Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

unblocked games

unblocked games 76

new unblocked games

retro bowl

retro bowl

retro bowl unblocked 76

casibom giriş

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

deneme bonusu

sekabet

pusulabet

holiganbet

grandpashabet

vdcasino

vdcasino giriş

vdcasino

vdcasino

lordcasino

marsbahis

vipslot

celtabet

kingroyal

jojobet giriş

jojobet

vipslot

betlivo

eyfelcasino

marsbahis

marsbahis

marsbahis giriş

meritking

meritking giriş

mavibet güncel giriş

marsbahis güncel giriş

meritking giriş

realbahis

vipslot giriş

casival

luxbet

betnis

parmabet

betvoy

holiganbet

Hacklink panel

holiganbet

jojobet

Google

holiganbet

jojobet

armabahis

mislibet giriş

kareasbet giriş

vipslot

betlivo

hazbet

netbahis

betra

primebahis

tümbet

tümbet giriş

betturkey

betturkey giriş

onwin

meritking giriş

meritking güncel giriş

padişahbet

realbahis

sonbahis

cratosslot

1xBet Giriş

betturkey

betturkey giriş

roketbet 2026

deneme bonusu

mavibet giriş

robinbet

robinbet giriş

casibom giriş

holiganbet

bets10

uyuşturucu satın al

porno izle

runtobet

runtobet giriş

1xbet

aresbet, aresbet giriş

Gameofbet

jojobet

betmarino

avrupabet

lordcasino giriş

dengebet

celtabet

betcool

kareasbet

betcool

millibahis

betnis giriş

casival

betvoy

hazbet

betnef

avrupabet

betmarino giriş

betmani

betvakti

marsbahis

prensbet

betmani

millibahis

eyfelcasino

meybet

millibahis giriş

marsbahis giriş

gobahis

betnef

perabet giriş

mislibet giriş

vipslot giriş

meybet giriş

armabahis

meritking giriş

meritking

alobet, alobet giriş

alobet, alobet giriş

deneme bonusu

casibom giriş

grandpashabet

starzbet

kingroyal

https://sjconsultors.com/

cratosroyalbet

kavbet

enjoybet

sakarya escort bayan

casibom güncel giriş

jojobet giriş

Samsun Avukat

sezarcasino

sezarcasino

pusulabet

pusulabet

betbox

casibom

mavibet giriş

meritking

dedektör

vdcasino giriş

marsbahis

jojobet

grandpashabet giriş

holiganbet giriş

jojobet güncel giriş

jojobet

betsat

betsat giriş

jojobet

matbet

sweet bonanza

mavibet

jojobet giriş

setrabet

jojobet

anadoluslot

timebet

jojobet giriş

goldenbahis

meritking

meritking giriş

meritking güncel giriş

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino

elitbahis

betvakti

parmabet

gobahis

elitbahis

mavibet güncel giriş

mavibet giriş

jojobet

mavibet giriş

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet

cratosroyalbet güncel giriş

mavibet

jojobet güncel giriş

mavibet

cratosroyalbet giriş

cratosroyalbet güncel giriş

porno izle

deneme bonusu

romabet

meritking

deneme bonusu veren siteler

av ซับไทย

vdcasino

vdcasino

xxxเย็ดยับ

jojobet

jojobet

casibom güncel giriş

jojobet

casibom

betsat giriş

aresbet, aresbet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

casinomaxi

jojobet

sekabet güncel giriş

jojobet

grandpashabet

jojobet

casibom

jojobet

jojobet

grandpashabet

casibom

casibom

grandpashabet

Hacklink panel

tümbet

safirbet

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

trendbet

jojobet

test

jojobet

jojobet

jojobet

Featured Kitaifa

WAZIRI SIMBACHAWENE ASHIRIKI IBADA YA SHUKRANI YA ALIYEKUWA WAZIRI MKUU, HAYATI EDWARD LOWASSA, ASISITIZA SUALA LA AMANI

Written by Alex Sonna

Na Lusungu Helela-MONDULI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene amewataka Watanzania kumuenzi aliyekuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa kwa kuendelea kudumisha umoja, amani na mshikamano ili kuepuka mapigano yanayoendelea katika nchi zingine.

