Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

dedektör

vdcasino giriş

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

jojobet

matbet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

jojobet giriş

betebet

gonebet

jojobet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

doeda

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

uyuşturucu satın al

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

deneme bonusu

starzbet

jojobet

Featured Kitaifa

MFUMO WA STAKABADHI GHALANI UMERAHISISHA BIASHARA

Written by Alex Sonna

 

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari,leo Februari 7,2025 jijini Dodoma,kuhusu kuhitimisha msimu wa biashara ya bidhaa za kilimo kupitia mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwa mwaka 2024/2025 na kujiandaa na msimu mpya wa 2025/26.

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,akizungumza na waandishi wa habari,leo Februari 7,2025 jijini Dodoma,kuhusu kuhitimisha msimu wa biashara ya bidhaa za kilimo kupitia mfumo wa Stakabadhi za Ghala kwa mwaka 2024/2025 na kujiandaa na msimu mpya wa 2025/26.

Na.Alex Sonna-DODOMA

WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo,amesema mfumo wa Stakabadhi za Ghala, umeendelea kuwa chombo muhimu katika kuimarisha urasimishaji wa biashara ya mazao kwa kuweka uwazi, kuongeza ushindani wa bei na kuwahakikishia wakulima masoko ya uhakika.

Dkt.Jafo,ameyasema hayo leo Februari 7,2025 jijini Dodoma  wakati akizungumza na waandishi wa habari , kuhusu kuhitimisha msimu wa biashara ya bidhaa za kilimo kupitia mfumo huo kwa mwaka 2024/2025 na kujiandaa na msimu mpya wa 2025/26.

“Mfumo huu umeleta tija kubwa kwa wakulima wetu kwa kuhakikisha kuwa wanapata bei stahiki za mazao yao kwa wakati na bila vikwazo vya madalali wasio waaminifu. Aidha, urasimishaji huu unaongeza imani ya wanunuzi kutoka kutoka nje ya Tanzania,”amesema Jafo

Dkt.Jafo amesema  katika kipindi hicho serikali kwa kushirikiana na wadau mbalimbali imeendelea kuchukua hatua za kuimaerisha mfumo huo.

Amesema kuwa, wadau hao ni pamoja na Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala, Soko la Bidhaa Tanzania, TAMISEMI, Sekta Binafsi, Taasisi za Fedha pamoja na Mamlaka ya Biashara Tanzania.

“Tumeshuhudia ongezeko la mazao yanayouzwa kupitia mfumo huu, ongezeko la ghala zilizosajiliwa na ushiriki mkubwa wa wakulima katika kuuza mazao yao kwa utaratibu rasmi,”amesema Dkt.Jafo

Aidha, amesema  katika msimu wa 2024/2025, jumla ya bidhaa 14 zilikusanywa na kuuzwa kupitia Mfumo wa Stakabadhi za Ghala, zikiwemo Chai, Choroko, Dengu, Kahawa, Kakao, Korosho, Maharage, Mahindi, Mbaazi, Mchele, Mihogo, Mpunga, Soya, na Ufuta.

Hata hivyo ameeleza kuwa kwa mara ya kwanza katika historia ya mfumo huo, wameshuhudia ongezeko kubwa la uzalishaji na ukusanyaji wa mazao, ambapo jumla ya kilogramu 810,230,588 zilikusanywa, ikiwa ni ongezeko la zaidi ya asilimia 80 ikilinganishwa na msimu wa 2023/2024, ambapo kilogramu 451,192,592 zilikusanywa.

Amesema kuwa ongezeko hilo halikuakisiwa tu katika kiwango cha mazao bali pia katika thamani ya mapato ya wakulima.

“Kutokana na wingi wa bidhaa pamoja na kuimarika kwa bei sokoni, wakulima walilipwa jumla ya Sh.Trilioni 2.9, ongezeko la asilimia 142 ikilinganishwa na Sh.Trilioni 1.2 walizopata msimu uliotangulia,”amesema

Waziri Jafo, amesema hali hiyo ni uthibitisho wa jinsi mfumo wa stakabadhi za ghala unavyoendelea kuwa chombo madhubuti cha kuhakikisha wakulima wananufaika ipasavyo na jasho lao.

Vile vile, amesema kuwa pamoja na faida kwa wakulima, ongezeko hili la thamani limezinufaisha pia halmashauri zilizoshiriki katika mfumo huo.

Amesema  mapato yatokanayo na ushuru yameongezeka kutoka Sh.bilioni 36 msimu wa 2023/2024 hadi kufikia Sh. bilioni 87 msimu huu unaokamilika.

Aidha amesema kuwa hali hiyo ni ishara kuwa mfumo huo siyo tu unawanufaisha wakulima bali unachangia kwa kiasi kikubwa mapato ya serikali za mitaa, na hivyo kusaidia katika utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo kwa wananchi.

 

About the author

Alex Sonna