Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

https://guinguinbali.com/

boostaro review

NervEase

vdcasino

holiganbet

güvenilir bahis siteleri

ganobet

bets10 giriş

maritbet giriş

hiltonbet

sekabet

jojobet

film izle

1xbet giriş

1xbet

jojobet

Betoffice

marsbahis

mislibet

imajbet

goldenbahis

goldenbahis giriş

betoffice

coinbar

goldenbahis

holiganbet

deneme bonusu veren siteler

pusulabet giriş

alobet, alobet giriş

perabet, perabet giriş

perabet, perabet giriş

betparibu, betparibu giriş

holiganbet

restbet

holiganbet

meritking

สล็อตออนไลน์ theprepperwebsitepodcast com

piabellacasino

trimology review

jojobet

jojobet

jojobet güncel

meritking

holiganbet

jojobet adres

jojobet

jojobet giriş

Nitric Boost

tarafbet

betebet

truvabet, truvabet giriş

tipobet

jojobet

retro bowl

retro bowl unblocked 76

meritking giriş

flower disease

jojobet güncel giriş

jojobet güncel

alpha fuel pro

Alpha Fuel Pro

trimology review

Nitric Boost Ultra

hititbet giriş

hititbet

hititbet

hititbet giriş

ultrabet

pusulabet

grandpashabet giriş

casibom

pokerklas

jojobet giriş

marsbahis

marsbahis

betturkey giriş

betturkey

pokerklas giriş

pokerklas giriş

pokerklas

royalbet giriş

hititbet

hititbet giriş

hititbet giriş

hititbet

betpark giriş

trendbet

jojobet güncel giriş

ilbet giriş

ilbet

ilbet

ilbet giriş

bets10

bets10 giriş

bets10

Milanobet

casibom giriş

Meritking

deneme bonusu

İkimisli

onwin

bets10

bahibom

marsbahis

betsin

casino zonder cruks

vdcasino

vdcasino

vdcasino

bets10 giriş

bets10

holiganbet giriş

kavbet

kavbet giriş

artemisbet

goldenbahis

artemisbet

imajbet

artemisbet

imajbet giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

betpark

madridbet

Hacklink Panel

สล็อตเว็บตรง

cratosroyalbet

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

casino siteleri

Hacklink Panel

holiganbet

vdcasino giriş

bets10 giriş

mislibet

goldenbahis giriş

kavbet

mislibet giriş

kavbet giriş

artemisbet giriş

Meritking

goldenbahis

สล็อตเว็บตรง

bets10

piabellacasino giriş

holiganbet

celtabet

holiganbet

trust score weak 3

jojobet

ikimisli giriş

bonus veren casino siteleri

mislibet

kavbet giriş

jojobet giriş

jojobet

jojobet

pokerklas

jojobet giriş

sekabet giriş

netbahis

sapanca bungalov

mobilbahis

casibom giriş

interbahis

agb99

safirbet

Hacking forum

trend hack methods

deneme bonusu

betturkey

betturkey giriş

betturkey giriş

betturkey

betpas

1xbet

casibom giriş

restbet

dinamobet giriş

hackhaber

grandpashabet

dizipal

casibom

interbahis, interbahis giriş

truvabet, truvabet giriş

pokerklas, pokerklas giriş

bets10

superbetin

ilbet

ilbet giriş

jojobet giriş

onwin

piabellacasino

betturkey

sweet bonanza

bets10 güncel giriş adresi

betpuan giriş

jojobet güncel

jojobet güncel giriş

ilbet

deneme bonusu

jojobet giriş

holiganbet giriş

Ankara escort

marsbahis

güvenilir bahis siteleri

dizipal

vdcasino giriş

interbahis

pokerklas, pokerklas giriş

grandpashabet

millibahis

piabet

palacebet

dental implants turkey

robinbet

deneme bonusu veren siteler

slot siteleri

jojobet giriş

casibom giriş

holiganbet

holiganbet

turkey dental implants

dental implants turkey

betturkey

pusulabet

sekabet

marsbahis

matbet

imajbet

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino giriş

jojobet

casibom giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet giriş

jojobet

jojobet giriş

pokerklas

pokerklas

meritking

meritking giriş

jojobet giriş

jojobet

marsbahis

marsbahis giriş

holiganbet

holiganbet giriş

jojobet

marsbahis

jojobet giriş

pokerklas

holiganbet

marsbahis

holiganbet

grandpashabet

Hacklink panel

betturkey

jojobet

grandpashabet

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

holiganbet

jojobet giriş

jojobet giriş

jojobet

holiganbet

marsbahis

jojobet

herabet

bahsegel

bahsegel giriş

betturkey

betturkey giriş

tipobet

meritking

meritking giriş

truvabet

betgaranti

betoffice

perabet

Bet365 Giriş