Mhe. Simbachawene ametoa kauli hiyo leo Jumapili Februari 9, 2025 wakati wa Ibada maalumu ya Kumbukizi ya mwaka mmoja wa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Hayati Edward Lowassa huku akiwataka Watanzania kuendeleza yale yote mazuri aliyokuwa akiyafanya.

Aidha, Mhe. Simbachawene amesema Hayati Edward Lowassa atakumbukwa daima kwa kuwagusa watu wengi kwa namna chanya.

Amefafanua kuwa Hayati Edward Lowassa ni Kiongozi aliyekuwa na upendo, aliyewasaidia watu wengi na aliyependa kuzungumza na kila mtu bila kujali anamfahamu au hamfahamu.

Ameongeza kuwa “Hayati Edward Lowassa ni kiongozi aliyekuwa hapendi kumuona mtu yeyote akipata shida, alitamani kumuona kila mmoja akiwa na furaha wakati wote” amesema.

Katika hatua nyingine Mhe. Simbachawene amemshukuru Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kumuenzi Hayati Lowassa kwa mchango wake chanya aliokuwa akiutoa kwa maendeleo ya taifa.

“Hivi sasa tuna shule nyingi zimejengwa na zimeendelea kujengwa, barabara, miradi ya maji imeendelea kutekelezwa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Uongozi wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan” ameongeza.

Akizungumza kwa niaba ya Familia ya Hayati Edward Lowassa, mtoto wa kwanza ambaye pia ni Mbunge wa Monduli, Mhe. Fredrick Lowassa ametumia fursa hiyo kuwashukuru wote waliokuwa pamoja tangu baba yao alipofariki hadi hivi sasa huku akimtaja Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa mchango wake mkubwa kwa familia hiyo tangu baba yao alipoanza kuugua hadi umauti ulipomkuta.

“Ikiwa leo ni mwaka mmoja tangu baba yetu atutoke, alikuwa ni kiongozi na nembo ya Wananchi wa Monduli, tuendelee kumuenzi kwa mchango wake mkubwa katika kudumisha mshikamano kwa jamii za wafugaji wa asili” amesisitiza Mhe. Fredrick Lowassa

Aidha, Ametumia fursa hiyo kuiomba Serikali iharakishe mchakato wa kuandaa Makumbusho ya Hayati Edward Lowassa kutokana na ujio wa wageni wengi wanaofika nyumbani hapo kwa ajili ya kujifunza mambo aliyokuwa akiyafanya baba yao.

Naye, Baba Askofu Mstaafu wa Kanisa la Kiinjili la kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya Kaskazini Kati, Dkt. Solomon Masangwa ameisisitiza familia ya Hayati Edward Lowassa kuzidi kumshirikisha Mungu katika kila jambo wanalolifanya ili kuendelea kushikamana.
Hayati Edward Ngoyai Lowassa alifariki dunia Februari 10, 2024 na kuzikwa nyumbani kwake Monduli tarehe 17 Februari 2024.

  

Mbunge wa Monduli, Mhe. Fredrick Lowassa akisalimiana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe.George Simbachawene wakati wa Ibada ya Shukrani ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Monduli Mjini Mkoani Arusha.

Sehemu ya wanafamilia wa Hayati Edward Lowassa wakiwa kwenye Ibada ya Shukrani ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili Kilutheri Tanzania (KKKT) Monduli Mjini Mkoani Arusha.

Baadhi ya wananchi wakiwa katika Ibada ya Shukrani ya aliyekuwa Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Edward Ngoyai Lowassa iliyofanyika leo katika Kanisa la Kiinjili Kilutheri la Tanzania (KKKT) Monduli Mjini Mkoani Arusha.

About the author

Alex Sonna