Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Backlink paketleri

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Illuminati

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink Panel

Hacklink

Masal oku

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink Panel

Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink

Buy Hacklink

Hacklink

Hacklink

Hacklink satın al

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Hacklink panel

Masal Oku

Hacklink panel

Hacklink satın al

Hacklink Panel

https://www.newstrendline.com/bilgi-kutusu/

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacklink Panel

Hacking forum

Hacklink panel

sakarya escort bayan

Samsun Avukat

holiganbet

betsalvador

mavibet

mavibet giriş

jojobet

bets10 sorunsuz giriş

grandpashabet güncel giriş

https://www.newstrendline.com/

holiganbet

ultrabet giriş

lunabet

mavibet

setrabet

imajbet

betebet

gonebet

piabet

jojobet

holiganbet

mavibet

marsbahis

kingroyal

bets10

bets10 giriş

vdcasino giriş

millibahis

vipslot

festwin

parmabet

celtabet

kulisbet giriş

mavibet

holiganbet güncel giriş

mavibet giriş

piabellacasino giriş

piabellacasino

artemisbet giriş

mavibet

mavibet giriş

piabellacasino

piabellacasino giriş

piabellacasino

deneme bonusları veren siteler

deneme bonusu veren siteler

marsbahis giriş

festwin

porno izle

av ซับไทย

vdcasino

xxxเย็ดยับ

casibom

casibom

casibom güncel giriş

casibom giriş

casibom

betsat

avrupabet, avrupabet giriş

deneme bonusu

deneme bonusu

sahabet

bets10 giriş

dinamobet giriş

casibom

casibom

jojobet

jojobet

jojobet

ultrabet

casibom

jojobet

ultrabet

casibom

Hacklink panel

betturkey

betnano

test55

Hacklink panel

Hacklink giriş

capitolbet giriş

jojobet

jojobet

jojobet

jojobet

padişahbet

marsbahis

kralbet giriş

casibom

casibom

betsin

meritking

marsbahis

deneme bonusu

betsa

meritking

crypto scam

meritking

meritking

madridbet

meritking

deneme bonusu

spyhackerz

jojobet

şanlıurfa haber

jojobet güncel giriş

İmajbet

royalbet

imajbet

betgross

biabet

artemisbet giriş

casibom

deneme bonusu

casibom giriş

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

deneme bonusu veren siteler

pokerklas

perabet

betsat

bets10

vdcasino

jojobet

Jojobet

matbet

redwin

deneme bonusu

deneme bonusu

vdcasino

1xbet

cratosroyalbet

giftcardmall/mygift

kulisbet

holiganbet giriş

holiganbet

grandpashabet

girne escort

magusa escort

dedebet

holiganbet

tubidy

kralbet

Girne Escort

deneme bonusu

deneme bonusu

taraftarium

taraftarium

starzbet

realbahis

realbahis

avrupabet

avrupabet

kareasbet

Featured Kitaifa

TANESCO NA EWURA WAWAJENGEA UWEZO WATAALAMU WA KUFUNGA MIFUMO YA UMEME SHINYANGA

Written by Alex Sonna
Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Walter Christopher akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa Wataalam wa Kufunga Mifumo ya Umeme Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uwezo kusaidia kuboresha ufanyaji kazi wao ili kuhakikisha kuwa huduma wanazotoa zinakuwa bora, salama na zinazofanyika katika viwango vinavyokubalika yaliyofanyika leo Jumanne Februari 4,2025 Mjini Kahama
Na Kadama Malunde – Malunde 1 Blog
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Shinyanga kwa kushirikiana na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Magharibi, wametoa mafunzo kwa wataalamu wa kufunga mifumo ya umeme ‘Wakandarasi wa umeme’ mkoani Shinyanga. 
Mafunzo hayo  yaliyolenga kuwajengea uwezo wataalam hao ili kuboresha ufanyaji kazi wao, na kuhakikisha huduma wanazozitoa zinakuwa bora, salama na zinazofanyika kwa viwango vinavyokubalika yamefanyika leo, Jumanne Februari 4, 2025, katika ukumbi wa Mikutano wa Planet Hotel, Mjini Kahama.
Watalaam hao wamejengewa uelewa wataalam hao kuhusu majukumu ya EWURA, kanuni za umeme za mwaka 2022, makundi na madaraja ya leseni, pamoja na namna ya kufanya maombi ya leseni kupitia mfumo mpya wa maombi (LOIS-Mpya) na pia wamejifunza namna ya kujaza fomu za kukamilisha shughuli za ufungaji mifumo ya umeme.
Akifungua semina hiyo, Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Walter Christopher, amesema kuwa semina hiyo ni fursa kwa wataalam wa umeme kuelewa kanuni, miongozo na mifumo ya udhibiti ya sekta ya umeme. 
Amesema kuwa elimu hii itawasaidia kuepuka kuvunja sheria, na hivyo kuepuka adhabu za kutozwa faini au kufutiwa leseni.
Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Walter Christopher.