ilbet

ilbet giriş

turkey dental implants

roketbet 2026

vdcasino

casibom

deneme bonusu

safirbet

pokerklas

pokerklas

casibom

türk ifşa izle

deneme bonusu veren siteler

matadorbet

bets10

deneme bonusu

Featured Kitaifa

JUMUIYA YA WAZAZI CCM SHINYANGA MJINI WAMPONGEZA RAIS SAMIA ….YATAKA WANANCHI WASIKUBALI KUPOTOSHWA

Written by Alex Sonna

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, akizungumza katika ziara yake na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.

Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Shinyanga Mjini imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mafanikio makubwa aliyoyapata katika kuwaletea maendeleo wananchi, huku ikiwasihi wanachama wa CCM na Watanzania kwa ujumla kutokubali kuathiriwa na maneno ya baadhi ya watu wanaobeza jitihada za Rais Samia.

Pongezi hizo zimetolewa leo, Jumanne Februari 18, 2025, na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, alipokuwa katika ziara yake na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini, ziara iliyofanyika katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.

Ziara hiyo ni sehemu ya mpango wa kimkakati wa kutembelea kata zote za Jimbo la Shinyanga Mjini, ambapo lengo kuu ni kuzungumza na wanachama na viongozi wa CCM, kufanya tathmini ya utekelezaji wa Ilani ya CCM, kuangalia hali ya uhai wa chama, na kutembelea miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo hayo.

Akizungumza kwenye ziara hiyo, Mrindoko amesisitiza umuhimu wa wananchi kuendelea kumuunga mkono Rais Samia na kutambua juhudi zake za kuboresha ustawi wa taifa.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko

“Msikubali kupotoshwa, nchi hii imejengeka. Hawa wanaokuja kubeza leo wametoka wapi? Tumshike mkono Mama Samia, tumpe mitano tena, amefanya mambo mazito, tusimame pamoja naye. Mama huyu amefanya mambo mazuri sana. Naomba msimame imara, hakuna mtu wa kuwayumbisha na kuwatoa kwenye mstari mkamuacha Samia,” amesema Mrindoko.

Amesema pia ni muhimu kupuuza watu wanaobeza mafanikio ya Rais Samia, akitaja baadhi yao kama “washamba” wanaopuuza maendeleo makubwa yaliyofikiwa katika sekta muhimu kama vile miundombinu, elimu,maji, umeme na afya.

“Tuwapuuze hawa washamba wanaopuuza kazi nzuri zinazofanywa na Mama Samia katika sekta mbalimbali. Watanzania tuendelee kuwa macho na kushirikiana kwa pamoja ili kutimiza malengo ya maendeleo,” amesema Mrindoko.

Pia, amezungumzia umuhimu wa kulinda watoto dhidi ya vitendo vya ubakaji na ulawiti, akisema: “Hawa wanaolawitiana na kusagana ni dhambi kubwa kwa Mungu. Tukatae hii tabia ya watoto wetu kuchezewa chezewa, tukabiliane na hawa wanaochezea watoto wetu, wanaolawiti na kubaka watoto wetu.”

Kwa upande wake, Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Dorice Kibabi, amesisitiza umuhimu wa mshikamano miongoni mwa wanachama wa CCM, hasa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.

Dorice Kibabi

Kibabi pia amehamasisha wananchi kujiunga na chama na kulipa ada ya uanachama CCM, akisema kuwa uhai wa chama unatokana na michango ya wanachama ikiwemo kulipia kadi ya uanachama.

Naye Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhandisi James Jumbe ameeleza kuwa Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mambo makubwa tangu aingie madarakani ambapo alikuta miradi mingi mikubwa ya kimkakati ambayo sasa tayari imekamilika, mingine ikiwa katika hatua za mwisho za kukamilika.

Mhandisi Jumbe ameongeza kuwa, Rais Samia amekuwa akifanya juhudi kubwa katika kuboresha miundombinu ya barabara, sekta ya afya, elimu, na kutoa mikopo kwa makundi maalum kama watu wenye ulemavu, vijana na wanawake.Mhandisi James Jumbe 

“Rais Samia ni mtu anayetaka maendeleo, amekuwa akiboresha miundombinu, uboreshaji huu wa miundombinu ya barabara unasaidia kwa kiwango kikubwa sana kuhakikisha uchumi wetu unakua kwa kasi kubwa. Rais Samia pia amewezesha katika sekta ya afya, vifaa tiba, majengo ya hospitali, vituo vya afya, zahanati. Kwenye elimu ameboresha mikopo ya chuo kikuu, elimu ya sekondari, walimu wanaajiriwa,” amesema Jumbe.

