Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

aresbet

betcool

avrupabet

vipslot

betcool

realbahis

betmarino

casinowon

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

marsbahis

luxbet

betmarino giriş

kareasbet

gobahis giriş

betcool giriş

betnis giriş

elitbahis giriş

luxbet

primebahis

betturkey

betturkey giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

kalebet güncel giriş

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

coinbar

grandpashabet

grandpashabet

matadorbet

porno izle

türk ifşa izle

evcil hayvan satış

uyuşturucu satın al

runtobet

runtobet giriş

1xbet

marsbahis, marsbahis giriş

gameofbet

jojobet

hepbet giriş

betmarino

parmabet

avrupabet giriş

hepbet

hazbet giriş

gobahis

betnis

parmabet

realbahis

luxbet giriş

hazbet

aresbet giriş

betlivo

betface

betlivo giriş

betra giriş

gallerbahis

marsbahis güncel giriş 2026

parmabet giriş

kareasbet

casival giriş

celtabet

celtabet giriş

vipslot giriş

lordcasino

realbahis giriş

betface giriş

millibahis

lordcasino giriş

aresbet

vipslot

elitbahis

bungalov kiralama

kiralık bungalov

alobet, alobet giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

pashagamingg

pasacasino

kingroyal

https://sjconsultors.com/

artemisbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

mariobet

Madridbet

betbox

casibom

mavibet

meritking

dedektör

vdcasino giriş

meritbet giriş

betasus

meritbet

jojobet güncel giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

jetbahis

jojobet

mercurecasino

sweet bonanza

mavibet

coinbar giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

ibizabet

jojobet giriş

sapanca bungalov kiralama

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

celtabet

millibahis

lordcasino

casival

mavibet giriş

betlike giriş

coinbar

coinbar

artemisbet

mavibet

artemisbet giriş

mavibet

artemisbet giriş

betlike

mavibet giriş

coinbar giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu

marsbahis giriş

festwin

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

madridbet

madridbet

casibom güncel giriş

jojobet

meritking

betsat

matbet, matbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

betpark

betsat

dinamobet

betpas

grandpashabet

casibom

grandpashabet

casibom

jojobet

jojobet

betpas

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

betmarino

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

ikimisli

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

Casibom

marsbahis

betturkey giriş

casibom

casibom

deneme bonusu veren siteler

grandpashabet

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

meritking

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

holiganbet

İmajbet

İmajbet

Featured Kitaifa

JUMBE ACHANGIA MIFUKO 1OO YA SARUJI UJENZI WA UZIO KITUO CHA AFYA KAMBARAGE

Written by Alex Sonna

 

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa (kushoto), na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakikabidhi mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Kambarage Mjini Shinyanga


Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo cha Afya Kambarage Manispaa ya Shinyanga. 

Mchango huu unalenga kuimarisha usalama wa wagonjwa na watoto wachanga waliozaliwa katika kituo hicho.

Mhandisi Jumbe amekabidhi mifuko hiyo ya saruji leo, Jumamosi, Februari 22, 2025, wakati wa ziara ya Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, ambapo wamekagua maendeleo katika Kituo cha Afya Kambarage na ujenzi wa barabara ya Kenyatta-Karena kwenye kata hiyo. 

Ziara hiyo pia imejumuisha mazungumzo na wanachama na viongozi wa CCM kutoka Kata ya Kambarage, Lubaga na Mjini.

Akizungumza wakati wa makabidhiano ya mifuko ya saruji, Mhandisi Jumbe amesema, “Nimeamua kutimiza ahadi yangu kutoa mifuko hii ya saruji ili kuimarisha ulinzi katika Kituo cha Afya Kambarage. Kamati ya Kituo hiki iliniletea ombi la kuchangia ujenzi wa uzio na mimi nimelijibu kwa vitendo. Kituo hiki kipo kwa ajili ya wagonjwa mbalimbali na wengi ni akina mama na watoto, na tunahitaji kuwalinda kwa kila hali.”

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa (kushoto), na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakikabidhi mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Kambarage 

“Niipongeze kamati ya Kituo cha afya Kambarage kwa namna ambavyo wanajitahidi kutoa michango mbalimbali, Mwenyekiti wa Kamati aliniandikia barua tangu mwaka jana akaniambia wana ujenzi wa uzio wa kituo hiki, na mimi nikamuahidi nitamchangia kama alivyoeleza, zoezi letu tumekuwa tukiliahirisha mara kwa mara lakini mara ya mwisho nikamwambia kuwa kwa kuwa mimi ni mjumbe wa kamati ya utekelezaji Wazazi na ukizingatia kituo hiki cha afya kwa kiwango kikubwa kipo kwa ajili ya wazazi hasa akina mama ni muhimu tuungane ili kuhakikisha kunakuwa na usalama,” amesema Mhandisi Jumbe.

Mhandisi James Jumbe Wiswa

“Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amejitahidi sana kuboresha sekta ya afya, ametoa vifaa tiba, amejenga majengo ya kisasa, amenunua vifaa vingi vya kisasa vya gharama kubwa, ambapo tulikuwa tunatumia gharama kubwa sana kuvipata kwenye sekta binafsi. Mama Samia ni mama mwenye watoto, anajua kadhia ambazo akina mama wanapitia.  Sisi kama wadau wa maendeleo, na mimi pia ni mfanyabiashara, tunapaswa kujitolea kwa ajili ya jamii yetu,” ameongeza Mhandisi Jumbe.

Amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ameonesha jitihada kubwa kuboresha sekta ya afya nchini, na yeye kama mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi, ameamua kuunga mkono juhudi hizo kwa kuchangia katika ujenzi wa uzio akisema “Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amejitahidi kuboresha sekta ya afya, ametoa vifaa vya kisasa na kujenga majengo bora.

“Kwa hiyo, nimeona ni vyema kumuunga mkono Rais Samia kwa juhudi zake kubwa. Kama wadau, ametufanyia mazingira rafiki ya kufanya shughuli zetu na tumeweza kulipa kodi bila kusumbuliwa. Hivyo, tunapaswa kutoa kile tunachopata kusaidia jamii yetu. Na nawaasa wafanyabiashara wa Shinyanga, tunao wengi, wajitolee kusaidia. Nafurahi wapo ambao wametoa mchango wao, uzio huu ni kidogo kama wote tungeshirikiana, ukishiriki kuchangia uzio huu maana yake unashiriki kulinda uhai wa mwanadamu ambao mwenyezi Mungu ametupatia. Hatupaswi kuweka mazingira hatarishi kwa akina mama wanaokuja kupata huduma, lazima tuwajibike na kuwalinda,” amesema Mhandisi Jumbe.

Mashine ya UltraSound katika Kituo cha Afya Kambarage
 
“Leo, tumekabidhi mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio, lakini pia Jumuiya ya Wazazi CCM Shinyanga Mjini tuna mradi wa tofali jirani na kituo hiki cha afya hivyo tumechangia matofali 2000 kwa mradi huu, na tutachangia mchanga wa kutosha. Tutaendelea kufanya matendo mbalimbali kuwaunga mkono, kumuunga mkono Rais Samia, na Mungu akipenda, tutawatia moyo watumishi wa afya kwa motisha mbalimbali. Mchango huu ni zawadi kwa Rais Samia kutoka kwa watu wa Shinyanga, kuonesha watu wa Shinyanga tunampenda.

 Na sisi wana Shinyanga tunamuunga mkono kwa vitendo, na vitendo vyenyewe ni kushiriki shughuli za maendeleo na kutatua changamoto ambazo zinakumba jamii yetu. Mchango huu pia ni ishara ya kuunga mkono azimio la Mkutano Mkuu CCM kumteua Rais Samia kugombea tena Urais akiwa na mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi. Hii ni ishara ya kumpongeza kwa juhudi zake” ,ameeleza Mhandisi Jumbe.

Viongozi wa Kituo cha Afya Kambarage, Mwenyekiti wa Bodi Adolf Nzwanzungwanko na Mganga Mfawidhi Dkt. Ernest Magula, walimshukuru Mhandisi Jumbe kwa mchango wake na kusema kuwa uzio huo utasaidia kuimarisha usalama hasa wakati wa usiku, hivyo kurahisisha huduma za afya kwa wananchi.

Katika ziara hiyo, akiwa katika kata za Kambarage, Mjini na Lubaga Mhandisi Jumbe pamoja na wajumbe wa kamati ya utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Shinyanga Mjini wamewahamasisha wanachama wa CCM kutangaza mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.

 “Kazi yetu kama makada wa CCM ni kuyasemea mambo mazuri yaliyofanywa na Rais Samia. Tunataka Rais Samia apate ushindi mkubwa katika uchaguzi Mkuu mwaka huu, ni mama mwenye huruma na ameimarisha amani, umoja, na mshikamano”,amesema Jumbe.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, amesisitiza kuwa chama kinapaswa kuungwa mkono kwa sababu kimeendelea kuwaletea maendeleo wananchi wa Shinyanga.

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa (kushoto), na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakikabidhi mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Kambarage Mjini Shinyanga
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa akizungumza wakati akikabidhi mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Kambarage Mjini Shinyanga
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa akizungumza wakati akikabidhi mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Kambarage Mjini Shinyanga
Sehemu ya mifuko ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika kituo cha afya Kambarage Mjini Shinyanga iliyotolewa na Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa
Wanachama na Viongozi wa CCM wakiwa na Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakifanya matembezi kuelekea katika Kituo cha Afya Kambarage
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiwa katika chumba cha mashine ua UltraSound katika Kituo cha Afya Kambarage
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiwa katika chumba cha mashine ya UltraSound katika Kituo cha Afya Kambarage
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiwa katika Kituo cha Afya Kambarage
Muonekano ujenzi wa barabara ya Kenyatta-Karena katika kata ya Kambarage Manispaa ya Shinyanga ukiendelea
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakikagua ujenzi wa barabara ya Kenyatta-Karena katika kata ya Kambarage
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini wakikagua ujenzi wa barabara ya Kenyatta-Karena katika kata ya Kambarage
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM Kata ya Kambarage
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Doris Kibabi akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM Kata ya Kambarage
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa akizungumza na na wanachama na viongozi wa CCM Kata ya Kambarage
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko akizungumza na wanachama na viongozi wa CCM Kata ya Lubaga
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga, Mhandisi James Jumbe Wiswa akizungumza na na wanachama na viongozi wa CCM Kata ya Lubaga

About the author

Alex Sonna