Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

vdcasino

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

pusulabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

perabet, perabet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

betixir

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino siteleri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

madridbet

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

jojobet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

imajbet

holiganbet

marsbahis

matbet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

grandpashabet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

herabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

galabet

bets10

betpark

casibom

marsbahis

betpark

Featured Kitaifa

WAZAZI CCM SHINYANGA MJINI WARIDHISHWA NA KASI YA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI IGALUKILO – KIZUMBI

Written by Alex Sonna
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakitembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kata ya Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga.
 
Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini imeeleza kuridhishwa na kasi ya ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kata ya Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga.

Akizungumza leo, Februari 19, 2025, wakati wa ziara yake na wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Wilaya ya Shinyanga Mjini, katika kata ya Kizumbi, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, amesema ujenzi wa shule hiyo ni sehemu ya utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kuboresha sekta ya elimu.

“Tumetembelea mradi wa ujenzi wa Shule ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kitongoji cha Igalukilo, Kata ya Kizumbi. Shule hii ni nzuri, inajengwa kwa ubora wa hali ya juu. Tumeshuhudia madarasa manne yakiwa tayari kutumika, ofisi ya walimu iko tayari. Tunatarajia shule hii itaanza kutumika hivi karibuni,” amesema Mrindoko.

Fue Mrindoko

Ameongeza kusema, “Ninawapongeza sana kwa ushirikiano wenu mzuri, mmesimamia vyema ujenzi huu. Ninakupongeza Mheshimiwa Diwani, wazazi na walimu kwa usimamizi bora wa ujenzi wa shule hii.. Hakika hii inaonesha kwa namna gani Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuboresha sekta ya elimu”.

Pia, Mrindoko ametoa wito kwa wazazi kuchangia fedha kwa ajili ya chakula cha wanafunzi shuleni, akisema: “Niwaombe wazazi tushirikiane kutoa fedha za chakula ili kuhakikisha watoto wetu hawaishi kwa shida.”

Kwa upande wake, Diwani wa Kata ya Kizumbi, Reuben Kitinya, ameishukuru Serikali kwa kutoa shilingi milioni 603 kwa ajili ya ujenzi wa shule hiyo mpya, akisema itasaidia kupunguza umbali wa takribani kilomita 8 ambao wanafunzi walikuwa wakitembea hadi kufika Shule ya Sekondari Kizumbi.

Reuben Kitinya

“Maendeleo ya ujenzi ni mazuri. Madarasa mapya yapo tayari kutumika, maabara tatu zinajengwa, pamoja na maktaba na jengo la kompyuta. Tunatarajia ifikapo Aprili, 2025, ujenzi utakuwa umekamilika. Hata hivyo, tunataka ujenzi wa vyoo ukamilike ili masomo yaendelee kwa wanafunzi 102,” alisema Kitinya.

Amefafanua zaidi kwamba, “Mwezi Machi, 2025, wanafunzi 102 wanatarajia watahamia na kuanza masomo katika shule hii ya Sekondari Igalukilo, ambayo itapokea wanafunzi kutoka shule tatu za msingi: Mwamashele, Lyandu, na Bugayambele.”

Diwani Kitinya ameongeza kuwa, mbali na maendeleo ya sekta ya elimu, Kata ya Kizumbi miradi ya umeme inazidi kusonga mbele, huku huduma za maji zikipanuliwa karibu na kila kitongoji.

Mwalimu Msimamizi wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari Igalukilo, Maliki Yazidi Nofel, amesema kuwa ujenzi wa shule hiyo ulianza rasmi Septemba 1, 2024, na ulitarajiwa kukamilika Desemba 30, 2024, lakini ulikwama kidogo kutokana na changamoto za mkandarasi. 

Amesema kuwa Serikali ilitoa kiasi cha shilingi 603,890,563/- kwa ajili ya shule hiyo.

Wajumbe wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini wanaendelea na ziara yao ya kutembelea kata zote za Jimbo la Shinyanga Mjini, ambapo lengo kuu ni kuzungumza na wanachama na viongozi wa CCM, kufanya tathmini ya utekelezaji wa Ilani ya CCM, kuangalia hali ya uhai wa chama, na kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo hayo.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko  (katikati) akiwa katika moja ya vyoo vya wanafunzi vinavyojengwa katika shule mpya ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kata ya Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga.
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakitembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kata ya Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga.
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakitembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kata ya Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga.
Wajumbe wa Kamati ya Utekelezaji wa Wilaya ya Shinyanga Mjini wakiongozwa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko wakitembelea na kukagua ujenzi wa shule mpya ya Sekondari Igalukilo, iliyopo katika Kata ya Kizumbi, Manispaa ya Shinyanga.

About the author

Alex Sonna