“Mheshimiwa Rais Samia ni mtu ambaye ana maono, tumeona mchakato kuhusu Dira ya taifa, hiyo yote ni kuhakikisha Mhe. Rais Samia anatengeneza taifa ambalo lina dira thabiti itakayosaidia kizazi kilichopo na kijacho”,ameeleza Mhandisi. Jumbe

Mhandisi Jumbe amefafanua kuwa, Rais Samia anatekeleza majukumu yake kwa ufanisi mkubwa, ndiyo maana wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM walimpendekeza kwa kauli moja kama mgombea wa Urais kupitia CCM katika uchaguzi Mkuu 2025.

“Mheshimiwa Rais Samia anatekeleza majukumu yake kwa weledi mkubwa na amefanya kazi pasipo kuchoka ndiyo maana mkutano mkuu wa CCM wajumbe walipitisha azimio la mkutano mkuu kumpitisha kuwa ndiye Mgombea pekee wa Urais kupitia CCM.

Hakupitishwa kwa sababu yeye ni mwanamke au kwa sababu tu yeye ni mkuu wa nchi ana vyombo vya ulinzi na usalama lakini utekelezaji wa Ilani, watu waliridhika nao na ndiyo maana wajumbe wa mkutano mkuu, kupitia maoni ya wanachama mbalimbali walipendekeza Dkt. Samia Suluhu Hassan awe mgombea Urais lakini pia Dkt. Emmanuel Nchimbi kuwa mgombea mwenza ambaye amefanya kazi kubwa katika chama hata katika uchaguzi wa serikali za mitaa. Mhe. Nchimbi ni mchapakazi, muungwana, mwenye heshima, mstahimilivu. Kwa hiyo ukiangalia huo muungano (combination) ya Dkt. Samia na Dkt. Nchimbi hakuna mashaka kwamba uchaguzi mkuu wa mwaka huu, tunaenda kushinda kwa kishindo,” ameongeza Mhandisi Jumbe.

“Kwa hiyo, kama tulivyoshirikiana kwa umoja katika uchaguzi wa serikali za mitaa, na mimi naendelea kuwaomba ndugu zangu, wanachama, wanajumuiya ya wazazi, na jumuiya nyingine za chama, tuungane kwa nguvu moja katika chaguzi zijazo. Uzuri ni kwamba, tutakuwa na wagombea tunaowafahamu, na hivyo tutaangalia ni kiongozi gani anayefaa kutuongoza. Ipo wazi kabisa kwamba mitano ni kwa Mheshimiwa Rais Samia na mgombea mwenza, Dkt. Emmanuel Nchimbi, huku nafasi zingine zikigombewa kwa utaratibu ulioainishwa na chama ili kupata wagombea wanaozingatia maslahi ya umma. Lengo letu ni kuhakikisha chama kinaendelea kushika dola, tushirikiane kwa nguvu, tuendelee kujenga chama, tuunge mkono Rais wetu na viongozi wa chama, na tupate ushindi mkubwa,” amesema Jumbe.

Mhandisi Jumbe amesema uchaguzi mkuu wa mwaka huu utakuwa wa ushindi mkubwa kwa CCM, akisisitiza umoja wa wanachama katika kuhakikisha ushindi mkubwa.

Jumbe amewahamasisha wanachama wa CCM na jamii kwa ujumla kuendelea kushirikiana na kupigania maendeleo, akisema: “Tunatakiwa kuwa makini kwenye malezi ili kutengeneza taifa bora. Tujitahidi kuwa karibu na watoto wetu, tuzungumze nao, kwa sababu wanapitia changamoto mbalimbali ili kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji ambavyo vinaanzia ngazi ya familia.”

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, akizungumza katika ziara yake na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga. Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, akizungumza katika ziara yake na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, akizungumza katika ziara yake na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, akizungumza katika ziara yake na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Fue Mrindoko, akizungumza katika ziara yake na wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.

Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Dorice Kibabi, akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Dorice Kibabi, akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Dorice Kibabi, akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Katibu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Wilaya ya Shinyanga Mjini, Dorice Kibabi, akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.

Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Wazazi CCM wilaya ya Shinyanga Mjini, Mhandisi James Jumbe akizungumza wakati wa ziara ya wajumbe wa kamati ya utekelezaji wilaya ya Shinyanga Mjini katika kata za Mwamalili na Old Shinyanga.


Soma pia

About the author

Alex Sonna