“EWURA inatoa fursa ya kuzungumza na wataalamu mara kwa mara, ili kuhakikisha wanapata uelewa wa kina kuhusu mabadiliko ya kisheria na kiudhibiti, na namna bora ya kuwahudumia wateja wao,” amesema Mhandisi Christopher.
 “Mafundi wote wa umeme wanapaswa kujaza fomu ya kukamilisha kazi baada ya kumaliza ufungaji au matengenezo ya mifumo ya umeme. Hii ni muhimu ili kuhakikisha huduma zinatolewa kwa ubora na viwango vya juu”,ameongeza.
Mhandisi Christopher amesisitiza kuwa EWURA inahakikisha kuwa kazi za ufungaji mifumo ya umeme zinatekelezwa na wataalam walio na leseni pekee. 
Ameongeza kuwa, taasisi kama TANESCO, Halmashauri, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), na Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), wanapaswa kuhakikisha kuwa kazi za ufungaji mifumo ya umeme zinazotolewa kwa mafundi ni kwa wale walio na leseni sahihi kutoka EWURA.
“Lengo letu ni kuhakikisha kuwa mifumo ya umeme inafungwa na wataalam wenye weledi na ujuzi katika fani hii, ili mteja apate huduma bora, salama na inayokidhi viwango vya afya, mali na mazingira,” amesema.
Aidha, Mhandisi Christopher amefafanua kuwa EWURA inashirikiana na vyuo kama vile VETA ili kuwajengea uwezo wanafunzi na kuwahimiza kuomba leseni pindi wanapohitimu masomo yao.
Kwa upande wake, Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama, Mhandisi Kisika Eliya Kisika, akizungumza kwa niaba ya Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga amekumbusha wataalam wa umeme wasiokuwa na leseni watafute leseni lakini pia kufanya kazi kwa mujibu wa taratibu zilizowekwa na kuepuka tamaa.
Mhandisi Kisika Eliya Kisika.
Aidha amewataka wataalam wa umeme kupendana na kufanya kazi kushirikiana na kama wana changamoto wasisite kuwasiliana na TANESCO.
 Amesema TANESCO itahakikisha wateja wake wanahudumiwa kwa wakati, na kuwa wataalam hao wanapaswa kuwaelimisha wateja kuhusu umuhimu wa kukagua mifumo ya umeme.
Wataalam wa mifumo ya umeme wameishukuru TANESCO na EWURA kwa kuwapatia mafunzo haya ambayo yatawasaidia kufanya kazi kwa weledi na kuepuka migogoro, wakiaahidi kuzingatia sheria na kanuni zilizowekwa ili kuepuka adhabu na kuhakikisha wanatoa huduma bora kwa wateja wao.
Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Walter Christopher akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa Wataalam wa Kufunga Mifumo ya Umeme Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uwezo kusaidia kuboresha ufanyaji kazi wao ili kuhakikisha kuwa huduma wanazotoa zinakuwa bora, salama na zinazofanyika katika viwango vinavyokubalika yaliyofanyika leo Jumanne Februari 4,2025 Mjini Kahama – Picha na Kadama Malunde – Malunde 1 blog
Meneja wa EWURA Kanda ya Magharibi, Mhandisi Walter Christopher akizungumza wakati akifungua mafunzo kwa Wataalam wa Kufunga Mifumo ya Umeme Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uwezo kusaidia kuboresha ufanyaji kazi wao

 Meneja wa TANESCO Wilaya ya Kahama, Mhandisi Kisika Eliya Kisika, akizungumza kwa niaba ya Meneja wa TANESCO Mkoa wa Shinyanga kwenye mafunzo kwa Wataalam wa Kufunga Mifumo ya Umeme Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uwezo kusaidia kuboresha ufanyaji kazi wao

 Katibu wa Wakandarasi wa Umeme Wilaya ya Kahama, Six Mbuki akizungumza kwenye mafunzo kwa Wataalam wa Kufunga Mifumo ya Umeme Mkoa wa Shinyanga kwa ajili ya kuwajengea uwezo kusaidia kuboresha ufanyaji kazi wao

Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja TANESCO Wilaya ya Kishapu, Neema Robert Ngh’ome akizungumza kwenye mafunzo hayo

Afisa Uhusiano na huduma kwa wateja TANESCO Mkoa wa Shinyanga Emma Nyaki akizungumza wakati wa mafunzo hayo 

Mhandisi wa Umeme John Francis Kitonga kutoka EWURA Kanda ya Magharibi akitoa mada wakati wa mafunzo hayo
Mhandisi wa Umeme John Francis Kitonga kutoka EWURA Kanda ya Magharibi akitoa mada wakati wa mafunzo hayo
Afisa Uhusiano na Huduma kwa wateja TANESCO Shinyanga Robert Msemo akizungumza kwenye mafunzo hayo
Afisa Uhusiano na Huduma kwa wateja TANESCO Shinyanga Robert Msemo akizungumza kwenye mafunzo hayo
Meneja wa TANECO Wilaya ya Kishapu Mhandisi Hussein Mbulu akizungumza kwenye mafunzo hayo
Meneja wa TANECO Halmashauri ya Ushetu, Mhandisi George Madaha akizungumza kwenye mafunzo hayo
Meneja wa TANECO Halmashauri ya Msalala, Mhandisi Kitila Bryson akizungumza kwenye mafunzo hayo
Wataalamu wa kufunga mifumo ya umeme ‘Wakandarasi wa umeme’ wakiwa ukumbini.
Picha zote na Kadama Malunde – Malunde 1 blog

About the author

Alex Sonna