waziri huyo alipofanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe. George Simbachawene akifurahia jambo wakati akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Chamsisili, Kata ya Chipogolo mara baada ya kuwasili wakati wa ziara yake ya kikazi iliyolenga kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo.

About the author

Alex Sonna